10 za maangamizi East African Radio ulimkubali sana

Maarifa alitisha sana kwangu mimi
 
Raf MC from Chigidi Chuga ali'kill kinyama..Chalii ana flow tam sana.
 
Raf MC from Chigidi Chuga ali'kill kinyama..Chalii ana flow tam sana.
Chaku cheeeree

Nikisema raf unasema mc raf mc raf...

Hii siyo classic ya wasafi, msosi mezani hii ndio classic ya walafi/
 
Chaku cheeeree
Nikisema raf unasema mc raf mc raf...
Hii siyo classic ya wasafi, msosi mezani hii ndio classic ya walafi/
Chap cheree..Uchebe nachaga,,,hahaha nakinukisha nakivukisha...noma kichizi zile flow zinaitwa 'Usinishike'
 
Chap cheree..Uchebe nachaga,,,hahaha nakinukisha nakivukisha...noma kichizi zile flow zinaitwa 'Usinishike'
Aaaah chekiiiiiii....Mimi namba1 yeye ndo aliua then namba2 ni Chuma Mbeya boy alaf namba3 ni Boshoo Ninja,Namba4 ni Bando MC toka Shytownenga,..alaf waliodevela ki'whack ni Young Dee,Fid Q na Young Killer,
 
Bosho ninja aliumiza kinouma...."uwezo ni sifa na kazi haiendi bila nyenzo, rap hisabati nakokotoa napiga banda, boshoo mjerumani napiga 7"...anapiga back vocal...nawavunja mifupa wakalazwe moi....
Aise ni noma na nusu
 
Hii ndoano nilipost na uzi juzi nimeweka lyrics zake humo,,jamaa katisha sana kaimba kwa emotions kinoma

Naomba unisogezee uzi wako mkuu, nimeshindwa kuupata.
 
1. Kado kitengo
2. Nyenza
3. Maarifa
4. Chuma boy mbeya
5. Wakiafrika


Hao ndio mc sasa
 
kuna siku nikki wa pilli aliangamizwa na hizi dakika 10,aisee alichana kwa dakika 4 alafu akawa anaangalia saa kudadeki dakika 10 siyo mchezo 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁
 
P THE MC nae alitisha sana,wengi niliwaelewa kuna kipind nilkuwa nmezdownload nying
 
Duuuh hapa nimetoka kapa aseee nitarudi baadae nikishapitia youtube. Maana hapa naweza toa pumba tupu.
 
Fair to mention T-GWAN the dirty south kid alifanya fresh sana na hebu pitia kucheki bila kusahau boshoo dizasta vina chuma mbeya boy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…