bhakamu
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 813
- 787
Nina Mashaka na uwezo wako wa kuyaekewa mambo maana hakuna mdaiwa anaekataa kulipa/ kukatwa hayo marejesho ila tatizo ni ongezeko lililofanywa na utashj wa upande mmoja katika kuamua hili labda nikwambie kuwa Hamna mkataba wa upande mmoja... Tumia kichwa kufikiri...Wewe unadhani ila mnatakiwa kulioa na watu wengine wasome sio kudhani dhani wakati mnakopeshwa mliona burudani vyuoni mliishi kwa burudani na kula bata kwenye kulipa mnalalamika.
Lipeni Maskini na wanyonge wengine watumie