Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apimwe nani? Kama kawa umekurupuka sana wewe madenge, 'beach volleyball' ni mpira wa wavu sio riadha. Au ulimaanisha kwamba kocha ndio apimwe mkojo?Apimwe mikojo huyo sababu Wakenya tumewachoka na doping, addicts
Tupooo. Bado tunabangua korosho na kuvuna mbaazi, tutajiunga nanyi hivi karibuni.Hongereni sana majirani.Leo ndio siku ya pili ya mchuano huo, na tayari kina dada wa Kenya wanaipeperusha bendera yetu juu kwa juu. Ni katika mchezo wa beach volleyball, timu ya Kenya ilifika kwenye fainali, bila kushindwa kwenye mechi zote za hapo awali! Fainali tulicheza dhidi ya Misri. Misri waliibuka washindi, 2-0 na wakanyakua medali ya dhahabu. Kenya tukajinyakulia medali ya fedha. Jamani majirani mpooo tunawamisi sana kule Rabat.
Mitanzania mtachoka lini wanamichezo wenyu kwenda kote duniani na kurudi bila chochote kila wakati? Mtachoka lini kulipia wanamichezo kwenda tu utalii kupoteza "pesa zenu za ndani"???Apimwe mikojo huyo sababu Wakenya tumewachoka na doping, addicts
Mitanzania mtachoka lini wanamichezo wenyu kwenda kote duniani na kurudi bila chochote kila wakati? Mtachoka lini kulipia wanamichezo kwenda tu utalii kupoteza "pesa zenu za ndani"???
[emoji1][emoji1][emoji1]Tupooo. Bado tunabangua korosho na kuvuna mbaazi, tutajiunga nanyi hivi karibuni.Hongereni sana majirani.
😂😂😂😂 imekuingia Hadi kwa mfupaApimwe mikojo huyo sababu Wakenya tumewachoka na doping, addicts
Obsession!Jamani majirani mpooo tunawamisi sana kule Rabat.
Africa Games zinajumuisha michezo tofauti, zaidi ya 30! Kenya tumewakilishwa na wanamichezo 290, kwenye michezo 22, sio beach volleyball tu. Tz mmewakilishwa na wanamichezo 6! 😀 Ni utani tu lakini, usiwe serious sana kwenye masuala kama spoti, utakufa mapema.Obsession!
Badala ya kuhangaika tuwape mahindi unatumiss kwenye soccer beach!
Hongereni tupo bize kuwakusanyia mahinde majirani msije kufa njaa
Kenya volleyball queens MalkiaNajivunia kuwa Mkenya.Tuendelee kuchapa kazi safi.
Wapo kazini sio kwenye ziara za kukenua kenua kama wanamichezo wenu 6, ambao wamesindikizwa na wanachama 20. Riadha zinaanza kesho na TeamKenya ina wanamichezo 290 ambao wanashiriki kwenye michezo 22 tofauti. Msururu wa medali ndio unaanza na wameahidiwa mapochopocho ya ziada wakirudi nyumbani na medali za kueleweka. Wanamichezo wa Kenya hawana njaa kama hao wauza sura wenu. [emoji1139][emoji1139][emoji1139] Hii bendera ipe heshima inayostahili.Hongera, Ila warudi home wapambane na bei ya unga!!
Another one, Bronzes in the 4×100m women medley swimming.