na wewe mbona hujanipa minutes za kikao kilichopita?
Ni kawaida sana Geoff hasa katika wakati kama huu usijali yote yatasawazika baada ya shughuli. Tuko pamoja. Mie ntataka kuwa karibu na wifi nimpe takitiki za kuishi na wewekaribu sana mamii!
thanks for all the support
forgive me just incase i did'f match with your principles...!out of stresses nimepishana na watu ninaowapenda sana!
ONE LOVE
Mimi hapa
OUT OF THIS MARRIAGE stuff invisible alitutengenezea mails nzuriPlease check your JF email. Ndo maana yake jamani kuwa na email tumecrculate, unless hujaipata..lemme chek the 'recipients'
how r u by the way?
We experience ya kutunza fedha uliipatia wapi? Kama si ufisadi wa Kaizer, mi ndo ningekuwa mtunza fedha. Mchango wangu njoo uchukue. Nipo hapa Waungwana gesti hausi ruum namba saba.
Ilimradi usimpe ile tekiniki ya nyamayao. Au kumfundisha namna ya ku-unbar msg na simu zinazoingia!Ni kawaida sana Geoff hasa katika wakati kama huu usijali yote yatasawazika baada ya shughuli. Tuko pamoja. Mie ntataka kuwa karibu na wifi nimpe takitiki za kuishi na wewe
haina shaka mkuu wangu!Ni kawaida sana Geoff hasa katika wakati kama huu usijali yote yatasawazika baada ya shughuli. Tuko pamoja. Mie ntataka kuwa karibu na wifi nimpe takitiki za kuishi na wewe
Ningeshangaa mnuso ukupite! Nami Nimo jamani! Hata mkitaka nije wawili![/QUOTE]
eh? utaji clone mje wawili identical kabisa eh!!! we naona wataka kula mara mbili na vinywaji x2..ahahahhahah
mbona na wish ningekuwa karibu nitie timu!!!
Mmhh kazi kweli kweli
Ningeshangaa mnuso ukupite! Nami Nimo jamani! Hata mkitaka nije wawili![/QUOTE]
eh? utaji clone mje wawili identical kabisa eh!!! we naona wataka kula mara mbili na vinywaji x2..ahahahhahah
mbona na wish ningekuwa karibu nitie timu!!!
Hahaha! We nawe kwa kunitibulia dili zangu sikuwezi! LOL!
duh, na wewe unaolewa?, TUZICHANGANYE PAMOJA NINI??Na mimi NAOLEWA tarehe hiyo hiyo wapwazz na binamuzz................sasa inakuaje????????😉
duh, kina elizazz usisahau kuwamensheninatarajia kuondoka hapa dar tar 11/02/2010 kwa ajili ya kuwahi maungamo na mafundisho kidogo kabla ya ndoa!......
hahahaaa, nimeiona: SENKSIGP nakupa thanks lakini haitokei sijui mod anaibania eeh
aaaahh, mail gani tena mpwazz, SIJAPATA ati.OUT OF THIS MARRIAGE stuff invisible alitutengenezea mails nzuri
thank you kaizer,umewafanyia wapwaaz mambo makubwa sana...!
hata sijaicheki, let me check pls.Please check your JF email. Ndo maana yake jamani kuwa na email tumecrculate, unless hujaipata..lemme chek the 'recipients'
how r u by the way?
Usijali mkuu nakuelewa vilivyo
Breki za nyuma zinafanya kazi? Iringa siyo shieni mjomba!Nitaondoka asubuhi sana tareh 12 kuelekea Iringa nina gari aina ya VOLKWSAGEN kwa wale tunaoenda tafadhali naomba mini PM. Msibebe zawadi nzito gari yangu haina nguvu tafadhali mmpeni cash.
Hivi huyu preta ni nani? Mbona kama najisikia kudumisha mila pamoja naye?
thanks pal!Nitaondoka asubuhi sana tareh 12 kuelekea Iringa nina gari aina ya VOLKWSAGEN kwa wale tunaoenda tafadhali naomba mini PM. Msibebe zawadi nzito gari yangu haina nguvu tafadhali mmpeni cash.