13 Problems with Pork, will make you shun the meat

13 Problems with Pork, will make you shun the meat

Mbona kuku hula uchafu mwingi but hamsemi kwa taarifa yako nyama ya pork hupunguza makali ya virus vya ukimwi
 
vitu vyote vitamu vimekatazwa. tigo nayo. ulimwengu umetutawala tusamehe eeh Mungu
 
Mwee huyu mnyama ukiskia anatajwa tu hata kwa sifa mbaya mate yanadondoka unachek kama ka mfuko kako sawa ukajipatie kidogo
 
Hii nyama ni tamu aisee
[emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Jerry hemu nijibu hili then nitaacha.
Kitimoto kimekuwa kinatumiwa miaka yote tangu hapo zaman sana kuumbwa ulimwengu, Nipe evidence ya watu/ugonjwa unaosababishwa na kula kitimoto.
Toa evidence ya kitabibu kuwa kuna watu/mtu fulani alipata ugonjwa /alkufa kwa kula kitimoto.
Nani ameshaumwa kwa kula kitimoto miaka yote hii.

Kama huna majibu basi ukae kimya hafu utambue kuwa hizi unazopiga hapa ni siasa chafu kwa watumiaji wa kitimoto.
Ukisema uangalie anachokula mnyama basi ni kheri usile nyama kabsa uwe Vegetarian tu, maana nyama zote za wanyama zina madhara usipozitumia kwa kiasi.
 
Back
Top Bottom