Registered_jf
JF-Expert Member
- Nov 27, 2024
- 1,237
- 2,110
Hii 0-Dimension sounds like this:
View: https://youtu.be/-gPFxMHWV8w?si=4YOCPPJE8iKvTrXZ
Za kuambiwa changanya na zako.
JESUS IS LORD!
MAKE WAY FOR THE KING OF KINGS !π₯ π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯
From the 4th Dimension sounds like this:
View: https://youtu.be/-gPFxMHWV8w?si=4YOCPPJE8iKvTrXZ
Za kuambiwa changanya na zako.
JESUS IS LORD!
MAKE WAY FOR THE KING OF KINGS !π₯ π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯
7th-Dimension sounds like an All knowing, All-powerful, Everlasting Being to me I.e GOD ALMIGHTY.
View: https://youtu.be/-gPFxMHWV8w?si=4YOCPPJE8iKvTrXZ
Za kuambiwa changanya na zako.
JESUS IS LORD!
MAKE WAY FOR THE KING OF KINGS !π₯ π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯
3d dimension ni hali tuliyonayo au tuliopo sasa, yaani vitu tuvionavo na kuvigusa na miili yetu imeumbwa kwaajili hiyo. Ukifungwa mfano lock up huwezi kutoka mpaka ufunguliwe.Tukifa tunaingia 4th dimension, je ipo siku na sisi tutafika 10th? Je kuna watu waliotutangulia ambao wameshafika 10th? Je huyu aliyefanya utafiti akaja na haya yote ameishuhudia mpaka 10th dimension? Tusaidie chapisho tukajisomee sie tunaopenda kujifunza mambo mapyaπ
Hapana ujamwelewaHahaha dimension anayo zungumzia poker ni level ya kiroho .
Ambapo Kuna physical dimension ambayo ndo mwili ulio nao, kuna spiritual dimension ni ulimwengu wa echo zaidi, kuna higher dimension ambapo mtu anakua more spiritual mpaka kuona vitu ambavo wengine hawawez kuona, alafu kuna lower ambayo hyo unakua wewe ni mtu ambaye ulimwengu wa kiroho kwako ni chenga kabsa
Tupo ya tatu yaniKama unaelewa kuhusu dimensions, je binadamu tupo ya ngapi? Ili tuanzie hapo kukueleweshe.
4th dimension maana yake ukiwa umefungwa lock up unaweza kutoka bila kufunguliwa. Unauwezo wa kuscan mwili wa mtu na kuuona kilichopo ndani yake. Kiufupi unaweza kurudi nyuma ya muda.3d dimension ni hali tuliyonayo au tuliopo sasa, yaani vitu tuvionavo na kuvigusa na miili yetu imeumbwa kwaajili hiyo. Ukifungwa mfano lock up huwezi kutoka mpaka ufunguliwe.
4th dimension maana yake ukiwa umefungwa lock up unaweza kutoka bila kufunguliwa. Unauwezo wa kuscan mwili wa mtu na kuuona kilichopo ndani yake. Kiufupi unaweza kurudi nyuma ya muda.
Hio 10th dimension ni uwezo wa hali ya juu sana, ambapo unaweza kuona past na future ya kila kitu. Unauwezo wakubadili future. Mfano ungekuwa na uwezo wa 10d huenda ungebadili baadhi ya maamuzi ya mbeleni yaliokugharimu.
Hapa pia unauwezo wa kurudi nyuma katika big bang na kwenda mbele zaidi mpaka mwisho wa ulimwengu wote.
Kwahiyo 10d ni controller wa kila kitu ulimwenguni na hio ni nadharia ya fizikia
Hio ni mifano ninayo kueleza, ili uweze kuelewa kirahisi. Kinyume na hapo unataka nikuelezeje uelewe maana yangu Poor Brain4th dimension maana yake ukiwa umefungwa lock up unaweza kutoka bila kufunguliwa. Unauwezo wa kuscan mwili wa mtu na kuuona kilichopo ndani yake. Kiufupi unaweza kurudi nyuma ya muda.
Unajua kwanini watu wanasema chai..
Ni kuwa unaelezea 3 dimensions vizuri Ila ukifika hapa kwenye hii ya nne na kuendelea unanza kuleta story.
Elezea vzuri si kila mtu anajua sasa unaposema 4 dimensions ana scan sijui anatoka akifungiwa how.. toa na mifano kama kule ulipoanza na depth, height and width
Ukienda namna hii ni sawa na wewe ulisoma mahali.ukamez ila deep.down.ujaelewa.
Ndugu yangu packer kuna mambo unavoelezea inaonesha wazi umekalili...Hio ni mifano ninayo kueleza, ili uweze kuelewa kirahisi. Kinyume na hapo unataka nikuelezeje uelewe maana yangu Poor Brain
Ila we jamaaa ππππππHakuna Mungu.
Mungu hayupo.
Mkuu hapo huwezi kuelewa kama huja experience hiyo dimensionPoker naweza sema endelea kwanza kula nondo vzuri.
Huwenda ukawa una uwelewa mkubwa kuhusu haya mambo ila ni jinsi gani unafikisha kwa wengine ni changamoto.
Na ndo hapo kuna utofauti wa mtu aliye elewa na mtu aliye kalili....
"""4th dimension maana yake ukiwa umefungwa lock up unaweza kutoka bila kufunguliwa. Unauwezo wa kuscan mwili wa mtu na kuuona kilichopo ndani yake. Kiufupi unaweza kurudi nyuma ya muda."""
Hayo maelezo juu hapo yanaonesha ni wazi kuna jambo uliambiwa au kusoma na ukalishika kama lilivo hvo hvo.
Mfano hapo ukaambiwa
Elezea ni jinsi gani huyo mtu aliyegungwa anaweza kutoka bila kufunguliwa.. na kama inawezekana imefanyika wapi..
Kama hakuna basi story za dimensions above 3 ni conspiracy theories tu
Sasa kama hujauliza swali lako, unataka nikujibu nini? Umesema 3rd dimension unaielewa vyema. Sasa kama unaielewa na unajua kuna 1st na 2nd dimension, swali lako ni lipi haswa Poor BrainPoker hi mada ni kama ulianzisha ili na wewe upate kujua kuhusu hvi vitu mkuu sio ?
Mkuu hata wewe pia ni wale watu wa kusoma au kusikia jambo na kulimeza kama lilivo ila ku deep down no..Mkuu hapo huwezi kuelewa kama huja experience hiyo dimension
Ni sawa na mimi na wewe tunasoma kitabu kimoja lakini mimi nipo chapter 8 ila wewe umefika chapter 17, hakuna namna tunaweza kuelewana tukisimuliana hicho kitabu japo wote tunasoma kitabu kimoja
Broo kabla ujafika 10th dimension elezea hiyo 4th dimension...?Sasa kama hujauliza swali lako, unataka nikujibu nini? Umesema 3rd dimension unaielewa vyema. Sasa kama unaielewa na unajua kuna 1st na 2nd dimension, swali lako ni lipi haswa Poor Brain