12 architects Changed the World

12 architects Changed the World

Sikonge na ile design ya kwame khruma?
Photo+of+Kwame+Nkrumah+Hall+in+Dar+Es+Salaam+Tanzania.jpg
 
Last edited by a moderator:
Hili jengo niliona kwenye DISCOVERY wanavyojenga. Kama sikosei ndiyo jengo refu kuliko yote Malmo, Sweden.

Kupata nyumba hapo si chini ya Dola $1 Million, Lohhh. Nafikiri Zlatan Ibrahimovich atakuwa na yeye alichukua hapa nyumba maana Malmo ndiyo kwao. Wakati wanajenga ilikuwa kasheshe sana maana Vyuma vilikuwa vinatoka SPAIN na Tradition za Spain ni ngumu sana ukilinganisha na mila za watu wengine wa West. Ilibidi tu wakubali utamaduni wa Spain maana vinginevyo jamaa walikuwa tayari kulipa faini ila watagoma kuwauzia nondo. Si ajabu hawa watu wanafilisika maana usanii mwingi kwa Wabongo.

8.TurningTorso_thumb.jpg
Turning Torso.

Mkuu, hebu niwekee ile Museum iliyopo North America ambayo mto unapita chini. Hili jengo huwa linaniuwa sana maana limejengwa msituni kwenye milima na hawakutaka kabisa kubadili mazingira ya hapo.
 
Architects wa Tanzania wengi wazembe,na wavivu,wamekalia kudesign maboxi na ma-concrete jungles all the way,mbaya zaidi hata wale wanaojitahidi wanakwamishwa na 10% na poor works of our contructors.kuna ki-supermarket uchwara(newly built) kipo next to Multichoice offices along Ali Hassan Mwinyi Road,if i were in charge i would order that disgrace piece of S&*T demolished.
 
This lady is my favorite when it comes to pieces of art..,

her stye is a bit over the top,but there is something about how she uses asymmetrical structures that makes it work.
guanzhou-oper-house3.jpg

inside,

image_gallery
 
Architects wa Tanzania wengi wazembe,na wavivu,wamekalia kudesign maboxi na ma-concrete jungles all the way,mbaya zaidi hata wale wanaojitahidi wanakwamishwa na 10% na poor works of our contructors.kuna ki-supermarket uchwara(newly built) kipo next to Multichoice offices along Ali Hassan Mwinyi Road,if i were in charge i would order that disgrace piece of S&*T demolished.
mkuu maboksi hayaumizi kichwa, hahahahahahahaha!
 

the architecture is astounding!!

sie tukipewa opportunbity ya ku-redefine our history with contemporary pieces here is what we do best.
6298782243_43809818ae_z.jpg


Seriously!!

its as if it was a year one project assignment of architecture student.boring,uninspired,hopeless piece of concrete jungle.
 
Zumbemkuu, umenikumbusha sasa. Ile Museum ni jengo la Frank loyd Wright ambalo alijenga kama nyumba yake na sasa imewekwa under UNESCO maana ni jengo zuri sana lililojengwa bila ya kuabdili Mazingira. Norway wanajitahidi sana na ujenzi wa aina hiyo.

fallingwater-1.jpg
[h=2]Kaufmann house above waterfall[/h]Huyu Mchina na yeye vipi tena? Kazi ya nani hii?

Piano-House-HuainanChina-.jpg
 
the architecture is astounding!!

sie tukipewa opportunbity ya ku-redefine our history with contemporary pieces here is what we do best.
6298782243_43809818ae_z.jpg


Seriously!!

its as if it was a year one project assignment of architecture student.boring,uninspired,hopeless piece of concrete jungle.
loh! hahahahahaahahah!
first year wanajua kutengeneza tu modal
 
sie tukiambiwa tujenge shopping malls tunaenda kujenga huu upuuzi,then tunajiuliza kwa nini watu hawatembelei!!!aaaaaaaaaaaagh
karume+machinga+complex.jpg

1135.jpg
 
we should start vetting landmarks designs in someway,not taking whatever that these lazy architects throw at us.
 
mkuu Sikonge mchina kaamua kutoka na design ya zeze, teh teh teh!
miaka inavyokwenda huenda wachina wakaongoza kwa design.

mkuu Kimweri umenichekesha sana, loh! hahahahahaah,
mkuu unajua ili uwe creative hasa kwenye hii field ya ku'design lazima usiwe na njaa, kama ni mtu wa tamaa lazima utoke na boksi fasta fasta, also muitikio wa cliants ni kuogopa gharama hivyo kutulazimu kuchomoka na design za maboksi.
hapa chini ni nyumba ya zumbe kimweri.
384491_346893031993365_1295002730_n.jpg
 
Last edited by a moderator:
mkuu Kimweri
this is one of our landmark in dsm.
28514550.jpg
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom