12 Books Every Entrepreneur Should Read

12 Books Every Entrepreneur Should Read

Hata usome vitabu 5000 kama huchukui hatua ni bure tu,ni sawa na usome vitabu hata 15 kuhusu namna ya kujifunza kuogelea usipoingia kwny maji uka-practise hizo theories ni kazi bure.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika. Na ndiyo maana ya kusoma ili kubadili mwenendo kwa kuongeza kile ulichokosa awali.
 
hiki cha $100startup nimekula page 45 kina madini sana.
 
Back
Top Bottom