- Thread starter
-
- #201
Umekosea sana kusema Mtume Muhammed(rehma na amani zimshukie) amempinga Yesu. Mtume Muhammed amemtukuza Yesu na amefikisha ujumbe wa Yesu neno kwa neno kama alivyo temshiwa na Mungu. Quran imemzungumzia Yesu na kisa chake chote na fitna za mayahudi. Kwanza elewa kuwa Yesu hakuleta Biblia. Yesu amekuja na kitabu kinachoitwa INJIL. Kuna vitabu 4 vilivyoko ulimwenguni hivi sasa;Hivi ilikuwa vipi yesu alitabiri ujio wa mtume Mohammed kupitia biblia lakini mtume mohammed mwenyewe akaja kuipinga Biblia na kusema uislamu ndiyo dini ya kweli hakuna dini nyingine... Alimkana Yesu kristo ambaye ilibidi aje kumpokea? Ningependa uniwekee sawa hapo mkuu nipate kuelewa zaidi
TAURAT(Old Tastement): Moses (Moses)
INJIL(New Tastement): Jesus (Issa)
ZABUR: David (Daud)
QURAN: Muhammed
Mtume Mohammed hakuleta dini mpya bali amekuja kukamilisha dini ya ISLAM(means submission to God's Will) ambayo amekuja nayo babu yetu Adam, na mitume wengine wote walikuja (baada ya Adam) kuendeleza dini hiyo hiyo pamoja na Moses, David na Jesus. Mtume amekuja kuthibitisha Hivyo vitabu vyote 3 na nyongeza katika sheria Mpya za Mungu zimeshushwa kupitia yeye na hatimaye Quran kushuka. Quran consists of all those books and other books from God of which are missing. God said in Quran, that Quran is the last book and no other book will come after it and our Prophet is last Prophet and no other Prophet will come after him. He also promised to protect Quran and will not be tempered like other previous books. Lakini Injil inayokubaliwa na Islam ni ile ORIGINAL ya Yesu ambayo imepotoshwa. Sio hizi za kuchakachuliwa. Quran imesema wazi kabisa INJIL imebadilishwa maneno na wameandika watakavyo ili kupotosha watu.
That is to say, Mtume amekuja kuthibitisha Maneno ya Jesus, Moses na mitume yote iliyopita. Kwa hiyo hawezi kupinga INJIL ya kweli kwani hicho ni mafundisho ya Yesu.