Hahaha dimension anayo zungumzia poker ni level ya kiroho .Na hii ni id ya mda kidogo sitegemei maelezo kutoka chat gpt...
Shuka nondo mkuu maana hamna suala sielewi kama dimensions zaidi ya zile za kwenye mechanics [mTL]
Kama unaelewa kuhusu dimensions, je binadamu tupo ya ngapi? Ili tuanzie hapo kukueleweshe.Na hii ni id ya mda kidogo sitegemei maelezo kutoka chat gpt...
Shuka nondo mkuu maana hamna suala sielewi kama dimensions zaidi ya zile za kwenye mechanics [mTL]
ChaiDunia tunayoiishi kwa muundo wa 3d ni umetengenezwa na kiumbe kilichopo level ya 10d yaani 10th dimension.
Kila kitu kinachoeendelea kimepangwa, kuanzia mwezi, nyota na sayari nyingine.
Mtu ukifa basi unaingia katika 4th dimension moja kwa moja.
10th dimension ni uhalisia wa uwepo wa Mungu .
Kwa experience yako tupo dimensions ya ngapi ?Hakuna dimensions
Dimensions ni kitu kilicho umbwa na mwanadamu kujaribu kueleza reality
We exist on all planes of dimensions.. Ni vile tuko limited kujua zaidi..Kwa experience yako tupo dimensions ya ngapi ?
Length, width na depth hizo tayari ni dimensions zinazotuongoza. Sasa dunia si ina occupy space maanake ina volume. Au tuanze somo la volume?We exist on all planes of dimensions.. Ni vile tuko limited kujua zaidi..
Na tunapenda kuziita dimension huenda hata sio kabisa
Huyu atakua yupo mana nahisi nusu ya ID humu ni zakeTumsubiri akirudi tumcheke! Huko alipo kanuna hatari na mashavu yake kama bata
Usikute hata Mwaka wa Mbele ni yakeHuyu atakua yupo mana nahisi nusu ya ID humu ni zake
π πUsikute hata Mwaka wa Mbele ni yake
experience gani bna tafuteni storyKwa experience yako tupo dimensions ya ngapi ?
Nenda kwenye kimasihara mle zipo kila story unazo zihitaji mkuu.experience gani bna tafuteni story
sijakuelewa mkuu kwenye nn napata izo story na mm nitoe ujingaNenda kwenye kimasihara mle zipo kila story unazo zihitaji mkuu.