15 November ...snowhite alizaliwa!

15 November ...snowhite alizaliwa!

whaaao kumbee!haya mwaya basi kuanzia leo na wewe ni twin,sa sijui ni twin sister au twin brother?
HAPPY BIRTHDAY too!

ah ah ah ah ah hii ni ngosha original... ahsante twin dada.... msalimie @fp? mwambie afikishe salamu kwa mapunda, mbawala, komba na wengine woote wa huko mapori ya songea
 
ah ah ah ah ah hii ni ngosha original... ahsante twin dada.... msalimie @fp? mwambie afikishe salamu kwa mapunda, mbawala, komba na wengine woote wa huko mapori ya songea

kumbe ni msukumah!
ng'wadela gawiza bhabha!
ulim'mola?
moladoh!
ahahahhahahhahhaha kuna siku ntakuja kutukana hizi lugha za watu nazojitahidi kujua japo salamu duh!
 
kumbe ni msukumah!
ng'wadela gawiza bhabha!
ulim'mola?
moladoh!
ahahahhahahhahhaha kuna siku ntakuja kutukana hizi lugha za watu nazojitahidi kujua japo salamu duh!

ah ah ah ah usukumani ukikosea faini yake ng'ombe... jiandae kabisa kumtoa ... karibu naona unajaribu kidogo, kama unataka kujifunza mtafute Mwalimu Kongosho akufundishe
 
Last edited by a moderator:
novemba ina wadau kibao mwaya,yani tuanzishe chama letu sijui!lol
tuna kila sababu ya kuanzisha chama letu,embu fanya uchunguzi miaka kati ya 1979 na 1989 kulikuwa ni kipindi cha baridi sana hasa mwezi wa pili,ndo maana tuko wengi,mtaani kwetu wa november nao kibao..
 
Happy-Birthday-Cards-002.gif


snowhite...... Love u mum!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Moja ya mambo ambayo najivunia toka kwako dada snowhite ni hekima yako,nadhani hii ndiyo imekuwa nguzo muhimu kukuvusha ktk kila ukinzani.pamoja na pongezi zako kwa wazazi wako,r.i.p wazazi wako,kaka na dada zako,mwenzi wako wa maisha,wanao pamoja na baadhi ya wanajukwaa napenda nami kutambua kuwa hekima uliyonayo pamoja na mwenyezi mungu kukutunuku lakini wahusika tajwa wamekuwa sehem ya kuifanya ionekane na uwe wewe tunaejivunia hapa jukwaani.umetimiza umri wa miaka kadhaa ukiwa still una strong-will kwa future yako,hongera sana kwa umri huo na mwenyezi mungu akujalie kuishi kwa upendo,mshikamano na amani na familia yako.kama mama simamia familia yako iwe imara kama ulivyo.umri mrefu nina kutakia na mwenyezi mungu akujalie sawa na haja ya moyo wako.happy birthday snowhite.we love you!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom