13 february 2010

13 february 2010

na wewe mbona hujanipa minutes za kikao kilichopita?

Please check your JF email. Ndo maana yake jamani kuwa na email tumecrculate, unless hujaipata..lemme chek the 'recipients'

how r u by the way?
 
karibu sana mamii!
thanks for all the support
forgive me just incase i did'f match with your principles...!out of stresses nimepishana na watu ninaowapenda sana!
ONE LOVE
Ni kawaida sana Geoff hasa katika wakati kama huu usijali yote yatasawazika baada ya shughuli. Tuko pamoja. Mie ntataka kuwa karibu na wifi nimpe takitiki za kuishi na wewe
 
Please check your JF email. Ndo maana yake jamani kuwa na email tumecrculate, unless hujaipata..lemme chek the 'recipients'

how r u by the way?
OUT OF THIS MARRIAGE stuff invisible alitutengenezea mails nzuri
thank you kaizer,umewafanyia wapwaaz mambo makubwa sana...!
 
We experience ya kutunza fedha uliipatia wapi? Kama si ufisadi wa Kaizer, mi ndo ningekuwa mtunza fedha. Mchango wangu njoo uchukue. Nipo hapa Waungwana gesti hausi ruum namba saba.

Mmhh kazi kweli kweli
 
Ni kawaida sana Geoff hasa katika wakati kama huu usijali yote yatasawazika baada ya shughuli. Tuko pamoja. Mie ntataka kuwa karibu na wifi nimpe takitiki za kuishi na wewe
Ilimradi usimpe ile tekiniki ya nyamayao. Au kumfundisha namna ya ku-unbar msg na simu zinazoingia!
 
Ni kawaida sana Geoff hasa katika wakati kama huu usijali yote yatasawazika baada ya shughuli. Tuko pamoja. Mie ntataka kuwa karibu na wifi nimpe takitiki za kuishi na wewe
haina shaka mkuu wangu!
kumbuka tu PRACTICALLY i am NOT A BAD MAN!nikiwa hapa jamvini nina taswira ya wrong perception,THIS IS JUST KEYBOARD
 
Ningeshangaa mnuso ukupite! Nami Nimo jamani! Hata mkitaka nije wawili![/QUOTE]

eh? utaji clone mje wawili identical kabisa eh!!! we naona wataka kula mara mbili na vinywaji x2..ahahahhahah
mbona na wish ningekuwa karibu nitie timu!!!
 
Hahaha! We nawe kwa kunitibulia dili zangu sikuwezi! LOL!
 
Na mimi NAOLEWA tarehe hiyo hiyo wapwazz na binamuzz................sasa inakuaje????????😉
duh, na wewe unaolewa?, TUZICHANGANYE PAMOJA NINI??
natarajia kuondoka hapa dar tar 11/02/2010 kwa ajili ya kuwahi maungamo na mafundisho kidogo kabla ya ndoa!......
duh, kina elizazz usisahau kuwamensheni
GP nakupa thanks lakini haitokei sijui mod anaibania eeh
hahahaaa, nimeiona: SENKSI
OUT OF THIS MARRIAGE stuff invisible alitutengenezea mails nzuri
thank you kaizer,umewafanyia wapwaaz mambo makubwa sana...!
aaaahh, mail gani tena mpwazz, SIJAPATA ati.
 
Please check your JF email. Ndo maana yake jamani kuwa na email tumecrculate, unless hujaipata..lemme chek the 'recipients'

how r u by the way?
hata sijaicheki, let me check pls.
I am very fine though my dia.
 
nimefanya mkakati wa chini chini kuhakikisha ULANZI HAUPUNGUI SIKU HIYO!i want you guys to enjoy the event

kwangu mimi ni kitu kizuri sana kwasababu IT HAPPENS ONCE PER LIFE!
 
Nitaondoka asubuhi sana tareh 12 kuelekea Iringa nina gari aina ya VOLKWSAGEN kwa wale tunaoenda tafadhali naomba mini PM. Msibebe zawadi nzito gari yangu haina nguvu tafadhali mmpeni cash.
 
Breki za nyuma zinafanya kazi? Iringa siyo shieni mjomba!
 
Nitaondoka asubuhi sana tareh 12 kuelekea Iringa nina gari aina ya VOLKWSAGEN kwa wale tunaoenda tafadhali naomba mini PM. Msibebe zawadi nzito gari yangu haina nguvu tafadhali mmpeni cash.
thanks pal!
pamoja sana
nashukuru kwa kuwa responsible
sio kitu rahisi kwa binadamu wa kawaida kuwa responsible kwa level hii.

AHSANTENI SANA WAKUU!
sioni jema hata moja nilowafanyia lakini you people are there for me FOREVER AND FOR ALWAYS
 
Back
Top Bottom