15 Julai, 2021; Hayati Magufuli atakumbukwa kwa kasi sana na watu wa kada zote

Believe me,hii mipango yote ya kodi na bajeti nzima ya 2021 JPM aliacha ikiwa imekamilika.

Kama bajeti hii ni nzuri credit ziende kwa JPM. Kama ni mbaya lawama ziende kwake pia.
Acheni upuuzi JPM alikuwa na akili tofauti na hawa vilaza!

Asingekubali kuumiza maskini kwa namna hii ila vilaza waliobaki wameshindwa kutumia akili vizuri wakaona pa kuponea ni kwenye miamala ya Mpesa na mafuta!
 
Hahaha..hapo ndipo napogundua ni kweli una vyeti feki..aliekwambia VRF imeondolewa ni nani? Unaskiliza maneno ya jukwaani mkuuu..ebu nenda pale bodi dai statement ya malipo yako..utapewa za uso asubuh kweupee..tulia kijana unyolewee na samia..na huu n mwanzo..
 
Believe me,hii mipango yote ya kodi na bajeti nzima ya 2021 JPM aliacha ikiwa imekamilika.

Kama bajeti hii ni nzuri credit ziende kwa JPM. Kama ni mbaya lawama ziende kwake pia.
Hahahaha...mkuu unanichekeshaa kwel kwel..waziri wa fedha alikuwa mpango wakat wa jpm..sasa yule madeluu..unajichekeshaa tu..ila ukwel unaoo..jpm was the genius bro..hawezi andaa budget ya kijinga kiasi hichi kuumiza watu wake aliokuwa anawapigania kutwa kuchaa..never
 
Hapa ndo tutajua hatujui,baada ya kusogea hatua 10 mbele basi tumerudi hatua 7 nyuma
 
Mm sitokaa nimkumbuke mshamba, mento yule (according to Diallo), mtekaji, mtukanaji, muuaji mkubwa yule. Never on the Earth!
Wewe ni pimbi tu ndo maana unajiita sexless na ID yako fake.
 
Mateso gani wewe mjinga. Watu wapo na wataendelea kuwepo, Nyinyi ndo lile kundi la vyeti fake na watu wenye mguu ya supoku mlio na ukabila.
 
Kwa kuwa babaako na mamaako ni mapunguani na usidhani kila mtu ni punguani ZWAZWA wewe!

Hakuna anachojua huyo.
Punguani wa bavicha.
 
Sina imani tena.nilikuwa namkubali kupitiliza JPM.alipoondoka nililia mno ni kanakwamba alikuwa ananifahamu..utendeji wake ulinipa tumain.

lakini baba amelala na hawezi amka kimwili.alikuja mama nikaanza kupata tumaini kidogo nikiamini alipopaacha JPM mama atapaendeleza.

Alinistua zaidi aliporuhusu mitandao ya simu ipandishe kodi kwa wananchi.

Ameshindwa kabisa kuzuia hili la tozo la miamala ya pesa!tumaini liko wapi?hakuna tumaini kwa watu wenye daraja la chini lamaisha kama sisi na hizi tozo za miamalaπŸ˜”πŸ˜”.hivi ni kwamba mama Samia hajui kuna watu huku hata pesa ya kula ni changamoto kuipata?ni huzuni mno?

Tumaini liko Kwa wachache mnoπŸ˜”πŸ˜”ni huzuni iliyopitiliza.

Nikiweka unafiki pembeni wa kuonekana nasifia kumbe ni mateso na huzuni ninamkumbuja Magufuli mara elfu moja
 
Wacha ujinga wewe!!! Kwa hiyo muuaji nimshangilie kwa sababu hakuua kwenye ukoo wangu!? Akili za wapi hizi!? 😳😳
Kama sio ww basi kuna ndugu yak alikua mtumbuliwa.."xo jamaa anapata ugari kwa taaab"
 
Si ajabu hizi tozo zitakua za milele hata baada ya kukamilisha hizo mega project!!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ una ufinyu mkubwa wa akili wewe na umande uliukimbia hata kuandika hujui
🀣🀣🀣🀣🀣 unaandika upuuzi wa xo, ugari, taaab hao ni wadudu gani mpuuzi wewe!?

Kama sio ww basi kuna ndugu yak alikua mtumbuliwa.."xo jamaa anapata ugari kwa taaab"
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ una ufinyu mkubwa wa akili wewe na umande uliukimbia hata kuandika hujui
🀣🀣🀣🀣🀣 unaandika upuuzi wa xo, ugari, taaab hao ni wadudu gani mpuuzi wewe!?
Mbeba mabox kwa wazee wa kizungu.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ una ufinyu mkubwa wa akili wewe na umande uliukimbia hata kuandika hujui
🀣🀣🀣🀣🀣 unaandika upuuzi wa xo, ugari, taaab hao ni wadudu gani mpuuzi wewe!?
Mpuuzi WiFi yako,,,kuandika ndo akili
 
ZWAZWA kweli wewe!!! Kwa kuwa Babaako ana MAWIFI basi unadhani kila mtu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ peleka upuuzi wako kwingine!!!

Mpuuzi WiFi yako,,,kuandika ndo akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…