13 Problems with Pork, will make you shun the meat

13 Problems with Pork, will make you shun the meat

Hiyo ni nguruwe??
kumbe hata huijui nguruwe? chukua nyingine hii
11014676_1209063542441395_7360265988707568883_n.jpg
11014676_1209063542441395_7360265988707568883_n.jpg
11014676_1209063542441395_7360265988707568883_n.jpg
10502143_952141531466932_3650862621506676574_n.jpg

Usipokula Mbuzi Katoliki unakosa ubunifu.Angalia watu wote wanaokula Mbuzikatoliki ni wabunifu wakubwa kuanzia wanasayansi,watawala,wanamichezo na nk.
Mbuzi-katoliki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mimi huwa namshangaa sana mtu anaekuka nguruwe, hivi anawezaje? Mi ninaamini hakunamtu anaekula nguruwe, ila KITIMITO usifanye mchezo bwana, upate choma au rosti na dona kando, balaàaaaaaà
 
Wiki ilopita tumepiga kitimoto na juma pale karibu na segerea chama. Hatari sana huyu mdudu.
 
Kesho uje na uchambuzi wa papuchi make naona umejipanga kupiga vita vitu vyote vilivyo vitamu
 
Ng'ombe anatoa jasho? China ni nchi mojawapo yenye matumiz makubwa sana ya kitimoto mbona tusisikie takwimu kubwa za vifo vinavyotokana na kula kitimoto. Hizi ni propaganda, ziko nyingi sana, kwenye kuku zipo, red meat, mboga za majani, matunda aina nyingi tu kama apples, water melon, nk. Yan ukisikiliza kila kitu unachoambiwa unaweza kuwa unakunywa maji tu.
kama umewahi kuishi na wachina utagundua tu wengi hawako sawa,its like kuna nati haijakaza vizuri kichwani.
Alaf kwan lazima ule kitimoto,mbona nyama ziko mingi tu.kuku,ngombe,mbuzi,bata (aina zote),kondoo,swala,digidigi,samaki etc etc.kwan uspokula Nguruwe unapungukiwa na nn?
 
mimi hapana kitimoto...
bia mwakemwake lakini nachaguaga ambazo hazichomi kitimoto maana harufu tu inanifaanya nichefukwe niumwe kichhwa nadhani nina majini hiyo kitu mimi ni big no
 
Lakin wametengeneza daraja la km 41 juu ya maji, wana structure ya uzalishaji wa umeme wa maji kubwa kuliko zote duniani ni very interesting ukipata muda iangalie kwenye youtube utajua kitimoto imeadd value, hapo ulivyoweka labda samaki vingine vina madhara. Natania tu, hakuna correlation ya kitimoto na technology.

Back
Top Bottom