1500 years Old Bible found in Turkey

1500 years Old Bible found in Turkey

kumekuwa na kawaida kwa ulimwengu wa Kiislamu kufanya kila juhudi kuonyesha kwamba Biblia imepotoshwa, ingawaje jambo hilo si kweli hata kidogo. Ukiachilia mbali makosa ya kibinadamu ya hapa na pale ambayo yanaingia kutokana na ukweli kwamba Biblia imetafsiriwa na inaendelea kutafsiriwa mara nyingi sana, hakuna makosa ya makusudi yanayofanywa ili kupotosha au kuficha ukweli.
Na juhudi hizi zote zinafanywa ili kutaka kuonyesha kwamba Quran ni neno la Mungu la kweli ambalo halijapotoshwa hata kidogo. Basi mimi naomba mnisaidie majibu ya maswali haya machache kati ya mengi:
1. Sura 54:19 inasema kuwa mji wa Aad uliharibiwa kwa siku moja na sura 69:6,7 inasema kuwa uliharibiwa kwa 'usiku' sita na siku nane (seven nights and eight days). Hapo kuna mkanganyiko au la?
2. Sura 19:17 inaonyesha kuwa malaika alimtokea Mariamu lakini sura 3:42 inasema walikuwa malaika wengi.
3. Sura 28:40 inasema kuwa farao alizama na kufia kwenye maji lakini sura 10:92 inasema kuwa farao huyo alipona.
4. Sura 18:86 inasema kuwa jua huzama kwenye chemchemi ya maji yenye tope. Unadhani hii ni sahihi. Jua lina joto la zaidi ya nyuzijoto 6000 kwenye uso wake. Lakini maji yakifika nyuzijoto 100 yanageuka mvuke. Je, maji yanayotajwa kwenye sura hii ni maji gani? Unadhani ni Mungu aliyeumba jua na maji ndiye anayesema haya?
5. Sura 15:19 inasema kuwa dunia ni bapa kama meza (flat). Kama Mungu ndiye aliumba dunia na ndiye alileta Quran, anaweza kusema jambo kama hili?
6. Sura 86:6,7 inasema kuwa manii ya mwanamume hutokea kati ya uti wa mgongo na mbavu. Hii ni sayansi ya wapi? Ni kutoka kwa Mungu aliyeumba wa mbingu na nchi na uti wa mgongo na mbavu kweli? Kama haitoki kwa Mungu basi hata kitabu chenyewe nacho hakitoki kwa Mungu, au siyo?
7. Sura 19:27,28 inasema kuwa Mariamu alikuwa ni dada wa Haruni. Lakini tangu Haruni aishi ilipita miaka 1300 ndipo alipozaliwa Mariamu. Ni Mungu gani basi anayeweza kusema maneno kama haya?
8. Sura 28:8 inasema kuwa farao na Hamani waliishi wakati mmoja na mahali pamoja. Lakini historia iko wazi kwamba kuna tofauti ya miaka takribani 1000 kati ya watu hawa. Vilevile, farao aliishi Misri wakati Hamani aliishi Uajemi kwenye ngome iliyoitwa Shushani.
MAONI YANGU
Biblia na Quran zote zina makosa fulanifulani ya kibinadamu yalioyoingia humo wakati wa kuandikwa kwa vitabu hivyo. Kwa upande wa Biblia (sijui sana upande wa Quran), huwa nakutana na makosa kadhaa, kwa mfano kukosewa kuandikwa kwa neno, kutafsiriwa vibaya kwa neno, kukosewa kwa takwimu, n.k. Mimi nadhani kuwapo kwa makosa ya aina hii si ishara kwamba kitabu hiki hakitoki kwa Mungu. Ingekuwa ni kweli kwamba makosa haya yaliingizwa ili kuficha au kupindisha ukweli fulani, basi huko ndiko kungekuwa ni kupotosha maandiko.
Kwa upande wangu kipimo kikuu cha kutambua iwapo neno fulani ni la Mungu au la, ni MAFUNDISHO ya Mungu anayehusika. Kwa mfano, hapo juu nimetoa mfano wa Sura 54:19 inayosema kuwa mji wa Aad uliharibiwa kwa siku moja ilhali sura 69:6,7 inasema kuwa uliharibiwa kwa 'usiku' sita na siku nane (seven nights and eight days).
Mimi sioni kama hiki ni kigezo cha kusema kuwa Quran si kitabu cha Mungu wa kweli. Au aya moja kusema farao alizama maji na nyingine ikasema hakuzama. Aina hii ya ukinzani kwangu si kigezo cha kubatilisha kitabu.
Lakini tunapoenda kwenye mafundisho yanayohusu mwenendo wa kuishi na wanadamu wenzako, vigezo vya utakatifu, wajibu wa muumini kwa Mungu, wanadamu wenzake na jamii kwa ujumla, n.k., hapo ndipo ninaona kuna uwezekano wa kutenganisha kati ya ujumbe wa Mungu wa kweli na usio wa Mungu wa kweli.
Kama Mungu mmoja anasema wachukie wanadamu wasio na imani kama yako, waue; halafu kuna Mungu mwingine anasema wapende, wasamehe, waombee, wavumilie, n.k., bila shaka hapa ndipo penye uwanja sahihi wa kutenganisha pande hizi mbili.
Mungu wa Ibrahimu na Isaka na Yakobo akubariki ndugu msomaji.
 
Ivyo vitabu vipo vingi tu nenda Jerusalem vimeandikwa miaaka mingi ata zaidi ya hiyo waliokua wanapinga yesu kwa maandishi walikuwepo wengi tu nawaliandika vitabu na vipo kwenye maktaba uko kama sijakosea ni Jerusalem
 
Bibilia ilikuwepo ata kabla ya yesu kuzaliwa , ambalo sisi wa kristo tunaiita agano la kale na baada ya kuja yesu wakaandika waandishi wengine wanaojulikana,juu ya maisha ya yesu na na ujumbe aliokua anautoa juu ya mungu anataka nini , bibilia iyo ikaitwa agano jipya. Na atakama kweli ichokitabu kimepatikanika mwandishi wake alikua nani na je alikua anamsimamo gani kwa kipindi icho , maana vitabu vya kupinga yesu vilikuwepo miaka na miaka na vina upri mkubwa kuliko ata icho , napia kumbuka bibilia nimkusanyiko wa vitabu 72 maana yake ni jambo lilishuudiwa na watu wengi, ndiyo maana nakuuliza icho wanacho kiita bibilia kiliandikwa na akina nani maana ichi cha sasa tunawafahamu waandishi wake
 
Kwanini uamini Yesu amesulubiwa wakati Biblia inakuambia kuwa hakusulubiwa??

Ushahidi:

Wagalatia 3

1 Enyi Wagalatia msio na akili, ni nani aliyewaloga, ninyi ambao Yesu Kristo aliwekwa wazi mbele ya macho yenu ya kuwa amesulibiwa?

2 Nataka kujifunza neno hili moja kwenu. Je! Mlipokea Roho kwa matendo ya sheria, au kwa kusikia kunakotokana na imani?

3 Je! Mmekuwa wajinga namna hii? Baada ya kuanza katika Roho, mnataka kukamilishwa sasa katika mwili?
Jamani, mnasumbuka nini na huyu mtu? Mbona hiyo roho inayomtawala iko wazi hapa??? Amefunikwa na ukengeufu na upotofu kiasi kuwa hana mwanga wowote wa kulielewa Andiko lililo wazi kiasi hicho....hiyo roho ovu inadhihirika hapo kwa uwazi kabisa.
 
Nani aliyekwambia yesu kafa na kafufuliwa? Mbona Biblia inakanusha wazi kabisa?? Soma

1 Corinthians 15:15;

Naam, na sisi tumeonekana kuwa mashahidi wa uongo wa Mungu; kwa maana tulimshuhudia Mungu ya kuwa alimfufua Kristo, ambaye hakumfufua, ikiwa wafu hawafufuliwi.
Hiyo hapo! nia ovu, roho ya kuasi, giza kamili....ile roho inayomfanya huyu aruke mistari yote kabla ya huo wa 15 na inamlazimisha asitilie maanani mistari inayoufuata huo, roho ile inayomzuia asione mantiki iliyo wazi kiasi hicho.... huyo hapo uchi kabisa! Mwenye kubeba hila kiasi hiki, aliyedhamiria kupotosha kwa namna zote, aaminike kwa lipi baada ya rangi zake halisi kudhihirika?! Kazi za roho ya kuasi hizo hapo..
 
Kunakua na versions nyingi za biblia kwasababu hiki kitabu kiliandikwa na watu kadhaa ambao sio hao tunaodhaniwa ndio. Biblia imeandikwa na the council of nicea. Religion is nothing but a scam na mpaka watu waje kugundua hili ni baadae sana. Ivi hamjiulizi kwann the whole book is about Jesus but the Nigga never wrote a single book.?? Thats because hauhitaji this thing called the bible to tell u what right and wrong because its already written in ur essence u are born knowing right from wrong. Nobody ever told u its wrong to kill ur mama but somehow u know that.....so put the book down it will only confuse you.
 
Angalia kwenye posts zangu humu maswali na wala si swali yako na uyajibu.

Swali la nyongeza hii biblia original ina liongelea je suala la kuabudu sanamu? Vipi nyoka wa shaba kapewa nafasi kwenye original bible?

Na washawasha
Ili tuweze kuwa on the same page. Toa reference ya ibara hizo ndani ya hiyo Bible.
 
Kuna mahali Mkristo yeyote alikuambia ana mashaka na ukweli wa anacho kiamini ili wewe upate sababu ya kuvalentia kumsaidia kujua huo ukweli? Kwa nini usihubiri kweli ya unacho kiamini wewe ili watu waione hiyo kweli na waifuate? Nini kina kufanya uhangaikie kweli ya imani ya Wakristo? Je wa weza kututajia jina hata moja la dhehebu la Kikristo linalo fuata hiyo itawayo original bible maana tangu waturuki waigundue ni muda sasa?

Au kuna historia ina onesha kuwa kuna dhehebu la kikristo lililowahi kuitumia hiyo original bible. Maana kama ilikuwapo basi kuna waliyo iandika na kuitumia kama kitabu chao. Sasa kwa huko kujitolea kwako tusaidie kuwa fahamu walio wahi kuitumia hiyo original bible, maana huwezi kuichakachua yenyewe na wale walio wahi kuitumia, karibu tafadhali.

Na washawasha!
Ungekuwa unajua Chimbuko la dini yako basi hayo maswali usingeuliza. Now lets go back to the very beginning of your Faith. There was no religion called 'Christianity' at the time of Jesus. That means Jesus didn't bring a religion called 'Christianity', thats why there is no place in either Old Tastement or New Tastement quoted that Moses or Jesus brought Christianity as your religion. In Jesus time, There were only followers of Jesus but not Christianity. These followers of Jesus kept Manuscripts of Jesus teachings God's Words. They are called Manuscripts of INJIL and not BIBLE. Many years After Jesus death some unknown people collected these Manuscripts of INJIL and TORAH(the book of Moses of which already existed along with book of DAVID) collected them together and Made BIBLE and formed CHRISTIANITY as a religion. That is CHRISTIANITY religion is not made by Jesus nor Jesus is aware of its existence. These unknown people couldnot have twisted the books which were already existed before Jesus, that is TORAH & ZABUR because they were well known to Public. However INJIL was not published as a book at that time because Manuscripts were dispersed in different places and some even lost. These unknown people twisted the true words of Jesus and hide the truth from it because they wanted to control people the way they want.

For instance; Jesus came only for Jewish people and that is his statement in the Bible. If you say Jesus came for the whole world and you also give a statement from the Bible then it means there is contradictions, that means something is wrong. You need to question that. But instead you don't, when a Muslim comes and tell you, you start Mocking him.

Strangely all Christians are not Jews. Most adherents of Christianity were in the West, though it has spread to every continent. Strange isn't it??

Now that you know where Christianity begins, you will know the only People who were following INJIL are the true followers of Jesus. They dissapeared after the start of CHRISTIANITY. The book you saw is probably the part of the book of followers of Jesus, The True INJIL.

Hapo maswali yote nimekujibu. Inatakiwa usome na uelewe. Samahani kwa kuandika kizungu.
 
Nimeshakuambia kuna YESU KRISTO na ROHO MTAKATIFU.....ROHO MTAKATIFU alishuka siku ya Pentekoste YESU alipo paa kwenda Mbinguni
ROHO MTAKATIFU haja jina? Au jina lake ni ROHO MTAKATIFU? Alishawahi kuonekana kwa watu kimaumbile? Nipe reference from the Bible. Interesting!
 
Nimekimbiaje wewe....ntakanaje mistari ya biblia akati ndo kitabu changu....
Sasa kama unakubali Deutetonomy 24:16 ambayo Mungu anakwambia wazi kuwa kila mmoja anabeba dhambie zake yeye mwenyewe vipi tena kwenye New Tastement uambiwe kuwa Yesu amekuwa sacrificed kwa Dhambi zenu??? Huoni kuna contradiction kubwa hapo?? Kauli Mbili ndani ya Bible moja.
 
Kama kweli unasoma biblia jibu utakua nalo la kuhusu kwanini YESU anakuja siku ya mwisho.........
Sio kila swali unitupie. Mimi nataka uelimike na ufahamu kuwa nipo hapa kukufungua macho. Kama hujui kwanini Yesu atakuja siku ya mwisho niambie ili nikueleze. Usione aibu na wala dont feel defeated to accept the truth.
 
kwa hiyo mtume wenu ndiye "ROHO" wa kweli....???? ROHO wa kweli anaombewa rehema na amani????? wakati ROHO wa kweli yeye ndiye atiaye uzima inakuwaje tena naye anaombewa kurehemiwa na kupewa amani????? Hebu nenda Matendo ya Mitume sura ya 2 usome iwapo huyo aliyeshuka siku ile kama ni mtume wenu au ni ROHO MTAKATIFU (ahadi ile aliyoahidi Yesu Kristo kuwa atakuja msaidizi) sawasawa na nabii Yoeli alivyotabiri katika kitabu cha YOELI (2:28-30),
TENA nabii ISAYA alitabiri habari ya YESU na kuzaliwa kwake na mateso yake (Isaya 7:11-14, 9:6-7, 53:1-11)
TENA nabii Ezekieli alitabiri kwa habari ya ROHO Mtakatifu kama maji mengi yanayoponya magonjwa ya kila aina.
TENA ROHO WA AHADI aliyetabiriwa na YESU KRISTO kuwa sisi tumwaminio tutampokea ametajwa kama MAJI YA UZIMA (Je mtume wako anaingia hapa??) mtume wako alikufa na akafa kweli kweli ati na kwa sasa anamsubiri Yesu Kristo atakapowafufua wote waliokufa apate hukumu sawasawa na matendo yake lakini YESU alifufuka na akaleta ROHO wa uzima ili watakaomwamini hata wakifa wawe na uzima wa milele ndani yao.
Je, kitabu chako hakisemi kuwa; "kiama ya wafu haiji asipokuja huyo YESU???"
ROHO GANI ANA MIFUPA, ANAFUGA MAJINI, ANAOA WATOTO WADOGO, ANAOA MANY MANY WIVES WITH MASURIA PEMBENI, ANAFUNDISHA SIHILI NA FALAKI???? huyo ni roho mtaka vitu siyo mtakatifu.
kwani mkuu unapanikia nini hadi ulete madharau?,
hebu twambie kwanza mna roho watakatifu wa aina ngapi,maana roho mtakatifu alikuwa akishuka mara kwa mara kwa mjibu wa bible,hata siku yesu wanambatiza alishuka etc,

sasa huyu ROho wa kweli asingeweza kuja wakati yesu yupo,yesu mwenyewe alisema "yanipasa niondoke maana nisipoondoka huyo roho wa kweli hawezi kuja"

so tunapata kumbe roho wa kweli hangeweza kuja wakati bado yesu akiwepo duniani,sasa huyo roho mtakatifu akishuka kila mara kipindi cha yesu ni yupi na huyu roho wa kweli ni yupi?,

pili,huyo roho ATAWAFUNDISHA NA KUWAMBIA YOTE,ambayo yesu hakuwambia,

sasa hebu tuonyeshe huyo roho mtakatifu aliyeshuka kwa wanafunzi wa yesu siku ya pentacoste aliwafundisha yote yapi na kuwaeleza yote yapi hayo?,
ina maana hapa alikuwa anaongelewa mtu na si viginevyo
 
CHRIST IS LORD!!!! EVERY KNEE SHALL BOW AND EVERY TONGUE SHALL CONFESS!!
Give a reference in your Bible Jesus Saying that he is GOD or Saying WORSHIP me. If you give me single verse quoted Jesus saying that then i will be convert to Christianity today.

Dont invent things in your head and start believing it. Sorry to say That is in fact foolishness.

Here are different verses in the Bible Jesus clearly saying that he is just human and instead you need to worship GOD and not him.

Luke 4: 5 - 8
5And the devil, taking him up into an high mountain, shewed unto him all the kingdoms of the world in a moment of time.

6 And the devil said unto him, All this power will I give thee, and the glory of them: for that is delivered unto me; and to whomsoever I will I give it.

7 If thou therefore wilt worship me, all shall be thine.

8 And Jesus answered and said unto him, Get thee behind me, Satan: for it is written, Thou shalt worship the Lord thy God, and him only shalt thou serve.

Swahili translation of Luke 4:8;
Yesu akajibu akamwambia, Imeandikwa, Msujudie Bwana Mungu wako, umwabudu yeye peke yake.

Also John 8:40
But now ye seek to kill me, a man that hath told you the truth, which I have heard of God: this did not Abraham.

Translation in swahili John 8:40
Lakini sasa mnatafuta kuniua mimi, mtu ambaye nimewaambia iliyo kweli, niliyoisikia kwa Mungu. Ibrahimu hakufanya hivyo.

Are you denying Jesus words?? If you call him GOD then you directly denying the above verses. And if you deny then you are not a Christian.
 
Unajua bible unasoma kama hadithi, roho mtakatifu anakiwa akuongeze ukisoma neno la mungu.Yesu alikuja kutuokoa kwa kupitia yeye,kabla ya hapo walikuwa wanatoa sadaka ya kuteketeza ili wasamehewe dhambi.Sio kwamba ukiwa na jina la Patrick au joyce ndo uone ufalme wa mbingu ila ukimfuata na kwa kukabidhi maisha yako kwa mungu.Ila ukifanya dhambi hukumu itakuwa juu yako.
Ni kweli Yesu alikuja kuwaokoa wana wa Israel. Sio watu wengine zaidi yao.

Mathew 15:24
24 Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.

Na kama utanipa kipengele kwenye Bible kinachosema Yesu kaja kwa ajili ya ulimwengu wote basi ni wazi yaonyesha mgongano katika Biblia. Hizo ndio dosari tunazo zizungumzia. Maneno ya Mungu hayagongani hata siku moja.

Na kama unaelewa kila mtu na dhambi zake, iweje ukubali Yesu amesulubiwa kwa kuokoa Dhambi zetu???
 
Baada ya kukubaliana kuwa Zab 91 sio specific kwa Yesu sasa njibu swali lako.

God is Omnpotent, omnscient and omnpresent. You do agree right! He has his purpose and his way of doing things right!

Therefore he is able to choose suffering, death or any kind of methods to accomplish his purpose.

Alifanya ivo kwa mja wake Ayubu. Ayubu 2:8-9 [8]Naye akashika kigae cha kujikunia; akaketi majivuni.
[9]Ndipo mkewe akamwambia, Je! Wewe hata sasa washikamana na utimilifu wako? Umkufuru Mungu, ukafe.

alifanya ivo kwa mja wake Yusufu kwa kufungwa gerezani Mwanzo 39:20
[20]Bwana wake akamtwaa Yusufu, akamtia gerezani, mahali walipofungwa wafungwa wa mfalme, naye akawamo humo gerezani.

Alifanya ivo kwa waja wake Israel.
Kutoka 1:11
[11]Basi wakaweka wasimamizi juu yao wawatese kwa mizigo yao. Nao wakamjengea Farao miji ya kuwekea akiba, Pithomu na Ramesesi.

Na akafanya ivo kwa Yesu.

Shida ni nini kama Mungu mwenyew ameamua? Unataka kumshinikiza afanye kama utakavyo?
Ni kweli hizo sifa za Mungu, na anafanya atakacho lakini hamuadhibu Mjumbe wake bali anampatia Mitihani. Tofautisha baina ya Mitihani na Adhabu. Mitihani ni changamoto katika Mjumbe wake kufikia malengo aliyoagizwa. Kwa mujibu wako Yesu ameadhibishwa tena na maadui zake na amedhalilishwa. Hakuna Mjumbe yeyote wa Mungu aliyewahi kufanyiwa hivi kwenye histori ya Ulimwengu. Nimekutumia veses nyingi za kuonyesha Yesu alivyokuwa akimuomba Mungu amuokoe na Mateso hayo. Na nimekutumia veses nyingi zisemazo kuwa Maombi ya Yesu hayana hukubaliwa na Mungu. Iweje tena Mungu amwache Yesu adhalilike . Hili ni jambo haliwezekani.

Lakushangaza zaidi Munasema Yesu amesulubiwa kuokoa Dhambi zenu, halafu hapo hapo pia unakubali kuwa kila mtu ana beba zambi zake yeye mwenyewe. Mbona munajichanganya sana??
 
Deuteronomy 24:

16. "Parents are not not to be put to death for crimes committed by their children, and children are not to be put to death for crimes committed by their parents; people are to be put to death for crimes they themselves have committed.

Hapa ndipo kunako udhibitisha Uungu wa Bwana Yesu. Kuwa Mungu akiwa kauvaa uwanadamu alisulubiwa akafa akazikwa na kufufuka ili kuichukua dhambi ya ulimwengu wote.

Haya maneno katika hii nukuu ya Biblia ni ya kweli tupu kuwa hamna mwanadamu anayeweza kufanya hayo ila Mungu Mwana ambaye ndiye Bwana Yesu. Na masharti ya kupata msamaha wa dhambi ambayo Yesu kaichukua kwa niaba yetu ndio haya.

Utubu dhambi zako na kuziacha halafu umpokee kwa kubatizwa kwa maji na kwa roho, hivyo tu basi.

Lakini kwa vile neema ya hekima ya hili neno wamenyimwa wazee na kupewa watoto ndio hivyo watu wanaendelea kuifanya mioyo yao migumu na kujitoa ufahamu.

Na washawasha!

Duh, hivi unaelewa unachokiongea. Fungua ubongo wako ndugu yangu.

Deuteronomy 24:16
16. "Parents are not not to be put to death for crimes committed by their children, and children are not to be put to death for crimes committed by their parents; people are to be put to death for crimes they themselves have committed.

Very CLEAR message. Kila Mtu ABEBE zambi zake. Period.

Iweje huyo Mungu wenu afanye tofauti na maelezo yake anayotufundisha???

A verse from Quran 36: 10 - 12
( 10 ) And it is all the same for them whether you warn them or do not warn them - they will not believe.
( 11 ) You can only warn one who follows the message and fears the Most Merciful unseen. So give him good tidings of forgiveness and noble reward.

Ni kweli, kila ninachokuambieni hamuelewi. Muko kama vipofu na viziwi. Message unaiandika wewe mwenyewe lakini huelewi maana yake.
 
Biblia inajadiliwa sana maana lugha inaeleweka...ingeandikwaga kiibrania tu watu wakariri bila kuelewa kama hawa wenzetu.
Wenzenu waislamu wanaelewa wanachokisoma. Sisi sio wenzenu. Sisi tuna amrishwa kusoma na kuielewa dini yetu. Sio tu kufata kichwa kichwa.
 
Back
Top Bottom