1500 years Old Bible found in Turkey

Shida yako wewe unasoma nakala za wanazuoni wa kiislamu wanaoichambua biblia ambao hao maranyingi hutamka maoni yao......Mimi nakushauri soma biblia mwenyewe ukiwa umetulia, uielewe alafu ndo uje kuongea hapa
 
Kwahiyo unamaanisha kuwa Yesu Mungu au???

Kaka binaadamu akifa ni amekufa tu. Haijalishi ana uhusiano gani na Mungu. Mtumbe Muhammed(Rehma na Amani zimshukie) ni binaadamu. Kufa ni haki.

Yesu hakufa ndio maana yupo hai na amepaishwa. Na kama angekufa naye asingefufuka. Usiwe kama kipofu na kiziwi. Unasoma Biblia lakini huoni wala husikii kuelewa. Wewe nimekuuliza swali. Lijibu kama wewe unaelewa unachokisoma.
 
Majini hawaogopi Biblia hata kidogo. Majini wanaogopa maneno ya Mungu ambayo hajatiwa mikono na wanaadamu. Majini waogopa sana Quran ndiyo dawa yao.
Hahahaha hahahahaha a hahahahahahaha alafu we jamaa usije ukafikiri mimi Uislamu siujui.....naishi na jamii ya kiislamu na ninashuhudia wanachofanya.....majini ndo kinga yenu hata kwenye Albadili ndo mnayatumia sana hayo mambo.....ishu za kutumia kuran kurushiana majini yapo sana tu......Ila huyo allah wenu nyie ngojeni tu, mwisho wa dunia si utakuja tu
 
Majini hawaogopi Biblia hata kidogo. Majini wanaogopa maneno ya Mungu ambayo hajatiwa mikono na wanaadamu. Majini waogopa sana Quran ndiyo dawa yao.
Mwisho wa dunia YESU KRISTO atakuja na kila jicho litamwona, hata katika Uislamu mnaamini hivyo ryt......YESU KRISTO anakuja mwisho wa dunia kwasababu yeye ndiye mkombozi wa huu ulimwengu hata huyo Muhammad wenu anamsubilia YESU afufuliwe mwisho kwa ajili ya kiama
 
HIYO BIBLIA ULIYOSOMA NA UNAYOSOMA NI YA KUKIDHI MATAKWA YA DINI YAKO TU, ANGALIA NA USOME BIBLIA ZINAZOTUMIWA NA WAKRISTO TANGU MIAKA NA MIAKA, NA UKASOME TENA ISAYA 53:1-11.
HAYO ULIYOANDIKA NI MAANDIKO ILA HAYANA MAANA HIYO ACHA KUPOTOSHA. KUAGIZIWA MALAIKA NI AHADI YA ULINZI WA MUNGU KWA WOTE WANAOMCHA NA NDIYO MAANA SHETANI ALIPOMJARIBU YESU ALIMWAMBIA 'IMEANDIKWA' ILI AMPOTOSHE YESU KAMA WEWE UNAVYOTAKA KUPOTOSHA WATU WA MUNGU SOMA ZABURI YOTE YA 91 (ITS ALL ABOUT GOD'S PROTECTION FOR THOSE WHO FEAR HIM; NA MIMI NIKIWEMO)
USILETE SUMU ZA MADRASA HAPA, WALA HUWEZI UKAWA MWALIMU WA BIBLIA HAPA FORUMS WEWE SEMEA TU HICHO KITABU CHAKO 'KILICHOANGALIZIA BIBLIA ILI KIWEPO' ILA BIBLIA KAMA BIBLIA INAJITOSHELEZA KWA MAFUNDISHO YA UTAKATIFU WOTE.
 
Shida ni kwamba wewe unaleta ushindani wa kitoto wakati mimi nipo katika kukuelimisha. Usiniulize mimi maswali kana kwamba mimi nimeandika hiyo Bible. Kama wewe ungekuwa Kweli mpenda Yesu basi ungelitaka kujua zaidi kuhusu ukweli kati ya hiyo Bible na your current Bible. It is you to search further and find out to know your religion. Mimi nimekupa starting point, now you need to research and work forward. Mimi majibu ninayo. Ninajaribu kukuelezea lakini huelewi. Sasa wewe find out the truth yourself.
 
Jotu, hata hivyo haibadilishi ujumbe. Ujumbe ni ule ule. Huwezi kumtolea fidia nduguyu hata kama tajiri. The concept is the same. You can not sacrifice for your brother.

What about Deuteronomy 24:16??


Sawa tumekuelewa tuambie sababu za yuda kusulubiwa kama zilivyo elezwa kwenye original bible. Hii original bible ina vitabu vingapi?

Na washawasha!
 
Toa hayo majibu basi maana ndio nipo katika hiyo truth finding mission. Sasa mtoto ni mimi au wewe unaeshindwa kutetea ulichokileta mbele ya maelfu ya watu. Unanilazimisha nikuelewe kama haueleweki au sikuelewi, wewe vipi bwana?

Niama ujibu maswali unayo ulizwa au ukubali kuwa your workdone here is zero ndio sufuri huo ndio ukweli mchungu

Na washawasha!



 
Nani Roho mtakatifu? Ni Yesu?
 
ENDELEA HIVYO HIVYO, MOTO UNAKUSUBIRI USIPOBADILIKA. MUNGU MFUGA MAJINI MUNGU GANI HUYO?????????/ /MUNGU MFUNDISHA UCHAWI MUNGU GANI HUYO??????? MUNGU WA KUOKOA MPAKA UVAE HIRIZI NA KUFANYA MATAMBIKO NDIYO AKULINDE............UKITAKA MAMBO YANYOOKE HADI UENDE KWA WAGANGA NA WACHAWI WA DINI YAKE, KUPATA WATEJA HADI UFUKIZE UDI,
AKAFIE MBALI KAMA ALIVYOKUFA MTU WAKE HUYO UNAYEMTETEA.
NA YESU NDIYE MUNGU NA TENA NI MWANA WA MUNGU TENA NDIYE ATAMHUKUMU SIKU YA MWISHO HUYO UNAYEMTETEA
 
Unakimbia sana maswali we jamaa, au kila swali huwa unamshirikisha kwanza shehe wako hapo wa karibu
Dah, Wakristo muna vichwa vigumu kweli kuelewa jambo la Imani. You mind is closed. Hakuna swali ulillo uliza ambalo halijajibiwa. Lakini huelewi kila unavyojibiwa.

Au kiingereza shida?
 
Kama una pendekeza tuamini kuwa mohamed alitumwa na Yesu pia unamuumbua mohamedi mfuasi wa kristo (mkristo) alikiuka utume wake na kutangaza mambo aliyoyapenda yeye kwa maslahi yake yaani Ngono na utapeli.
 
Shida yako wewe unasoma nakala za wanazuoni wa kiislamu wanaoichambua biblia ambao hao maranyingi hutamka maoni yao......Mimi nakushauri soma biblia mwenyewe ukiwa umetulia, uielewe alafu ndo uje kuongea hapa
Shida ni kuwa munakana maneno yakiandikwa ndani ya Biblia kisha munajita Wakristo. Sasa mbona kitabu chenu chenyewe munakikana?

Nimekuuliza unaikubali Deuteronomy 24:16?
Hukunijibu hadi sasa. Au Unakimbia suali?
 
Huo mwisho wa Dunia ukifika na wewe upo kwenye hali hii basi kaka utajuta juto la firauni.

Nimekuuliza kuwa Kusulubiwa kwa Yesu inamaana wakristo wote peponi hata kama ukifanya dhambi??? Hebu nijibu kidogo nami nifurahi. Maswali yangu yote hujibu. Typical Christians.
 
Wewe kweli Sifuri. Siku ya mwisho unamaanisha nini?? Hapi katika maelezo yako umechanganya.

Yesu atakuja siku za mwisho wa ulimwengu. Mtume Muhammed ameshatangulia mbele ya haki, yeye hamsubiri Yesu. Wataomuona Yesu ni watu wataokuwa hai wakati huo. Unajua Yesu anakuja kufanini??
 

It seems you have a problem of decontectualization. Umerudia kosa lile lile la kotozingatia mktadha. Zab 91 ni ulinzi wa Mungu kwa waja wake sio specific kwa Yesu. Do not try to insert your own idea which is not there. You should interpret the Bible literary and figuratively according to its context
 
Unasoma lakini hupati ujumbe. Kama Mungu amekwambia kuwa atamlinda Yesu na chochote kile iweje ashidwe kumlinda na Crucifiction??? Hiyo ilikuwa ndio CONCEPT ya wewe kuipokea na utafakari. Nyinyi munasoma Biblia lakini hamuelewi.
 
Sawa tumekuelewa tuambie sababu za yuda kusulubiwa kama zilivyo elezwa kwenye original bible. Hii original bible ina vitabu vingapi?

Na washawasha!
Sijui inavitabu vingapi. Mimi nimekuanzishia. Wewe ni wajibu wako ufuatikie dini yako ujue ukweli. Usiniulize mimi kana kwamba mimi ndiye nilichokiandika. Nyinyi munataka mutafuniwe, mukitafuniwa munashindwa kumeza. Sasa ni bora mufuatilie imani yenu mupate kujua ukweli.
 
Nini swali lako kaka? Manake naulizwa maswali mengi humu ndani. Hata sikumbuki nani kauliza nini. Nikumbushie swali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…