1500 years Old Bible found in Turkey

1500 years Old Bible found in Turkey

Hivi ilikuwa vipi yesu alitabiri ujio wa mtume Mohammed kupitia biblia lakini mtume mohammed mwenyewe akaja kuipinga Biblia na kusema uislamu ndiyo dini ya kweli hakuna dini nyingine... Alimkana Yesu kristo ambaye ilibidi aje kumpokea? Ningependa uniwekee sawa hapo mkuu nipate kuelewa zaidi
Umekosea sana kusema Mtume Muhammed(rehma na amani zimshukie) amempinga Yesu. Mtume Muhammed amemtukuza Yesu na amefikisha ujumbe wa Yesu neno kwa neno kama alivyo temshiwa na Mungu. Quran imemzungumzia Yesu na kisa chake chote na fitna za mayahudi. Kwanza elewa kuwa Yesu hakuleta Biblia. Yesu amekuja na kitabu kinachoitwa INJIL. Kuna vitabu 4 vilivyoko ulimwenguni hivi sasa;

TAURAT(Old Tastement): Moses (Moses)
INJIL(New Tastement): Jesus (Issa)
ZABUR: David (Daud)
QURAN: Muhammed

Mtume Mohammed hakuleta dini mpya bali amekuja kukamilisha dini ya ISLAM(means submission to God's Will) ambayo amekuja nayo babu yetu Adam, na mitume wengine wote walikuja (baada ya Adam) kuendeleza dini hiyo hiyo pamoja na Moses, David na Jesus. Mtume amekuja kuthibitisha Hivyo vitabu vyote 3 na nyongeza katika sheria Mpya za Mungu zimeshushwa kupitia yeye na hatimaye Quran kushuka. Quran consists of all those books and other books from God of which are missing. God said in Quran, that Quran is the last book and no other book will come after it and our Prophet is last Prophet and no other Prophet will come after him. He also promised to protect Quran and will not be tempered like other previous books. Lakini Injil inayokubaliwa na Islam ni ile ORIGINAL ya Yesu ambayo imepotoshwa. Sio hizi za kuchakachuliwa. Quran imesema wazi kabisa INJIL imebadilishwa maneno na wameandika watakavyo ili kupotosha watu.

That is to say, Mtume amekuja kuthibitisha Maneno ya Jesus, Moses na mitume yote iliyopita. Kwa hiyo hawezi kupinga INJIL ya kweli kwani hicho ni mafundisho ya Yesu.
 
Ni kweli mkuu, Ila kwa upande wa majini hapana aseee, bora niangamie Moroni tu
Usiseme hivyo kaka. Moto ni mbaya mno. Hauna maelezo. Unataka kujua baadhi ya mateso ya motoni?
 
hili neno fabrication ndo linaninyima raha kujua, kwa ujumla ulikuwa unamaanisha nini.....????

kwa mtu mmoja dhambi iliingia Ulimwenguni(Adam) na kwa KRISTO ULIMWENGU wote UNAKOMBOLEWA bulaza.
unanielewa kheee....

Kama ingekuwa hivyo ingekuwa raha sana. Lakini sivyo ilivyo.

Ni kweli Adam na Hawa walitenda kosa na kwa sababu hiyo tumeletwa Duniani. Ila pepo yetu ipo pale pale, na Mungu anataka watu wanaomtii yeye tu ndiyo awaingize peponi kwa Rehma zake.

Mtume Muhammed(Rehma na Amani zimfikie) aliwaambia Maswahaba wake kuwa kila mtu ataingia Peponi isiyokuwa yule asiyetaka. Maswahabu wakamuuliza ewe mjumbe wa Mungu ni nani atakeyekataa kuingia peponi? Mtume(Rehma na Amani zimfikie) akasema asiyetaka ni yule anayesikia wito wa Mungu na akaukana. Kwahiyo ingawaje Babu yetu Adam alikosea lakini alitubia na Mungu akamsamehe. Sasa pepo yetu ipo pale pale, jambo la msingi ni maamuzi yetu tu.

Na kusema Fabrication ni maake Uzushi. Tukisoma Old Tastement inasema kama Quran inavyosema kuwa kila mtu na dhambi zake. Haitawezekana mtu mmoja abebe dhambi za mwingine. Siku ya mwisho ifikapo Kila mmoja atahukumiwa kwa yale aliyoyatenda. Hiyo siku Wakristo watamkimbilia Yesu na Yesu atawakana. Hatakuwa mtetezi wa yeyote yule kwani yeye mwenyewe yupo katika mkumbo mmoja ingawaje Mitume hawana madhambi ila hawawezi kumtetea mtu siku hiyo ya mwisho. Hiyo ni siku ya hasara kwa aliyekana ukweli ulipomfikia na siku hiyo ni furaha kubwa kwa aliyeukubali ukweli na akatenda yale aliyoamrishwa. Siku hiyo watu watakimbiana, mama atamkibia mwanae na mwana atamkimbia *****, baba atamkimbia mkewe na wanawe na wao hivyo hivyo watakimbiana. Hakutakuwa na mtetezi siku hiyo na milango ya toba itakuwa imefungwa. Ndugu zanguni muda mliokuwa nao dunia muutumie kuutafuta ukweli kwani hiyo hali itakapofika mutakuwa kwenye hasara kubwa. Kumbuka utaishi maisha ya milele bila kufa, sasa uamuzi ni wa kwako either uende peponi au motoni.
 
hili neno fabrication ndo linaninyima raha kujua, kwa ujumla ulikuwa unamaanisha nini.....????

kwa mtu mmoja dhambi iliingia Ulimwenguni(Adam) na kwa KRISTO ULIMWENGU wote UNAKOMBOLEWA bulaza.
unanielewa kheee....
sasa kama umekombolewa unakwenda kwa ngwajima kufanya nini?,
au ukombozi hautoshelezi?,huoni huo uvumi kuwa umekombolewa kwa damu ya yesu kuwa ni uongo,maana ukombozi gani huo usiofanya kazi mpaka tena uende kuomba kila wiki
 
Ptuuuuuuuuuuuuuuuu naona umeamua kumvisha maneno YESU KRISTO sasa......Hapo alimaanisha ROHO MTAKATIFU mkuu.......alafu hebu lete mistari ya hio biblia ya Kiebrania kama hilo jina Ahmed lipo...ingawaje najua hutanipa mstari, utaendelea kuongea ngonjera zako
Kaka Bhachu, sipo hapa kushindana. Nipo katika kuwaelimisha. Najua Imani ni kitu kigumu kukiacha kwa umelelewa kwa kujazwa uongo maisha yako yote. Lakini lazima ufanye jitihada katika kujua ukweli. Usichukulie kila kitu ninachokuambia kuwa ni uongo. Ifanyie kazi information ninayo kupa.

Huyo Roho mtakatifu ni nani? Siyo Yesu mwenyewe? Mbona hiyo statement itakuwa haina maana kama ni yesu mwenyewe. Ilitakiwa hata isiwepo kwenye Biblia kama ndio hivyo because makes no sense.

Nitakutafutia hiyo ni hebrew lakini unaye mtu wavkukutafsiria??? Hao mapabdri wenu hawajui chochote. Hawana uwezo wa kukutafsiria. Mimi nitakupatia hiyo statement in Hebrew sasa ujaribu utafute maana ya kweli. Tazama usidanganywe tena.
 
Yesu alikuja kabla ya Mtume Muhammad(rehma na amani zimfikie). Kwa hiyo Injili haiwezi ikazungumzia maisha ya Muhammed(rehma na amani zimfikie) kwani alikuwa bado hajaletwa duniani. Isipokuwa Yesu alisema kuwa Mtume Muhammad(rehma na amani zimfikie) atakuja badala ya yeye kuondoka. Soma John 16:7

"Lakini mimi nawaambia iliyo kweli; yawafaa ninyi mimi niondoke, kwa maana mimi nisipoondoka, huyo Msaidizi hatakuja kwenu; bali mimi nikienda zangu, nitampeleka kwenu."

Huyo Msaidizi ni Muhammed(rehmana amami zimfikie). Katika Bible ya Hebrew wanemtaja kwa jina lake kabisa. Lakini katika hii tafsiri ya kiswahili wameandika Msaidizi. Fuatilia.

Sababu ya Quran kumzungumzia Yesu kwa wingi ni kwa Sababu ni mtume wetu aliyepita kama walivyo zungumziwa mitume yote iliyopita, Moses, Abraham,Adam,Noah na wengine wengi. Sababu ingine kuwa Yesu anazungumziwa kwa Quran ni kwamba Yesu mwenyewe alisema kwenye Biblia kuwa huyo Msaidizi atamzungumzia. Soma John 16:26

"Lakini ajapo huyo Msaidizi, nitakayewapelekea kutoka kwa Baba, huyo Roho wa kweli atokaye kwa Baba, yeye atanishuhudia".

Kwa hiyo yathibitisha kuwa Quran ni kitabu cha kweli na Mtume Muhammad(rehma na amani zimfikie) ni mtume wa kweli hata Yesu alimbashiria ujaji wake. Kama Quran ni kitabu cha Uongo kwanini Mtume Muhammad(rehma na amani zimfikie) asijizungumzie yeye mwenyewe tu?? Tafakari. Haya ni maneno ya Mungu na Mungu anawapenda watumwa wake.
kwa hiyo mtume wenu ndiye "ROHO" wa kweli....???? ROHO wa kweli anaombewa rehema na amani????? wakati ROHO wa kweli yeye ndiye atiaye uzima inakuwaje tena naye anaombewa kurehemiwa na kupewa amani????? Hebu nenda Matendo ya Mitume sura ya 2 usome iwapo huyo aliyeshuka siku ile kama ni mtume wenu au ni ROHO MTAKATIFU (ahadi ile aliyoahidi Yesu Kristo kuwa atakuja msaidizi) sawasawa na nabii Yoeli alivyotabiri katika kitabu cha YOELI (2:28-30),
TENA nabii ISAYA alitabiri habari ya YESU na kuzaliwa kwake na mateso yake (Isaya 7:11-14, 9:6-7, 53:1-11)
TENA nabii Ezekieli alitabiri kwa habari ya ROHO Mtakatifu kama maji mengi yanayoponya magonjwa ya kila aina.
TENA ROHO WA AHADI aliyetabiriwa na YESU KRISTO kuwa sisi tumwaminio tutampokea ametajwa kama MAJI YA UZIMA (Je mtume wako anaingia hapa??) mtume wako alikufa na akafa kweli kweli ati na kwa sasa anamsubiri Yesu Kristo atakapowafufua wote waliokufa apate hukumu sawasawa na matendo yake lakini YESU alifufuka na akaleta ROHO wa uzima ili watakaomwamini hata wakifa wawe na uzima wa milele ndani yao.
Je, kitabu chako hakisemi kuwa; "kiama ya wafu haiji asipokuja huyo YESU???"
ROHO GANI ANA MIFUPA, ANAFUGA MAJINI, ANAOA WATOTO WADOGO, ANAOA MANY MANY WIVES WITH MASURIA PEMBENI, ANAFUNDISHA SIHILI NA FALAKI???? huyo ni roho mtaka vitu siyo mtakatifu.
 
Nimetuma comments nyingi sana kuhusiana na Crucifiction, Kufa na kufufuka kwa Yesu. Inaonekana hukusoma ushahidi na vipengele nilivyotuma.

Hakuna tatizo. Titaelimishana tu. Labda nianze na swali; unaikubali hii starement zifuatazo from the Bible?

Deuteronomy 24:16

"Mababa wasiuawe kwa ajili ya watoto wao, wala watoto wasiuawe kwa ajili ya baba zao; kila mtu na auawe kwa ajili ya dhambi yake mwenyewe."

Psalm 49: 7 - 8

7 Hakuna mtu awezaye kumkomboa ndugu yake,Wala kumpa Mungu fidia kwa ajili yake,

8 (Maana fidia ya nafsi zao ina gharama,Wala hana budi kuiacha hata milele😉

Hiyo ni kwamba kila mtu atabeba dhambi zake. Na hakuna mtu atakayeweza kumkomboa mwenzake wala kumpa Mungu fidia kwa ajili yake. Unakubaliana nayo au unaipinga? Hayo ni maneno ya Bible.

Simple answer please Yes or No kusudi tusitoke nje ya maada.
The big No. The meaning is determined by context.
 
Hapa tulichojibu ni suala kama alifufuka au la na kwamba kilichpatika katika clip ni uongo, tukitoka hapo tuhamie maandiko yako ktk Zabiri au torati.
 
Ila mm nashukuru sana Waislamu mnaisoma biblia, najua pia huwa mnahubiriana huko misikitini kwenu...ingawaje Majini huwa hayapendi kusikia habari za biblia
Majini hawaogopi Biblia hata kidogo. Majini wanaogopa maneno ya Mungu ambayo hajatiwa mikono na wanaadamu. Majini waogopa sana Quran ndiyo dawa yao.
 
jamani vizungu virefu hatari....
sasa kuna sehemu pale YESU anasema hivi MIMI NDIMI NJIA YA KWELI NA UZIMA, MTU HAWEZI KUFIKA KWA BABA ILA KWA MIMI......

HAPA VIPI JAMANI??? AMESULUBIWA / HAJASULUBIWA NI YESU YULEYULE.......NI NJIA NA UO UZIMA NJONI MPITE JAMANI....
Kaka hiyo kauli Waislamu tunaikubali. Na hivi tunafuata mafundisho yake Yesu na hayo hayo ndio mafundisho ya mitume yote. Kwani mitume yote pamoja na Muhammed(rehma na amani zimfikie) wameleta dini moja tu ambayo ni ya ISLAM.
 
Wanampenda ila ndo hivyo wanadiss kiaina....
watamelewa tuuu,,,,
Sauli alikuwa anawauwa mitume, kusema YESU alikufa , akafufuka.....
watakuwa hawa hadi nguruwe wanakula bhana, siku ikifika watamtangaza kama hiviii leo wanavyofanya....
Mimi ningewa wewe ningetafakari sana hizi kauli unazoambiwa. Na kuzifanyia kazi. Kuna siku utakuja kulia kilio kibaya mno. Utamtafuta Yesu wackumrushia madhambi yako lakini atakwambia kila mmoja na mzigo wake, kwani ujumbe wangu hukuupata??
 
kwa hiyo mtume wenu ndiye "ROHO" wa kweli....???? ROHO wa kweli anaombewa rehema na amani????? wakati ROHO wa kweli yeye ndiye atiaye uzima inakuwaje tena naye anaombewa kurehemiwa na kupewa amani????? Hebu nenda Matendo ya Mitume sura ya 2 usome iwapo huyo aliyeshuka siku ile kama ni mtume wenu au ni ROHO MTAKATIFU (ahadi ile aliyoahidi Yesu Kristo kuwa atakuja msaidizi) sawasawa na nabii Yoeli alivyotabiri katika kitabu cha YOELI (2:28-30),
TENA nabii ISAYA alitabiri habari ya YESU na kuzaliwa kwake na mateso yake (Isaya 7:11-14, 9:6-7, 53:1-11)
TENA nabii Ezekieli alitabiri kwa habari ya ROHO Mtakatifu kama maji mengi yanayoponya magonjwa ya kila aina.
TENA ROHO WA AHADI aliyetabiriwa na YESU KRISTO kuwa sisi tumwaminio tutampokea ametajwa kama MAJI YA UZIMA (Je mtume wako anaingia hapa??) mtume wako alikufa na akafa kweli kweli ati na kwa sasa anamsubiri Yesu Kristo atakapowafufua wote waliokufa apate hukumu sawasawa na matendo yake lakini YESU alifufuka na akaleta ROHO wa uzima ili watakaomwamini hata wakifa wawe na uzima wa milele ndani yao.
Je, kitabu chako hakisemi kuwa; "kiama ya wafu haiji asipokuja huyo YESU???"
ROHO GANI ANA MIFUPA, ANAFUGA MAJINI, ANAOA WATOTO WADOGO, ANAOA MANY MANY WIVES WITH MASURIA PEMBENI, ANAFUNDISHA SIHILI NA FALAKI???? huyo ni roho mtaka vitu siyo mtakatifu.
Ndugu kwa kweli umenifurahisha kweli. Unajua kupotea kwa kiasi hicho ulichonacho inaonyesha ni damage kiasi gani iliyokuwa kati imani na fikra zako.

Haya naomba nianze na maswali. Huenda ukanielewa.

Kwa hiyo ROHO mtakatifu ni Yesu kaja kuwaokoa Wakristo, au sio? Kama ndio hivyo inamaana hata wakristo wakifanya Dhambi kubwa kiasi gani wote wataenda peponi, au nimekuelewa sivyo??

Nijibu hiyo kwanza.
 
Kaburi laYesu baya Sasa ninapoandika lipo yaani pale alipolazwa baada ya kusulubiwa. Sasa hilo Ni la nini? Golgotha pia ipo . Hiyo siyo Bible Bali kitu kingine. Evidence za crucifixion ziko nyingi hadi leo
 
Hapa tulichojibu ni suala kama alifufuka au la na kwamba kilichpatika katika clip ni uongo, tukitoka hapo tuhamie maandiko yako ktk Zabiri au torati.
Sasa tutakwendaje huko kama unakana maneno ya Biblia yako???
 
Kaburi laYesu baya Sasa ninapoandika lipo yaani pale alipolazwa baada ya kusulubiwa. Sasa hilo Ni la nini? Golgotha pia ipo . Hiyo siyo Bible Bali kitu kingine. Evidence za crucifixion ziko nyingi hadi leo
Kaburi kuwepo haimaanishi chochote. Soma kaka soma.
 
Nani alihantusha Bibilia iandikwee.nani aliipa jina Biblia??nyingi Biblia nimezisoma na zote zina tofautiana sasa nyie wakristu gani ndio ukweli?
 
Back
Top Bottom