THANKS for the concern,
kitu muhimu zaidi nilichofarijika ni RESPONSE NZURI YA MARAFIKI!
naomba marafiki wawe free tu kuchangia au kutochangia.
mambo ya fedha yasitufanye tuvunje bond yetu
kitu muhimu katika maisha yangu IS BEING CLOSER WITH WADUMISHA MILA GUYS FOR BETTER FOR WORSE
ahsante sana mpwaazTunaomba wakuchangie tu ili ufanikishe zoezi pevu hili.
hii tabia umeanza lini?
Wifi mbona unaye? Sema wifi mpya!
ahsante sana mpwaaz
by the way SPESHO THANKS TO FIDEL80,he is the guy i can rely on nikiwa tait kabisa maanake tukiwa home location yake NI THE NEXT GUEST HOUSE
mambo ya fedha yasitufanye tuvunje bond yetu
Eeee mpya tena wapya maana nishaona kama watatu hivi hapa ukumbini. nitakusemea kwa wifi wa zamani
hahaha!Ahaa! SENKSI!
Hehehe hapo ndo pagumu kweli kwa MTZ mtu anahama JF kabisa anahamia kwa Mithupu
hahaha!
thank you so much broda!
at this time of my wedding season i will be saving water by drinking several vitochiz of mbege
Hehehe hapo ndo pagumu kweli kwa MTZ mtu anahama JF kabisa anahamia kwa Mithupu
Eeee mpya tena wapya maana nishaona kama watatu hivi hapa ukumbini. nitakusemea kwa wifi wa zamani
Eeee mpya tena wapya maana nishaona kama watatu hivi hapa ukumbini. nitakusemea kwa wifi wa zamani
Kuna watu wana miss leo very conspicuously. Nimewamiss pia popote walipo jamani.
usiogope wote tunajuana na huwa tunapeana zamu na kila mmoja anajua zamu yake
Nawe ulikuwa gesti gani muda wote huu? Aika mbe! Hii inamaana mpaka nifike Makambako kitakuwa kimeshaeleweka kichwani!