Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Bora niache kula kuku sio kitimotoJitahd uje uache
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora niache kula kuku sio kitimotoJitahd uje uache
Ha ha ha mate yananitoka hapa hadi basiNa namba ya mpiga nyundo akishushwa mzigo ulio Nona vyema napigiwa Simu nikachukue kilo zangu
Huyu mnyama wamuache tu ..Ha ha ha mate yananitoka hapa hadi basi
Mbona kuku hula uchafu mwingi but hamsemi kwa taarifa yako nyama ya pork hupunguza makali ya virus vya ukimwi
Daaah una evidence iliosema kwamba ninyama tukufuu angalia maneno unayosema yawe yana make senseAcha rohoo mbaya ya kuiponda nyama yetu tukufu wewe!!!
Niliachaga kula kitimoto.
Uhuuuuuu
Ana nyota kama ya diamond nini[emoji16][emoji16][emoji16]Uyu mdudu ashaonewa sanaa ila ndio ivyo ana nyota yake acha tumle tu.
vitu vyote vitamu vimekatazwa. tigo nayo. ulimwengu umetutawala tusamehe eeh Mungu
ndo ivo mkuu hata tigo siunaona bana.Mmh seriously? Vitu vyote vitamu ni vby
Kale ka usemi kuwa "mti mzuri ndio unapondwa mawe "unatima sasa...kwasisi watumiaji yani mapenzi mdo yanazidi kuongezeka.
Kale ka usemi kuwa "mti mzuri ndio unapondwa mawe "unatima sasa...kwasisi watumiaji yani mapenzi mdo yanazidi kuongezeka.
We itukaneeeee weeeeeee lakini kitimoto na kaugali au ndizi pembeni ,utafikiri mahindi na mgomba kapanda yeye.