Marsabit iko kwa crisis mbaya sana. For 147 days sasa, hospitals zimekuwa paralyzed kutokana na strike ya clinical officers na sasa hii si labour issue tena, ni full humanitarian disaster.
Huduma za afya zimeanguka vibaya. Patients wanalazimika kusafiri long distances kutafuta treatment ama kubaki nyumbani wakirisk maisha yao.
Data inaonyesha hali imezidi kuwa mbaya. Newborn deaths zimepanda kutoka 2 per 1,000 hadi 21 in 100 births. Outpatient visits zimedrop zaidi ya 90%, na hospitals kama Moyale, Kalacha na Laisamis zimefungwa kabisa.
Hii ni hatari sana. Wamama wanajifungulia nyumbani bila skilled care, na wengine wanapoteza watoto wachanga due to lack of services.
Sasa residents wako na tough choices kulipa private hospitals ambazo ni expensive, kuvuka mpaka hadi Ethiopia, ama kubaki tu hoping for the best.Strike ilianza juu ya issues kama delayed salaries, lack of promotions na failure ya county kuimplement agreements but mpaka sasa hakuna solution in sight.
Mazungumzo yamekuwa yakivunjika mara kwa mara, huku health workers wakisema hata hawalipwi na wameondolewa payroll.
Reality ni kwamba, situation inaweza kuwa worse kuliko data inaonyesha juu wengi hawaendi hospitali kabisa.
Marsabit si normal tena hii ni disaster. Swali ni, serikali itachukua action lini before more lives are lost?
Source: Nation Media