Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hili Bomu jingine ,15% bado makato mengine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unadhani ila mnatakiwa kulioa na watu wengine wasome sio kudhani dhani wakati mnakopeshwa mliona burudani vyuoni mliishi kwa burudani na kula bata kwenye kulipa mnalalamika.Mtaani huku ni soo watu 15% Ndo habar ya mjini, lakini me nilitaka kidogo wanasheria mtusaidie inakuwaje Mimi km mteja nimesaini mkatakaba wa kulipa mkopo kwa 8% zen badae inakuja kuongezwa kwa 15% na unaanza kunikata bila makubaliano na wala me cjasaini mkataba wa 15% ya makato Ila umeamua tu kunikata, sheria ya mkopaji hapo inasemaje? Me nadhani km mabadiliko hayo yalitakiwa yaanze kwa wateja wapya na sio wa zamani
Fanyeni haraka"LHRC tunajiandaa kuandaa kesi kupinga malipo ya bodi ya mikopo ya 15% kwa waliopata elimu ya juu tutakuwa na kikao na mawakili jumanne next week saa 10 ofisi za LHRC karibuni mawakili pia mje kwa wingi."
Advocate Patience Mlowe
Kuwapiga Pesa watumishisijui vyama vya wafanyakazi kazi zao ni nini,
Wewe unadhani ila mnatakiwa kulioa na watu wengine wasome sio kudhani dhani wakati mnakopeshwa mliona burudani vyuoni mliishi kwa burudani na kula bata kwenye kulipa mnalalamika.
Lipeni Maskini na wanyonge wengine watumie[/QUOTE
Hamna aliekataa kulipa mzee Ila sheria ifuatwe iweje me nimesign mkataba wa 8% zen we kwa matakwa yako tu ubadili na kuanza kunikata 15%, au huelewi kinachoongelewa hapa
sijui vyama vya wafanyakazi kazi zao ni nini,
Wewe unadhani ila mnatakiwa kulioa na watu wengine wasome sio kudhani dhani wakati mnakopeshwa mliona burudani vyuoni mliishi kwa burudani na kula bata kwenye kulipa mnalalamika.
Lipeni Maskini na wanyonge wengine watumie
Makubaliano vipi wewe acha siasa lipa pesa na wenzako watumie acha ubinafsi.Kwani tukilipa 8% hayo sio malipo?
Tunachokisema hapa sio kupinga kulipa,ni kuvunja mkataba.Sisi tumesaini 8% now wanataka tulipe 15% kinyume na makubaliano yetu
dah!, ndugu wewe inaonekana elimu yako ni ndogo sana mkuu!, napata mashaka kua pengine hata kuandika unaandikiwa, watu wanaongea sheria humu sio siasa unazoleta, jua kua mkataba ni sheria kwaiyo kinacholalamikiwa humu ni cha kisheria na sio cha kisiasa kama unavyozani wewe na upeo wako, you are not a great thinker sijui kakuleta nani humus JFMakubaliano vipi wewe acha siasa lipa pesa na wenzako watumie acha ubinafsi.
Nchi yetu ni ya mwanyonge na masikini hvyo tutumie wote
kwenye swala la mkopo mkopeshaji ndo anahaki shida zenu ndo ziliwafanya mkope hvo mkopeshaji ndo anadictate.dah!, ndugu wewe inaonekana elimu yako ni ndogo sana mkuu!, napata mashaka kua pengine hata kuandika unaandikiwa, watu wanaongea sheria humu sio siasa unazoleta, jua kua mkataba ni sheria kwaiyo kinacholalamikiwa humu ni cha kisheria na sio cha kisiasa kama unavyozani wewe na upeo wako, you are not a great thinker sijui kakuleta nani humus JF
Mahakama si zipo simuwasongeshe bodi mahakamaniMtaani huku ni soo watu 15% Ndo habar ya mjini, lakini me nilitaka kidogo wanasheria mtusaidie inakuwaje Mimi km mteja nimesaini mkatakaba wa kulipa mkopo kwa 8% zen badae inakuja kuongezwa kwa 15% na unaanza kunikata bila makubaliano na wala me cjasaini mkataba wa 15% ya makato Ila umeamua tu kunikata, sheria ya mkopaji hapo inasemaje? Me nadhani km mabadiliko hayo yalitakiwa yaanze kwa wateja wapya na sio wa zamani