15 November ...snowhite alizaliwa!

Hongera saana snowhite..
may god bless you today and everyday..

uzidi kuwa sweet and lovely to everyone
stay blessed
 
Last edited by a moderator:

happy birthday mamito snowhite
 
Last edited by a moderator:
ahahahhahhahah nilijua tu utaiona!
narudia tena mimi love yu sana!
avatar yako inanifanya nicheke kila siku lol!
Kinachonisikitisha, hiyo kauli yako badala ya moyo wangu kufurahia, kuna lijitu linastuka huku chini. Mi nakasirikaga mimi.....

Sikujua Avatar yangu ni kama Charlie Chaplin kwangu LOL

Heri ya kuzaliwa mwalimu wangu snowhite! Una kila sababu ya kisherekea hii siku. Mi ntakuja na kreti mbili za biya Asprin atabeba konyagi tusherekeeeeeee!

Love u mwalimu! Uishi miaka mia nane!!
Hommie katika hizo kreti mbili usisahau kuwekamo ginesi za kutosha. Hivi unajua mai wifey material cacico kuna limodi lenye roho mbaya kama soksi ya Mugabbe limemlamba ban.

Mwalimu siku hizi niko chuo kikuu. Nimeacha kukojoa kitandani.
 
Last edited by a moderator:
ahahahahhaahhah bora ulivokuwa unakojoa kitandani ahahahahahha lolest!
 
ahahahahhaahhah bora ulivokuwa unakojoa kitandani ahahahahahha lolest!
Hahahahaha! Kumbe? Mi nlifikiri afadhali siku hizi nakojolea mashimoni. Tatizo mashimo yenyewe hayajai...damnnnnnn!!
 


Mi hapana jua iyo makitu aisee hebu tiririka PM hii ni hatari sana kwa ustawi wetu ujue!
 
NILIKUMISIJEEEEEEEEEEEEEEEEEE!yani mziki wako ulikosekana bana!
ahsante sana BAK ,ulikuwa wapi?umepotea sana humu!kwema?
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Kwema kabisa snowhite namshukuru Muumba wetu...nilikuwa kwenye furaha ya ushindi wa BO' lol! hahahahahah!


NILIKUMISIJEEEEEEEEEEEEEEEEEE! yani mziki wako ulikosekana bana!
ahsante sana BAK ,ulikuwa wapi?umepotea sana humu!kwema?
 
Last edited by a moderator:
Naonaje aibu sasa mlongo wangu snowhite? najua dada mkubwa atasamehewa, nilikuwa na sababu ya kutosha kusamehewa my dear.
 
Last edited by a moderator:
ok poa,we ni mwezi gani?ahsante rafiki!
Mie 29 nov
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…