X-PASTER
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 11,605
- 1,843
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubaliana na maneno ya mwanafalsafa mmoja, alisema kuwa "Mtu mwenye chuki ndani ya nafsi yake, umpelekea kuzeeka upesi kabla ya wakati wake" Nami naziona dalili hapa.mtaendelea kutawaliwa kimawazo na udini wa mambo ya kiislam na kikirstu .
badala ya kufuatilia inventions walizofanya mababu zetu , kabila lako kwenye mambo ay teknolojia sayasi na chemia unapigia upatu uvumbuzi wa ten kwa tittle ya dini.
Alafu kuna watu wanajiona leo wako huru. kumbe ukoloni wa kidini umeaachia sumu kubwa tu
Peleka kwenye dini kule
Nakubaliana na maneno ya mwanafalsafa mmoja, alisema kuwa "Mtu mwenye chuki ndani ya nafsi yake, umpelekea kuzeeka upesi kabla ya wakati wake" Nami naziona dalili hapa.
Aksante sana nitajie basi huyo mwanafalsafa au kitabu chake. nitafurahi kuisoma kitabu chackePole kwa kuzoea kutafuniwa!
Umesoma kichwa cha thread... Kinahusu nini?
Kama huna cha kuchangia si lazima uwepo hapa mkuu...!
This film is for personal use only and must not be exhibted publicly, broadcast or reproduced .
Naelewa sana kuliko unavyofikiria...!sio kichwa cha thread tu hata video ulioweka nimetazama ndio maana nikakwambia clip ya kwanza wanasema hivi .[/COLOR]
Unaelewa maana ya hiyo sentesi