Nina Mashaka na uwezo wako wa kuyaekewa mambo maana hakuna mdaiwa anaekataa kulipa/ kukatwa hayo marejesho ila tatizo ni ongezeko lililofanywa na utashj wa upande mmoja katika kuamua hili labda nikwambie kuwa Hamna mkataba wa upande mmoja... Tumia kichwa kufikiri...Wewe unadhani ila mnatakiwa kulioa na watu wengine wasome sio kudhani dhani wakati mnakopeshwa mliona burudani vyuoni mliishi kwa burudani na kula bata kwenye kulipa mnalalamika.
Lipeni Maskini na wanyonge wengine watumie
hivi kaka unajua maana ya mkataba?, hivi unajua kua hata unapoingia mkataba wa kupanga nyumba au chumba mwenye nyumba hawezi kukuongezea kodi mpaka mkataba wenu wa awali uishe?, ngoja nikusaidie kidogo tu, mkataba ni makubaliano baina ya pande mbili, tatu au zaidi unaowekwa (signed) kati yao sababu ya jambo fulan, ili kuvunja au kuuboresha mkataba wa awali ni lazima pande zote husika zikubaliane tena kufanya marekebisho hayo, pia nakukosoa si kweli kwamba mdai (mkopeshaji) ndio mwenye mamlaka ya kusema tu nataka unilipe leo deni langu!!, bali kitachoangaliwa hapo ni makubaliano yenu wakat mnakopeshana!, embu jitafakari kiongoz juu ya uwezo wako wa kufukirikwenye swala la mkopo mkopeshaji ndo anahaki shida zenu ndo ziliwafanya mkope hvo mkopeshaji ndo anadictate.
Sasa kama mnaona mnaonewa hajafuata mkataba msilipe basi
Pole dada inaonekana hujui maana ya mkataba..Makubaliano vipi wewe acha siasa lipa pesa na wenzako watumie acha ubinafsi.
Nchi yetu ni ya mwanyonge na masikini hvyo tutumie wote
Tatizo ndugu yangu ulikimbia umande.. Nyie ndio mizoga inayoishi mnatumalizia oxygen ya bure...kwenye swala la mkopo mkopeshaji ndo anahaki shida zenu ndo ziliwafanya mkope hvo mkopeshaji ndo anadictate.
Sasa kama mnaona mnaonewa hajafuata mkataba msilipe basi
Wewe kaa ushinde unapiga kelele kwenye mitandao unadhani kila mtu anavyeti vya kuunga unga na kaanzia diploma kama nyie mnaoshinda mkilalamikia mikopo humu.Tatizo ndugu yangu ulikimbia umande.. Nyie ndio mizoga inayoishi mnatumalizia oxygen ya bure...
Real moron youth.. Your dady wasted sperms on you
Hujitambui wewe, funga domo lakoMakubaliano vipi wewe acha siasa lipa pesa na wenzako watumie acha ubinafsi.
Nchi yetu ni ya mwanyonge na masikini hvyo tutumie wote