15 Julai, 2021; Hayati Magufuli atakumbukwa kwa kasi sana na watu wa kada zote

15 Julai, 2021; Hayati Magufuli atakumbukwa kwa kasi sana na watu wa kada zote

Kwa kweli nisiwe mnafiki. Niliacha kupenda siasa toka baadhi ya wapinzani kuanza kuunga mkono juhudi za JPM. Marufuku ya siasa ikachangia pia. Utendaji wa hayati nao nikaupenda.

Kilichonifanya nisimpende Magufuli baadae ni hali ya mgawanyiko uliokuwa unaendelea nchini.

Haya ni Rais wetu JPM katangulia wapo waliofurahi na wapo waliosikitika pia.

Baada ya serikali ya awamu ya sita kuchukua hatamu na kuanza kufungulia mambo mengi yalifungwa na kurekebisha uhusiano na majirani, wapinzani, wafanyabishara na wafanyakazi kuongezewa mishahara,nchi ilikuwa kama umepata uhuru toka kwa mkoloni mweusi. Mama akapendwa na watu wote bila kuangalia itikadi yao.

Mara baada ya siku 100 kufika kauli yake kuhusu wapinzani na katiba mpya ikawatisha baadhi ya wananchi. Lakini bado hakupoteza mvuto.

BAJETI MPYA YA 2021-2022 YAMWARIBIA
Hapa ni lazima Hayati Magufuli akumbukwe na wote sababu alidaiwa kuwajali wanyonge zaidi kuliko matajiri. Bajeti iliyopitishwa na waziri wa fedha Mwigulu Lameck Nchemba ndio mtihani wa pili kwa Rais SSH baada ya dai la katiba mpya.

Huenda akaponzwa na waziri wa fedha lakini atabeba lawama yeye sababu yeye ndie alimteua na anaweza pia kumuwajibisha.

Je, kwa mabadiliko haya 2025 atatoboa?

USHAURI WANGU KWAKE
Pamoja na miradi mikubwa aliyokuwa amefanya mtangulizi wake haya maisha hayakuepo? Je kweli serikali imekosa chanzo kingine cha kuongeza mapata badala ya huduma zinazotumiwa zaidi na wananchi wa kawaida? Kwanini wasingebana kwenye vitu vya anasa kama alivyofanya Magufuli?

Je, ni Serikali kukamua wananchi kama njia ya kujiongezea mapato? Hakuna rasilimali zinazoweza kutumiwa kuiongezea serikali mapato?
CCM mwaka 2025 inatakiwa waprint fomu moja ya mgombea wa urais. Wakiprint zaidi ya moja ,Maza atakuwa miongoni mwa Marais wastaafu
 
Kama shule nimesoma Sana tena inawezekana nimekuzidi .
Katika shule zangu zote nilizopita sijawahi kukutana na numerical za namna hii.
Any way asante kwa kunielimisha kwani hiyo k nilidhani inamaainisha kilo kwa maana ya laki
Si ungepiga kimya tu kwenye hilo. Inawezekana una shule kubwa lakini sio yenye muelekeo ya mahesabu.
 
Kuna mbunge mpumbavu alijisifu bungeni akisema bajeti yake kwa mwezi kwa ajili ya vocha ni 50k lakini mimi mwananchi wa kawaida bajeti yangu ya mwezi kwa ajili ya vocha ni 1k, nikipata sms za mwezi ndo imetoka hiyooooooo mpaka mwezi ujao na bado nikatwe kodi

Kmmke yule mbunge.
Sio Zungu kweli?🤣🤣
 
Watu wengi wanashindwa kujua kwa nini kodi zimepanda. Fuatana nami katika hili;
Kipindi cha magufuli alijidhatiti katika ukusanyaji wa kodi, wafanyabiashara wakubwa waliokuwa wanalipa kodi isiyo sahihi walilazimishwa kulipa kodi sahihi na hii ikapelekea malalamiko haswaa kwa hao wakubwa kwamba wanaonewa na kudhulumiwa lakin jpm hakuwasikiliza walilipa kodi kwa lazima na wengine waliokuwa jeur walilazimishwaa kufungiwa biashara zao. Jambo la pili, magu kwa kiasi kikubwa sana alidhibiti wizi serikalini japo kwa wateule wachache waliendelea kuzipiga kwa akil ila kwa kiwango kikubwa sana alidhibiti mana zaman wakat wa jk hata mkuu wa idara tu alikuwa anaweza kukwapua billions of money. Sasa bas kwa kuwa hela zilikuwa nyingi kipind cha jpm ilipelekea kuanzishwa kwa miradi mikubwa ya serikal kwa kutumia pesa za ndani kwa asilimia kubwa na kias kwa mikopo japo hilo hakulisemea sana. Baada ya jpm kuondoka huku miradi mikubwa ikiwa ndo kwanza inachipua pesa nazo zilihitajika kuiendeleza. Sasa mama alipoingia akaanza na mkwara kwa wakusanya kodi kuhusu kubambikia watu au kuwalazimisha watu walipe kodi stahik huku akiwataka wasiwatishie wafanya biashara wakubwa. Hapo ndo akaharibu mana makusanyo yalishuka kama mwewee, miradi inamwangalia mikopo ni michungu sasa anafanyaje. Option alizonazo mkononi zikawa mbili, either abuni vyanzo vya mapato vingine kufidia gap la kodi kushuka au afuate ushauri wa zungu anaekaa posta ilala kuhusu kugandamiza walala hoi..kubuni vyanzo vingine it will take time and the mega projects will fade away, thus the only option she had was to abide with Zung's deadly and disgusted recommendation.
Hivyo ndo ilivyo tusimlaumu mama hakuwa na jinsi tukomae tu ili miradi mikubwa ikamilike..
Asanteni vijana.
Moja ya jambo gumu kbs kuwahi kuamliwa na serikali hii, Costs zimedouble hawa wamama wa mikopo si ni kilio kikubwa kama makampuni yataamua mzigo uende kwao,
Tumetoka cashless miaka michache tu tunarudi kwa speed ya Airbus

Naamini serikali yetu mnatuelewa wananchi, punguzeni kiwango cha kodi hii
 
Hata mm naona tunarudi nyuma sana
 
Bosi asante kwa ufafanuzi wako nimekuelewa vizuri sana
Watu wengi wanashindwa kujua kwa nini kodi zimepanda. Fuatana nami katika hili;
Kipindi cha magufuli alijidhatiti katika ukusanyaji wa kodi, wafanyabiashara wakubwa waliokuwa wanalipa kodi isiyo sahihi walilazimishwa kulipa kodi sahihi na hii ikapelekea malalamiko haswaa kwa hao wakubwa kwamba wanaonewa na kudhulumiwa lakin jpm hakuwasikiliza walilipa kodi kwa lazima na wengine waliokuwa jeur walilazimishwaa kufungiwa biashara zao. Jambo la pili, magu kwa kiasi kikubwa sana alidhibiti wizi serikalini japo kwa wateule wachache waliendelea kuzipiga kwa akil ila kwa kiwango kikubwa sana alidhibiti mana zaman wakat wa jk hata mkuu wa idara tu alikuwa anaweza kukwapua billions of money. Sasa bas kwa kuwa hela zilikuwa nyingi kipind cha jpm ilipelekea kuanzishwa kwa miradi mikubwa ya serikal kwa kutumia pesa za ndani kwa asilimia kubwa na kias kwa mikopo japo hilo hakulisemea sana. Baada ya jpm kuondoka huku miradi mikubwa ikiwa ndo kwanza inachipua pesa nazo zilihitajika kuiendeleza. Sasa mama alipoingia akaanza na mkwara kwa wakusanya kodi kuhusu kubambikia watu au kuwalazimisha watu walipe kodi stahik huku akiwataka wasiwatishie wafanya biashara wakubwa. Hapo ndo akaharibu mana makusanyo yalishuka kama mwewee, miradi inamwangalia mikopo ni michungu sasa anafanyaje. Option alizonazo mkononi zikawa mbili, either abuni vyanzo vya mapato vingine kufidia gap la kodi kushuka au afuate ushauri wa zungu anaekaa posta ilala kuhusu kugandamiza walala hoi..kubuni vyanzo vingine it will take time and the mega projects will fade away, thus the only option she had was to abide with Zung's deadly and disgusted recommendation.
Hivyo ndo ilivyo tusimlaumu mama hakuwa na jinsi tukomae tu ili miradi mikubwa ikamilike..
Asanteni vijana.
 
Pole sana najua alimpiga chini mjomba wako Bungara na wewe mwenye vyeti feki!
We mpuuzi kweli, ningekuwa na vyeti feki nisingekuwa nafurahi kuondolewa kwa VRF, nisingekuwa naongelea maswala ya kupandishwa madaraja wala uhamisho wa watumishi. Unajifanya unanifahamu lakini hunifahamu hata huyo Bungara simjui

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
Sasa chuki ya nini kama una vyeti mpuuzi m1! Tuliza masaburi ulipe kodi ya mzalendo mzee😅
 
Achana naye Mkuu BAK, huyo Extrovert bila shaka ni katika wale watoto mchepuko waliofyatuliwa kwenye mikesha ya mwenge.
Huyu jamaa hajitambui, hajui mateso mangapi watanzania tumepitia kipindi cha Magufuli, haona hata akina Ndugai, Gwajima nk wanavyokula matapishi yao kwa sasa, walikuwa wanalinda matumbo yao kwa kumuogopa Magufuli.

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
Atakumbukwa kwa
1) Kuwanyima watumishi nyongeza ya mishahara na madaraja kwa miaka kibao
2) Kuwanyima watumishi wa umma haki ya kuhama
3) Kuwakatalia wanufaika wa bodi ya mikopo kuwaondolea VRF
4) Kwa ukabila aliokuwa anaanza kupandikiza
5) Kwa chuki za kisiasa zilizokuwa zimeanza kushamiri. Apumzike kwa amani Magufuli.
=Kwa hayo hatuta msahau
Mh Samia ni zaidi ya kijito cha maji jangwani, ametufuta machozi na kuanza kutuondolea makovu mioyoni.
[emoji106][emoji106][emoji106]
 
Mkuu hujasoma shule nini? Hilo neno ni common sana sikuhizi! K ni kiwakilishi cha kiwango cha elfu 1 ama 1000! Utakapoona namba yeyote ikifuatiwa na neno k basi zidisha hio namba mara 1000 ndipo utapata jibu halisi!
Kwa minajili hio 50k ni sawa na 50x1000=50,000
1k ni sawa na 1x1000=1,000
K ni kiwakilishi cha kilo: kilo - meta maana yake meta 1,000. Kilo-gramu maana yake gramu 1,000. Kwa hiyo ni kiwakilishi cha 1,000.
 
K ni kiwakilishi cha kilo: kilo - meta maana yake meta 1,000. Kilo-gramu maana yake gramu 1,000. Kwa hiyo ni kiwakilishi cha 1,000.
Kilo equates to 1000!

Iwe grammes
Iwe metres
Iwe joules
......and list goes on!

Sasa abbreviations za kilos ndio huwakilishwa na herufi “K”
100K
20K
......and the list goes on!
 
Back
Top Bottom