Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Umeona ulivotoa dfn safi kabisa..Gravitational force ni nguvu ya mvutano iliopo kati ya vitu viwili vyenye mass . Mfano mtu akiruka juu lazma arudi chini kwasababu ya gravity
Ni 3D + timeUmeona ulivotoa dfn safi kabisa..
Nini maana ya 4th
Dimension....? Toa na mifano
Safi sana...Ni 3D + time
mfano mr poor brain amekaa kwenye kiti tangu saa 5 asubuhi 😁
Mkuu mimi na weqw tupo kwenye dimensions ipi..?Ni 3D + time
mfano mr poor brain amekaa kwenye kiti tangu saa 5 asubuhi 😁
Tupo kwenye 3D lakini tuna exist kwenye 4D kwasababu ya time.Mkuu mimi na weqw tupo kwenye dimensions ipi..?
Ukiwa 3D + time hiyo ni 4D basi mimi na wewe na miti na kabati ni 4D kwa maana muda upo tu
Nipe general answer mkuu..Tupo kwenye 3D lakini tuna exist kwenye 4D kwasababu ya time.
Both 4D & 3DNipe general answer mkuu..
Nimejaribu kitu hapa kidogo naomba uendelee kumielekeza...Both 4D & 3D
Upo sahihi lakini dimensions inaelezea zaidi structure existence lakini haiwezi elezea level of awareness ya kitu kama akili na uelewa ndomana miti na binadamu wote tupo kwenye dimensions moja lakini utofauti ni mkubwa kwasababu binadamu tuna brains and awareness and conscious mind .View attachment 3651142
Hii ndio 3D... Hapa ili iwe 4D tunaangalia je muda upo au laa...
Na sijui kama kuna sehemu kuna absence of time.... Ikiwa ni hvo ile concept ya kusema mtu akiwa na 4D basi ana uwezo wa kuona ndani ya tumbo au kupita sehemu iliyofungwa hizo ni dhana tu...
Haya twende kwenye 5D na kuendelea
Na hapa bado mtuelekeze vzr ww mtoa.mada ukuje hapa
Ukijaribu kuangalia vizuri utaona hapo kuna cube inside cube kwa elimu ya science hyo cube ya nje inaonesha time ambayo imekua represented kama cube pia , na hyo ya ndani ni 3D kwahyo kwa concept na maarifa yangu hyo 3D inawork kwa uwepo wa cube ya nje ambayo ni time ndomana tukaconclude kwamba 4D ni 3D(cube inside)+ time(cube outside).Na kama hii ndo 4D dimension according to google na source zingine .
Naomba nijue hapa time ipo wapi.
View attachment 3651143
Je hiki kitu kiuhalisia kipo na kama kipo tupeni elimu kidogo hapa tuelewe wakuu
VERIFY
View attachment 3651144
Kama unazungumzia level za namna kama hii basi hii topic imekaa spiritual sana na sio kama nilivyokua nachambua mimi hapo juuUpo sahihi lakini dimensions inaelezea zaidi structure existence lakini haiwezi elezea level of awareness ya kitu kama akili na uelewa ndomana miti na binadamu wote tupo kwenye dimensions moja lakini utofauti ni mkubwa kwasababu binadamu tuna brains and awareness and conscious mind .
Mkuu unataka kuchanganya kidogoUkijaribu kuangalia vizuri utaona hapo kuna cube inside cube kwa elimu ya science hyo cube ya nje inaonesha time ambayo imekua represented kama cube pia , na hyo ya ndani ni 3D kwahyo kwa concept na maarifa yangu hyo 3D inawork kwa uwepo wa cube ya nje ambayo ni time ndomana tukaconclude kwamba 4D ni 3D(cube inside)+ time(cube outside).
unaelezea kuhusu simulation universe au sijakuelewa vizuri hapoSie tulitengenezwa kama cartoon tu