Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
- Thread starter
- #41
Hiyo ni nguruwe??Usilete utani kwenye hii kitu aisee
View attachment 336035
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni nguruwe??Usilete utani kwenye hii kitu aisee
View attachment 336035
kumbe hata huijui nguruwe? chukua nyingine hiiHiyo ni nguruwe??
Mbuzi-katoliki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Usipokula Mbuzi Katoliki unakosa ubunifu.Angalia watu wote wanaokula Mbuzikatoliki ni wabunifu wakubwa kuanzia wanasayansi,watawala,wanamichezo na nk.
na sikuzote kinachopingwa zaidi ndicho bora"Uyu mdudu ashaonewa sanaa ila ndio ivyo ana nyota yake acha tumle tu.
Shauri yakoUsimzushie mdudu tuhuma za kijinga....
Inaskitisha sanaWiki ilopita tumepiga kitimoto na juma pale karibu na segerea chama. Hatari sana huyu mdudu.
Hahahaha papuchi na dushe vilipeww ladha na M/Mungu havielezekiKesho uje na uchambuzi wa papuchi make naona umejipanga kupiga vita vitu vyote vilivyo vitamu
kama umewahi kuishi na wachina utagundua tu wengi hawako sawa,its like kuna nati haijakaza vizuri kichwani.Ng'ombe anatoa jasho? China ni nchi mojawapo yenye matumiz makubwa sana ya kitimoto mbona tusisikie takwimu kubwa za vifo vinavyotokana na kula kitimoto. Hizi ni propaganda, ziko nyingi sana, kwenye kuku zipo, red meat, mboga za majani, matunda aina nyingi tu kama apples, water melon, nk. Yan ukisikiliza kila kitu unachoambiwa unaweza kuwa unakunywa maji tu.
kama umewahi kuishi na wachina utagundua tu wengi hawako sawa,its like kuna nati haijakaza vizuri kichwani.
Alaf kwan lazima ule kitimoto,mbona nyama ziko mingi tu.kuku,ngombe,mbuzi,bata (aina zote),kondoo,swala,digidigi,samaki etc etc.kwan uspokula Nguruwe unapungukiwa na nn?
Mkuu umenikumbusha mabo yetu, hapa natamani hata nijiibe kidoga kazini nikapate kidogoMambo ya kutamanishana haya sasa, hapo ukimaliza unatelemsha na bia bariid