13 Problems with Pork, will make you shun the meat

Kwani nani hajui!!!ndo maana ulianzisha Uzi eti Nchi ya Bruinei hakuna nguruwe!! Saizi umeleta Uzi Sijui nguruwe anashida!!
Wewe ndo unashida ebu waache wanaokula wale kama huli funga mdomo au huwa wanakuletea Nyumbani kwako!!
In fact
Nyama ya nguruwe ndio inapendekezwa kutumia zaidi kuliko red meat zote kwa sababu mafuta yake hayagandi!! Hivyo risk ya cholesterols in blood ni ndogo
Peleka huu uzi kwa Anti-kitimoto wenzio au nenda kwenye hiyo nchi unayoisifia
 
We ni mtu wa Takbih ama? Watu wanavuta sigara na wanajua kuwa zinaongeza uwezekano wa kupata kansa ya mapafu kwa zaidi ya 50% sembuse kitimoto? Ile nyama laini, nyeupe, tamu na yenye mafuta yasiyoganda? Puliiiiiiziiii!

Kama ni suala la kiimani hiyo ni ishu nyingine...
 
Kiafya mkuu, sio kiimani pekee. Mm sio mtu wa takbir
 
Mabaya wakuzushie, na mengine wakuzushieee siachi
Kukupenda siachi.... Kukuwaza siachi
Kitimotooo eeh siachi
 
Mabaya wakuzushie, na mengine wakuzushieee siachi
Kukupenda siachi.... Kukuwaza siachi
Kitimotooo eeh siachi


Nyama gani hiyo aisee? Kitimoto hata hua haichunwi, haitengenezqi supu daah
 
Nini kuchunwa baba hata kuchinjwa hachinjwi anapigwa nyundo ya kichwa..... Hivo hivo tu mie na kitimoto hadi mwisho wa dunia
Hahaha sister! Kumbe huwa ni KIBUDU mayooooo sikua nakumbuka, hachinjwi loh! Bado unamtamani tu?
 
Hahaha sister! Kumbe huwa ni KIBUDU mayooooo sikua nakumbuka, hachinjwi loh! Bado unamtamani tu?
Pia ngozi yake inachunwa na wembe, mie nikimla namkata na mkasi kabisa poopppsss nimemtamani ngoja nifanye namna hapa
 
Na namba ya mpiga nyundo akishushwa mzigo ulio Nona vyema napigiwa Simu nikachukue kilo zangu
 
Na namba ya mpiga nyundo akishushwa mzigo ulio Nona vyema napigiwa Simu nikachukue kilo zangu

Mmh haki ya nani vile kweli watu mko serious, yani mpk
Mpiga nyundo unamjua? Sasa damu si inavilia humo kichwani? Hivi kwa nn hua hachinjwi kama kuku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…