mkuu hata kwenye maji utaambiwa kuna bacteriasNg'ombe anatoa jasho? China ni nchi mojawapo yenye matumiz makubwa sana ya kitimoto mbona tusisikie takwimu kubwa za vifo vinavyotokana na kula kitimoto. Hizi ni propaganda, ziko nyingi sana, kwenye kuku zipo, red meat, mboga za majani, matunda aina nyingi tu kama apples, water melon, nk. Yan ukisikiliza kila kitu unachoambiwa unaweza kuwa unakunywa maji tu.
Hata ma-vegetarian nao hawako salama kivile. Pesticides residue, genetically modified seeds, contaminated water/soil... Ujanja ni kula na kunywa ukipendacho in moderation na ikiwezekana badili badili. Vinginevyo utashindwa kuishi hapa duniani kwani karibu kila kitu inaonekana kina madhara. Wenyewe huwa wanasema "Eat well. Exercise. Die anyway!"Jerry hemu nijibu hili then nitaacha.
Kitimoto kimekuwa kinatumiwa miaka yote tangu hapo zaman sana kuumbwa ulimwengu, Nipe evidence ya watu/ugonjwa unaosababishwa na kula kitimoto.
Toa evidence ya kitabibu kuwa kuna watu/mtu fulani alipata ugonjwa /alkufa kwa kula kitimoto.
Nani ameshaumwa kwa kula kitimoto miaka yote hii.
Kama huna majibu basi ukae kimya hafu utambue kuwa hizi unazopiga hapa ni siasa chafu kwa watumiaji wa kitimoto.
Ukisema uangalie anachokula mnyama basi ni kheri usile nyama kabsa uwe Vegetarian tu, maana nyama zote za wanyama zina madhara usipozitumia kwa kiasi.
Kama jana nikaenda katika kimkahawa fulani hivi amaizing ambapo unachagua ingredients mwenyewe. Basi ngosha pembeni barbecued pork ribs, kwenye salad bacon ya kutosha halafu nikasukumizia na vishoti kadhaa vya Grand Manier. I slept like a baby. Huyu mnyama analeta tulizo na ridhiko la moyo safi sana. Nyie wakandiaji mshindwe na mlegee!Yani majina matamu matamu tu pork chops,pork ribs,pork fillet,kitmoto,ham,becon hapo huchomoki,
Umetisha Mkuu.. Hahaahaaa...Kama jana nikaenda katika kimkahawa fulani hivi amaizing ambapo unachagua ingredients mwenyewe. Basi ngosha pembeni barbecued pork ribs, kwenye salad bacon ya kutosha halafu nikasukumizia na vishoti kadhaa vya Grand Manier. I slept like a baby. Huyu mnyama analeta tulizo na ridhiko la moyo safi sana. Nyie wakandiaji mshindwe na mlegee!
Kama jana nikaenda katika kimkahawa fulani hivi amaizing ambapo unachagua ingredients mwenyewe. Basi ngosha pembeni barbecued pork ribs, kwenye salad bacon ya kutosha halafu nikasukumizia na vishoti kadhaa vya Grand Manier. I slept like a baby. Huyu mnyama analeta tulizo na ridhiko la moyo safi sana. Nyie wakandiaji mshindwe na mlegee!
Mnatupa mawazo tu na nimekula pork ribs muda si mrefu......mdudu mtamu huyu aisee
Nyie wote acheni kula...Mimi siachi hii kitu.
[emoji38] [emoji38] [emoji12] vp ushakula ya kuchoma afu ukashushia na tubia tuwili tutatu twa bariiidi. Usiombe ukutwe na bwana pork mwenyewe hadi atajionea wivu[emoji39] [emoji39]Kitimoto ni mtamu jamani, utamu wake hauna mfano.....achana na vitu vinavoanziwa na K!!!!
Unanitoa mate.....[emoji38] [emoji38] [emoji12] vp ushakula ya kuchoma afu ukashushia na tubia tuwili tutatu twa bariiidi. Usiombe ukutwe na bwana pork mwenyewe hadi atajionea wivu[emoji39] [emoji39]
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji83] [emoji39]Unanitoa mate.....
Yani huyu kitimoto huyu sijui ni yale mapepo aliyotupiwa ndo yanazidi kumfanya awe mtamu
Unanitoa mate.....
Yani huyu kitimoto huyu sijui ni yale mapepo aliyotupiwa ndo yanazidi kumfanya awe mtamu
Wakristo na waislamu vitabu vyao vimekataza kula pork. Lakini sisi binadamu ndio hivyo lazima tufanye ubinadamu wetu. Ukifanya research utaona maradhi mengi yaliyotokana na huyu mdudu na watu waliopoteza maisha kwa hayo maradhi. Mtoa mada nadhani ujumbe umefika, ila sio rahisi mtu aliezoea kula huyu mdudu akaacha tu. Labda wale wanaojali sanaaaa afya zao. Kuna msemo unasema "ukila nguruwe utakua kama nguruwe"
Nakiri, nipo tayari kuwa nguruwe jikeWakristo na waislamu vitabu vyao vimekataza kula pork. Lakini sisi binadamu ndio hivyo lazima tufanye ubinadamu wetu. Ukifanya research utaona maradhi mengi yaliyotokana na huyu mdudu na watu waliopoteza maisha kwa hayo maradhi. Mtoa mada nadhani ujumbe umefika, ila sio rahisi mtu aliezoea kula huyu mdudu akaacha tu. Labda wale wanaojali sanaaaa afya zao. Kuna msemo unasema "ukila nguruwe utakua kama nguruwe"