13 february 2010

13 february 2010

THANKS for the concern,
kitu muhimu zaidi nilichofarijika ni RESPONSE NZURI YA MARAFIKI!
naomba marafiki wawe free tu kuchangia au kutochangia.
mambo ya fedha yasitufanye tuvunje bond yetu
kitu muhimu katika maisha yangu IS BEING CLOSER WITH WADUMISHA MILA GUYS FOR BETTER FOR WORSE

Ahaaa! Mila na IDUMU!
 
Tunaomba wakuchangie tu ili ufanikishe zoezi pevu hili.
ahsante sana mpwaaz
by the way SPESHO THANKS TO FIDEL80,he is the guy i can rely on nikiwa tait kabisa maanake tukiwa home location uake NI THE NEXT DOOR
 
ahsante sana mpwaaz
by the way SPESHO THANKS TO FIDEL80,he is the guy i can rely on nikiwa tait kabisa maanake tukiwa home location yake NI THE NEXT GUEST HOUSE

Ahaa! SENKSI!
 
Eeee mpya tena wapya maana nishaona kama watatu hivi hapa ukumbini. nitakusemea kwa wifi wa zamani

Hahaha! Hivi ndo kashanitosa? Subiri meku Iribini apige dua, mwenyewe atapiga U-turn kuja kudumishiwa mila.
 
Kuna watu wana miss leo very conspicuously. Nimewamiss pia popote walipo jamani.
 
hahaha!
thank you so much broda!
at this time of my wedding season i will be saving water by drinking several vitochiz of mbege

Ngoja nikafanze maarifa. Umenikumbusha!
 
Hehehe hapo ndo pagumu kweli kwa MTZ mtu anahama JF kabisa anahamia kwa Mithupu

this is the most painful part kwenye hii bond yetu!

''..some people WILL HATE YOU,AND HATE YOU!
.....halafu jumapili wanaenda kanisani,WAKATI MIOYONI KUNA CHUKI..''
 
Eeee mpya tena wapya maana nishaona kama watatu hivi hapa ukumbini. nitakusemea kwa wifi wa zamani

JS Kumeb mchokozi ivo eeh...mwambie akukabidhi na mchango kabisa lol
 
Eeee mpya tena wapya maana nishaona kama watatu hivi hapa ukumbini. nitakusemea kwa wifi wa zamani

usiogope wote tunajuana na huwa tunapeana zamu na kila mmoja anajua zamu yake
 
Kuna watu wana miss leo very conspicuously. Nimewamiss pia popote walipo jamani.

Binamu unajua chingereza si lugha yetu hapo maana yake nini Binamu Kizer kwenye red????unanitoa nishai mtu mzima aiseeee
 
I TAKE THIS OPPORTUNITY TO DELIVER MY SPECIAL THANKS TO BHT NA ZIONDAUGHTER!...

these ladies have always been there for me.

naamini leo wapo bize sana na majukumu

ziondaughter alinipa namba yake mara tu baada ya kumueleza ishu yangu...nakumbuka aliniambia ''COUNT ON ME,HAVE MY NUMBER''

bht ni mtu wangu sana,ninakuwa nae sana yahoo messenger naona leo yupo bize mahakamani,huenda kuna kesi anaisimamia

NAWAPENDA SANA DADA ZANGU
 
usiogope wote tunajuana na huwa tunapeana zamu na kila mmoja anajua zamu yake
unaambiwa na watoto wa uswazi manzese kwamba HAKUNA MWENYE HATIMILIKI YA MWANAUME, AKIWA KWAKO WAKO AKIWA KWAKE WAKE!!, ye mtoto wa masaki atajuaje??
 
usiogope wote tunajuana na huwa tunapeana zamu na kila mmoja anajua zamu yake

Si mtaniulia kaka yangu huyo jamani maana mawifi wapya mko watatu na wa zamani ni wa nne kwa wiki kuna siku 7 gawanya kwa 4 unapata 1.75 kwa hiyo kila mmoja anapata siku moja masaa 7 na dakika 5 ya zamu ndani ya wiki moja yeuwomiiiiiiiii kaka Xspin ninakupoteza hivihivi...............
 
Nawe ulikuwa gesti gani muda wote huu? Aika mbe! Hii inamaana mpaka nifike Makambako kitakuwa kimeshaeleweka kichwani!

Wakoloni gesti hausi....mzee! hii kitu mnaikimbiza sana.........wazee! si na mabokisi tunashindwa kunata na beats!
 
bht ni mtu wangu sana,ninakuwa nae sana yahoo messenger naona leo yupo bize mahakamani,huenda kuna kesi anaisimamia

NAWAPENDA SANA DADA ZANGU
BHT kahama sredi leo, hope anaogopa mchango!.
 
Back
Top Bottom