10 za maangamizi East African Radio ulimkubali sana

Hiyo siku ya young d nilibahatika kuisikia, alichemka hata mimi niliona, japo si mtaalam wa mziki
 
Coco beach siwezi kwenda kuna papa
Nikiwa bar mimi ndio boss yule mupe, yule muluke/
Nyie matozi mmepandisha bei ndala nyeupe?/

Eti bongo bahati mbaya halafu unavaa unapendeza/
Bongo kama ulaya uchawi uwe na fedha/
 
Braza big up kweli mziki unaujua... Maoni yako ndio yangu...
Nyenza anajua saana na huyo mbeya boy chuma..

Hapo muongeze dogo maarifa tu.

Yuile nyenza kwanza ni mtulivu saana..
"Maslah ya mlalaji huwa ni kukung'uta jamvi"
Yaah kweli mkuu maarifa anajua sema.. He's lyrical genius... Anajua Sana kuchora Tenzi zake Ila Ana kasoro moja ambayo Kama akifanyia kazi atakuwa bonge la rapa ..
 
mbeya boy chuma dizasta na omg (lunya)
 
Umeangalia selementally na ?
Yaah kweli mkuu maarifa anajua sema.. He's lyrical genius... Anajua Sana kuchora Tenzi zake Ila Ana kasoro moja ambayo Kama akifanyia kazi atakuwa bonge la rapa ..
 
"Dizasta vina ni kina JOH sabini , so WAKAZI wa vitongoji kadhaa mkija njoo MAKINI"
 
Nikiwa bar mimi ndio boss yule mupe, yule muluke/
Nyie matozi mmepandisha bei ndala nyeupe?/

Eti bongo bahati mbaya halafu unavaa unapendeza/
Bongo kama ulaya uchawi uwe na fedha/
Matozi wamepandisha bei ndala nyeupe[emoji3] [emoji3]
 
Mademu wanaangalia pesa hawaangalii bamia au muwa
Nikiwa bar mimi ndio boss yule mupe, yule muluke/
Nyie matozi mmepandisha bei ndala nyeupe?/

Eti bongo bahati mbaya halafu unavaa unapendeza/
Bongo kama ulaya uchawi uwe na fedha/
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…