Mbeya Boy chuma, alikimbiza.Kuna kipindi E.Africa Radio kumi za maangamizi,ni free style kwa dk 10.
Unaweza kusema hip hop au freeystyle ipo underground siyo kwa hawa wasanii waliotoka .Clips za hiyo kipindi vipo YouTube .Hii ni list yangu ya waliotisha.
1.Cado Kitendo.
2.Hidary Scoda
3.Chid Benz
4.Boshoo Ninja
5.Maarifa The Big Thinker
Kama umefuatilia hiki kipindi sijui Nani umemkubali
MAWAZO YA WADAU WA HIP HOP KWENYE COMENTS
1 .Nyenza
2.Boshoo Tanga boy.
3.Mbeya boy Chuma
Tilia mkazo mpaka jamaa akuelewe,Mkuu wakazi ni fake sana
Nobody is safe 2"Dizasta vina ni kina JOH sabini , so WAKAZI wa vitongoji kadhaa mkija njoo MAKINI"
Kupangusa kamasi kwa mkono afu linabaki (nike)Anakuambia round hii watoto wadogo makamasi lazima mpige NIKE
Eyoo Njoo uone X,Nasema Njoo Uone X Nyumba inabomolewa huko. -CHUMA MBEYA BOY.Kuna kipindi E.Africa Radio kumi za maangamizi,ni free style kwa dk 10.
Unaweza kusema hip hop au freeystyle ipo underground siyo kwa hawa wasanii waliotoka .Clips za hiyo kipindi vipo YouTube .Hii ni list yangu ya waliotisha.
1.Cado Kitendo.
2.Hidary Scoda
3.Chid Benz
4.Boshoo Ninja
5.Maarifa The Big Thinker
Kama umefuatilia hiki kipindi sijui Nani umemkubali
MAWAZO YA WADAU WA HIP HOP KWENYE COMENTS
1 .Nyenza
2.Boshoo Tanga boy.
3.Mbeya boy Chuma
Nyenza mc
Nchama the best
Boshoo ninja
Mbeya boy chuma(alizingua kiaina lugha ya matusi ilitawala sana)
Dizasta Vina
Note:sio freestyle kwa dakika 10 ila uchane kadri unavyoweza kwa dakika 10, aliyefanya freestyle kweli ni Nchama peke yake wengine walikua wanachana nyimbo ambazo wameziandika ila kutokana na kutosikika kwao unaweza dhani ni freestyle, mfano Dizasta vina alichana ngoma ya kanisa, wakati ni nyimbo ya kitambo tu na watu wengi walidhani ni freestle.Ila hongera kwa hao watu maana kuchana dakika 10 sio kazi ndogo, ukitaka kujua hilo tafuta dakika 10 za Young D maana aliboa mpaka basi akaomba tena mwenyewe arudi, hapo akaja kajipanga lkn wapi akadondokea pua raia walimaind sana MB zao[emoji16][emoji16][emoji16]
Kiukweli ngoma ya kanisa iko poa sana ila miipuko wake haukua mkubwa sana kama mbeya boy, japokua ngoma zake alizoperfom ukiziskiliza hazitoboi kwa hii ngoma ya dizasta
Hebu sikiliza vema mwanzo utajua ukweli wa kanisa
Kanisa ni ngoma kali sana ila beat mbovu mno.... Sasa dizasta katoa hii walau watu wataanza kumuelewa kidogo NDOANO.Kiukweli ngoma ya kanisa iko poa sana ila miipuko wake haukua mkubwa sana kama mbeya boy, japokua ngoma zake alizoperfom ukiziskiliza hazitoboi kwa hii ngoma ya dizasta
ma mc nyie mkaze msiwe vipyere,
ma natunga nyie mnameza mwaona ryeryere,
nondo chuma nondo msela nondo misyere,
dada zeni hawaishi shobo "kado waryerye".
KADO KITENGO SIYO POUWA
Mkuu nilichoona watu humu hawamjui cado Kitengo,wanaenda na nyimbo wamezitunga ,hao wote Kwa freestyle wanakaaa chini Kwa Cado kitengo,angalia tu freestyle battle zake YouTube hatungi
kiufupi mr nijua freestyle yake moja tu iliniacha hoi.hiyo kachana kila aspect ya maishaMkuu nilichoona watu humu hawamjui cado Kitengo,wanaenda na nyimbo wamezitunga ,hao wote Kwa freestyle wanakaaa chini Kwa Cado kitengo,angalia tu freestyle battle zake YouTube hatungi
Yaah kweli mkuu maarifa anajua sema.. He's lyrical genius... Anajua Sana kuchora Tenzi zake Ila Ana kasoro moja ambayo Kama akifanyia kazi atakuwa bonge la rapa ..
Hii ndoano nilipost na uzi juzi nimeweka lyrics zake humo,,jamaa katisha sana kaimba kwa emotions kinomaKanisa ni ngoma kali sana ila beat mbovu mno.... Sasa dizasta katoa hii walau watu wataanza kumuelewa kidogo NDOANO.