sammoo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 701
- 1,604
mkuu hata kwenye maji utaambiwa kuna bacteriasNg'ombe anatoa jasho? China ni nchi mojawapo yenye matumiz makubwa sana ya kitimoto mbona tusisikie takwimu kubwa za vifo vinavyotokana na kula kitimoto. Hizi ni propaganda, ziko nyingi sana, kwenye kuku zipo, red meat, mboga za majani, matunda aina nyingi tu kama apples, water melon, nk. Yan ukisikiliza kila kitu unachoambiwa unaweza kuwa unakunywa maji tu.