13 Problems with Pork, will make you shun the meat

Daah mkuu mbavu zangu hapo kwenye red
 
Labda ebola ihamie kwa kitimoto ndo nitaacha kula
 
Ni uongo na wivu tu, toxins zinatoka wapi kwenye Nyama iliyochemshwa Kwa moto mkali? by the way ni chuki binafsi tu dhiki ya pork, mbona wazungu ndo walaji wakubwa na ndo wanaishi miaka kibao? acheni wivu, yaani kuiacha pork ya kurost na ndizi yataka moyo Sana
 
Usipokula kitimoto unautendea dhambi ulimi wako ....hakuna kitu kama meee katoliki
 
The more you are telling pork stories, the more am feeling to miss pork choma.
Good....waongo kabisa hao!! Maana kila kitu wanasema ni kibaya....Mimi nakula kila ninachotaka....wasilete sayansi na tafiti za kijinga hapa! Waendelee kula hao kuku wao Wa kisasa na uchafu mwingine wote.... Lakini pork lazima niipige
 
Kamanda hapa hakiachwi kitu Kwny kitimoto bahati mbaya supu ya kitimoto hainyweki kama ya mbuzi la sivyo mpk yenyewe ningekunywa tu. KITIMOTO for life
 
Kamanda hapa hakiachwi kitu Kwny kitimoto bahati mbaya supu ya kitimoto hainyweki kama ya mbuzi la sivyo mpk yenyewe ningekunywa tu. KITIMOTO for life
K4REAL Haya bana we kula tu hizo laana
 
Usilete utani kwenye hii kitu aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…