Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
rafiki na wapendwa wangu!leo ni siku yangu ya kuzaliwa
Namshukuru sana MUUMBA kwa baraka na baraka tele alizonijalia na pumzi anazonijaalia toka nilipozaliwa mpaka sasa
HAKIKA SIFA NA UTUKUFU NI WAKE
Namshukuru sana mama yangu kwa kunizaa na kunilea toka nikiwa tumboni mpaka aliponiacha na kurudi kwa Muumba wake,natamani sana angepata heri ya kuniona nikiwa sasa mama, mke najua na naamini angejivunia sana mimi
HAKIKA NAKUPENDA NA KUKUMBUKA SANA MAMA YANGU
Namshukuru sana baba yangu kwa kunileta duniani na kunilea, yeye amekuwa nguzo yangu na amani yangu mpaka aliponiacha naye kumrudi kwa Muumba wake, naye natamani sana angenishuhudia leo nikiwa ni mwanamke jasiri na shupavu kama alivopenda niwe
HAKIKA I MISS YU daddy,(mwenyewe alikuwa ananiita mama yangu coz nilipewa jina la bibi yangu)
Namshukuru sana mume wangu, amekuwa ni rafiki mpenzi kwa maisha yangu miaka 17 pamoja naye haikuwahi kuwa majuto kwenye maisha yangu!
HAKIKA NAKUPENDA UPEO MAISHA YANGU!(mie humwita NAFSI YANGU MIMI)
Nawashukuru sana watoto wangu, wamekuwa furaha na faraja ya pekee sana kwa maisha yangu wamekuwa zaidi ya watoto wangu, infanct ni mashosti zangu, nawapenda sana na hawajanidissappoint as a mother! I'm very proud of them
HAKIKA NAMASHUKURU MUNGU KWA AJILI YAO
Nawashukuru sana dada zangu,kaka zangu
najua nilivyokuwa mtundu na wa kudeka enzi hizo
MUNGU AWABARIKI SANA KWA KUNIFUNDISHA YOTE!tatizo tu hesabu ndo zilikataa kupanda!
JF friends!
You guys sijui niseme nini kuonyesha kuwa nawapenda sana kila mmoja kwa nafasi na upekee wake FP we unajua ni dada mkubwa, thank you very much for being one gfsonwin weye mwali hata sina maneno ya kukwambia, thank yu very much The Boss we ni big brother si unajua? Ahsante sana kwa kuwa hivyo Ciello wewe ni mamduchu enh? Yap i love you dogo BAK hujawahi kunidisappoint kwenye upande wa miburudiko ahsante brother Boflo ah we mtu sijui nisemeje, jua tu unanipa cheko na bashasha kwa post zako, af nakumbushia ile offer yangu ya massage treat! cacico mke mwenza we wajua vile u remind of those days! SnowBall mtoto wa kiume wa mama yangu thank yu pacha watu8 ahahahahhahhaha ahsante sana kwa mambo yetu yaleeee! Hujawahi kuniangusha si unajua? Kaizer na Asprin mimi proud being ur mwalimu bana lara 1 kino gal, hujawahi kunibore kwa uandishi wako, I like ur style girl!
MJ'r partner shukrani sana kwa kushare nami interest kwenye ushairi Kongosho bi harusi wangu, mimi love you kwa kweli, na ahid ya glambox lazima niitimize Zinduna Madame B , mwaJ na King'asti ndani ya chama letu kubwa nawapenda sana mashosti Mtambuzi mume ya mama ngina wewe lol!ahahahhahhhha love yu sana bana Dark City,HORSE POWER na Mkusa hongera sana kwa mawazo yenu
Well idadi ni kubwa saaaan nashindwa kuimaliza. Wengine woote NAWAPENDA SANA SANA SANA SANA!
Kinachonisikitisha, hiyo kauli yako badala ya moyo wangu kufurahia, kuna lijitu linastuka huku chini. Mi nakasirikaga mimi.....ahahahhahhahah nilijua tu utaiona!
narudia tena mimi love yu sana!
avatar yako inanifanya nicheke kila siku lol!
Hommie katika hizo kreti mbili usisahau kuwekamo ginesi za kutosha. Hivi unajua mai wifey material cacico kuna limodi lenye roho mbaya kama soksi ya Mugabbe limemlamba ban.
Mwalimu siku hizi niko chuo kikuu. Nimeacha kukojoa kitandani.ahsante sana mwanafunzi wangu!
mimi love yu sana jamani,proud being ur mwalimu si wajua!
sema Asprin tu ndo anapiga kelele darasani vinginevyo ah!tushamaliza syllabus siku nyiingi!
akija na hizo nyagi uhakikishe umekuja na fimbo kabisa ili akileta tu fujo!tunatema mate tunamchapa
ahahahahhaahhah bora ulivokuwa unakojoa kitandani ahahahahahha lolest!Kinachonisikitisha, hiyo kauli yako badala ya moyo wangu kufurahia, kuna lijitu linastuka huku chini. Mi nakasirikaga mimi.....
Sikujua Avatar yangu ni kama Charlie Chaplin kwangu LOL
ndo ujue sasa!
Hommie katika hizo kreti mbili usisahau kuwekamo ginesi za kutosha. Hivi unajua mai wifey material cacico kuna limodi lenye roho mbaya kama soksi ya Mugabbe limemlamba ban.
Mwalimu siku hizi niko chuo kikuu. Nimeacha kukojoa kitandani.
Hahahahaha! Kumbe? Mi nlifikiri afadhali siku hizi nakojolea mashimoni. Tatizo mashimo yenyewe hayajai...damnnnnnn!!ahahahahhaahhah bora ulivokuwa unakojoa kitandani ahahahahahha lolest!
Kinachonisikitisha, hiyo kauli yako badala ya moyo wangu kufurahia, kuna lijitu linastuka huku chini. Mi nakasirikaga mimi.....
Sikujua Avatar yangu ni kama Charlie Chaplin kwangu LOL
Hommie katika hizo kreti mbili usisahau kuwekamo ginesi za kutosha. Hivi unajua mai wifey material cacico kuna limodi lenye roho mbaya kama soksi ya Mugabbe limemlamba ban.
Mwalimu siku hizi niko chuo kikuu. Nimeacha kukojoa kitandani.
Hahahahaha! Kumbe? Mi nlifikiri afadhali siku hizi nakojolea mashimoni. Tatizo mashimo yenyewe hayajai...damnnnnnn!!
wala si utani wangu!
hamna age naitamani kama nilivokuwa FORM SIX LEAVER!dah!
ukisema mbichi unakosea!sema nilikuwa mtekeeeeee!
NILISUMBUA MTAANI!wacha kabisa!
rafiki na wapendwa wangu!leo ni siku yangu ya kuzaliwa
Namshukuru sana MUUMBA kwa baraka na baraka tele alizonijalia na pumzi anazonijaalia toka nilipozaliwa mpaka sasa
HAKIKA SIFA NA UTUKUFU NI WAKE
Namshukuru sana mama yangu kwa kunizaa na kunilea toka nikiwa tumboni mpaka aliponiacha na kurudi kwa Muumba wake,natamani sana angepata heri ya kuniona nikiwa sasa mama, mke najua na naamini angejivunia sana mimi
HAKIKA NAKUPENDA NA KUKUMBUKA SANA MAMA YANGU
Namshukuru sana baba yangu kwa kunileta duniani na kunilea, yeye amekuwa nguzo yangu na amani yangu mpaka aliponiacha naye kumrudi kwa Muumba wake, naye natamani sana angenishuhudia leo nikiwa ni mwanamke jasiri na shupavu kama alivopenda niwe
HAKIKA I MISS YU daddy,(mwenyewe alikuwa ananiita mama yangu coz nilipewa jina la bibi yangu)
Namshukuru sana mume wangu, amekuwa ni rafiki mpenzi kwa maisha yangu miaka 17 pamoja naye haikuwahi kuwa majuto kwenye maisha yangu!
HAKIKA NAKUPENDA UPEO MAISHA YANGU!(mie humwita NAFSI YANGU MIMI)
Nawashukuru sana watoto wangu, wamekuwa furaha na faraja ya pekee sana kwa maisha yangu wamekuwa zaidi ya watoto wangu, infanct ni mashosti zangu, nawapenda sana na hawajanidissappoint as a mother! I'm very proud of them
HAKIKA NAMASHUKURU MUNGU KWA AJILI YAO
Nawashukuru sana dada zangu,kaka zangu
najua nilivyokuwa mtundu na wa kudeka enzi hizo
MUNGU AWABARIKI SANA KWA KUNIFUNDISHA YOTE!tatizo tu hesabu ndo zilikataa kupanda!
JF friends!
You guys sijui niseme nini kuonyesha kuwa nawapenda sana kila mmoja kwa nafasi na upekee wake FP we unajua ni dada mkubwa, thank you very much for being one gfsonwin weye mwali hata sina maneno ya kukwambia, thank yu very much The Boss we ni big brother si unajua? Ahsante sana kwa kuwa hivyo Ciello wewe ni mamduchu enh? Yap i love you dogo BAK hujawahi kunidisappoint kwenye upande wa miburudiko ahsante brother Boflo ah we mtu sijui nisemeje, jua tu unanipa cheko na bashasha kwa post zako, af nakumbushia ile offer yangu ya massage treat! cacico mke mwenza we wajua vile u remind of those days! SnowBall mtoto wa kiume wa mama yangu thank yu pacha watu8 ahahahahhahhaha ahsante sana kwa mambo yetu yaleeee! Hujawahi kuniangusha si unajua? Kaizer na Asprin mimi proud being ur mwalimu bana lara 1 kino gal, hujawahi kunibore kwa uandishi wako, I like ur style girl!
MJ'r partner shukrani sana kwa kushare nami interest kwenye ushairi Kongosho bi harusi wangu, mimi love you kwa kweli, na ahid ya glambox lazima niitimize Zinduna Madame B , mwaJ na King'asti ndani ya chama letu kubwa nawapenda sana mashosti Mtambuzi mume ya mama ngina wewe lol!ahahahhahhhha love yu sana bana Dark City,HORSE POWER na Mkusa hongera sana kwa mawazo yenu
Well idadi ni kubwa saaaan nashindwa kuimaliza. Wengine woote NAWAPENDA SANA SANA SANA SANA
Mie 29 novok poa,we ni mwezi gani?ahsante rafiki!