15 Julai, 2021; Hayati Magufuli atakumbukwa kwa kasi sana na watu wa kada zote

15 Julai, 2021; Hayati Magufuli atakumbukwa kwa kasi sana na watu wa kada zote

Believe me,hii mipango yote ya kodi na bajeti nzima ya 2021 JPM aliacha ikiwa imekamilika.

Kama bajeti hii ni nzuri credit ziende kwa JPM. Kama ni mbaya lawama ziende kwake pia.
Acheni upuuzi JPM alikuwa na akili tofauti na hawa vilaza!

Asingekubali kuumiza maskini kwa namna hii ila vilaza waliobaki wameshindwa kutumia akili vizuri wakaona pa kuponea ni kwenye miamala ya Mpesa na mafuta!
 
We mpuuzi kweli, ningekuwa na vyeti feki nisingekuwa nafurahi kuondolewa kwa VRF, nisingekuwa naongelea maswala ya kupandishwa madaraja wala uhamisho wa watumishi. Unajifanya unanifahamu lakini hunifahamu hata huyo Bungara simjui

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
Hahaha..hapo ndipo napogundua ni kweli una vyeti feki..aliekwambia VRF imeondolewa ni nani? Unaskiliza maneno ya jukwaani mkuuu..ebu nenda pale bodi dai statement ya malipo yako..utapewa za uso asubuh kweupee..tulia kijana unyolewee na samia..na huu n mwanzo..
 
Believe me,hii mipango yote ya kodi na bajeti nzima ya 2021 JPM aliacha ikiwa imekamilika.

Kama bajeti hii ni nzuri credit ziende kwa JPM. Kama ni mbaya lawama ziende kwake pia.
Hahahaha...mkuu unanichekeshaa kwel kwel..waziri wa fedha alikuwa mpango wakat wa jpm..sasa yule madeluu..unajichekeshaa tu..ila ukwel unaoo..jpm was the genius bro..hawezi andaa budget ya kijinga kiasi hichi kuumiza watu wake aliokuwa anawapigania kutwa kuchaa..never
 
Hapa ndo tutajua hatujui,baada ya kusogea hatua 10 mbele basi tumerudi hatua 7 nyuma
 
Huyu jamaa hajitambui, hajui mateso mangapi watanzania tumepitia kipindi cha Magufuli, haona hata akina Ndugai, Gwajima nk wanavyokula matapishi yao kwa sasa, walikuwa wanalinda matumbo yao kwa kumuogopa Magufuli.

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
Mateso gani wewe mjinga. Watu wapo na wataendelea kuwepo, Nyinyi ndo lile kundi la vyeti fake na watu wenye mguu ya supoku mlio na ukabila.
 
Sina imani tena.nilikuwa namkubali kupitiliza JPM.alipoondoka nililia mno ni kanakwamba alikuwa ananifahamu..utendeji wake ulinipa tumain.

lakini baba amelala na hawezi amka kimwili.alikuja mama nikaanza kupata tumaini kidogo nikiamini alipopaacha JPM mama atapaendeleza.

Alinistua zaidi aliporuhusu mitandao ya simu ipandishe kodi kwa wananchi.

Ameshindwa kabisa kuzuia hili la tozo la miamala ya pesa!tumaini liko wapi?hakuna tumaini kwa watu wenye daraja la chini lamaisha kama sisi na hizi tozo za miamala😔😔.hivi ni kwamba mama Samia hajui kuna watu huku hata pesa ya kula ni changamoto kuipata?ni huzuni mno?

Tumaini liko Kwa wachache mno😔😔ni huzuni iliyopitiliza.

Nikiweka unafiki pembeni wa kuonekana nasifia kumbe ni mateso na huzuni ninamkumbuja Magufuli mara elfu moja
9E1446E8-2DE1-43D1-81FD-E65124CCC235.jpeg
 
Wacha ujinga wewe!!! Kwa hiyo muuaji nimshangilie kwa sababu hakuua kwenye ukoo wangu!? Akili za wapi hizi!? 😳😳
Kama sio ww basi kuna ndugu yak alikua mtumbuliwa.."xo jamaa anapata ugari kwa taaab"
 
Watu wengi wanashindwa kujua kwa nini kodi zimepanda. Fuatana nami katika hili;
Kipindi cha magufuli alijidhatiti katika ukusanyaji wa kodi, wafanyabiashara wakubwa waliokuwa wanalipa kodi isiyo sahihi walilazimishwa kulipa kodi sahihi na hii ikapelekea malalamiko haswaa kwa hao wakubwa kwamba wanaonewa na kudhulumiwa lakin jpm hakuwasikiliza walilipa kodi kwa lazima na wengine waliokuwa jeur walilazimishwaa kufungiwa biashara zao. Jambo la pili, magu kwa kiasi kikubwa sana alidhibiti wizi serikalini japo kwa wateule wachache waliendelea kuzipiga kwa akil ila kwa kiwango kikubwa sana alidhibiti mana zaman wakat wa jk hata mkuu wa idara tu alikuwa anaweza kukwapua billions of money. Sasa bas kwa kuwa hela zilikuwa nyingi kipind cha jpm ilipelekea kuanzishwa kwa miradi mikubwa ya serikal kwa kutumia pesa za ndani kwa asilimia kubwa na kias kwa mikopo japo hilo hakulisemea sana. Baada ya jpm kuondoka huku miradi mikubwa ikiwa ndo kwanza inachipua pesa nazo zilihitajika kuiendeleza. Sasa mama alipoingia akaanza na mkwara kwa wakusanya kodi kuhusu kubambikia watu au kuwalazimisha watu walipe kodi stahik huku akiwataka wasiwatishie wafanya biashara wakubwa. Hapo ndo akaharibu mana makusanyo yalishuka kama mwewee, miradi inamwangalia mikopo ni michungu sasa anafanyaje. Option alizonazo mkononi zikawa mbili, either abuni vyanzo vya mapato vingine kufidia gap la kodi kushuka au afuate ushauri wa zungu anaekaa posta ilala kuhusu kugandamiza walala hoi..kubuni vyanzo vingine it will take time and the mega projects will fade away, thus the only option she had was to abide with Zung's deadly and disgusted recommendation.
Hivyo ndo ilivyo tusimlaumu mama hakuwa na jinsi tukomae tu ili miradi mikubwa ikamilike..
Asanteni vijana.
Si ajabu hizi tozo zitakua za milele hata baada ya kukamilisha hizo mega project!!
 
😂😂😂😂😂😂 una ufinyu mkubwa wa akili wewe na umande uliukimbia hata kuandika hujui
🤣🤣🤣🤣🤣 unaandika upuuzi wa xo, ugari, taaab hao ni wadudu gani mpuuzi wewe!?


Kama sio ww basi kuna ndugu yak alikua mtumbuliwa.."xo jamaa anapata ugari kwa taaab"
 
😂😂😂😂😂😂 una ufinyu mkubwa wa akili wewe na umande uliukimbia hata kuandika hujui
🤣🤣🤣🤣🤣 unaandika upuuzi wa xo, ugari, taaab hao ni wadudu gani mpuuzi wewe!?
Mbeba mabox kwa wazee wa kizungu.
 
😂😂😂😂😂😂 una ufinyu mkubwa wa akili wewe na umande uliukimbia hata kuandika hujui
🤣🤣🤣🤣🤣 unaandika upuuzi wa xo, ugari, taaab hao ni wadudu gani mpuuzi wewe!?
Mpuuzi WiFi yako,,,kuandika ndo akili
 
Back
Top Bottom