1500 years Old Bible found in Turkey

Ni vizuri uwe kimya kama walivyokuwa Mapabdri wenu. Nyinyi Biblia munaibeba kama mzigo tu lakini hamuisomi wala hamuijui. Tafakari kaka, Dooms day is approaching. Jesus won't save you and no one can.


Tulizana shusha munkari. Hata hivyo hii topic umeileta wewe. Sasa kubali kusikia na usiyo penda kuyasikia. Na ulitakiwa ujue hilo kabla ya kuja na huu uzi hapa.

Na washawasha!
 
Loh, wacha kufurajisha baraza. Jamaa Muongo kweli wewe. Wewe kama muislamu niambie Uislamu ni nini?
 
Wewe mwenyewe hujamtambua mola wako. Sasa unatoa ushsuri upi?
 
Sasa NIAMBIE HUYO ROHO MTAKATIFU ANAKUFUNDISHENI NINI AMBACHO YESU HAJAFUNDISHA???

Mbona hujibu hilo suali??? Nyinyi Memuathiriwa ki akili.
 
Logic is simple unasoma biblia sio kwa kulijua Neno bali kwa kuangalia kitu unacho kiita udhaifu kwenye biblia, ambapo siwezi kushangaa maana wewe ni MTU wa Imani tofauti......hata mm nikianza kuisoma Quran ntakuletea hapa mikanganyiko kibao tu
Tunawaruhusu na Mungu amewaruhusi kwa kauli yake kuwa usome Quran na ulete hizo tofauti. Tusiandikie mate wakati wino upo. Hutaweza kupata chochote chenye hitilafu na ndiyo hujawahi sikia Mkristo au mtu wa dini nyingine yeyote kutoa Kasoro Quran. Hiyo mpaka kufa kwako hutasikia. Unasikia kasoro za Bible siku zote kwa sababu kiongelewachwo kipo! Its as simple as that.

Hakuna kona kona kwenye Uislam. Kila kitu Ni straight foward. Hakuna kupinda pinda.
 
Nilikuwa nakueleza lakini huelewi. Maneno ya Yesu ni ya kweli. Kwani INJILI ya kweli aliyokuja nayo Yesu ndio hiyo iliyokuwepo kwenye Quran. Muda wote nilikuwa nakueleza hayo lakini muna vichwa vizito kuelewa. Quran comprises of all GODS books, That is TOURA, INJIL, ZABUR, and any other missing books. Quran is Complete edition of all the Books. Sasa Yesu kumbe amekwambia yale yale ninayosema mimi lakini huelewi. Nyinyi sio Wafuasi wa YESU manake munakana maneno yake yote.
 
Ni wazi kuwa Mumerogwa, na mchawi ni nyinyi wenyewe. Kwa kweli hamuna tiba. Naona nikuwache kama ulivyo manake umeshaharibikiwa hapa dunia na akhera. Sasa labda muijiza ikujie kuinusuru nafsi yako. Mimi siwezi Kutukana mtu kwa jinsi unavyotukana wewe. Kama kwa mdomo mchafu umeshinda wewe. Naomba niishie hapo.
 
Kaka kwa kweli umenichekesha. Sasa kabla hatujaenda kwa huyo shetani unayemsema wewe. Hivi kwa maelezo uliyoyatoa, nyinyi Wakristo wote hata kama mukifanya madhambi munaenda peponi na hamuna madhambi??? Au Sivyo ulivyosema??
 
Uislamu au ukristo hauna msaada wowote kwa mwanadamu. Kujitambua hasa upo hapa duniani ili iweje?
Mungu ni mwema. Mwenye uweza na nguvu, haonekani lakini yupo.
Angalau wewe umeanzia pazuri. Mungu amekuleta Duniani ili ufanye nini?? Umeshawahi kujiuliza?
 
Ili wema uwepo uovu hauna budi kuwepo mkuu. Usingeujua mchana kama usiku usingekuwako.
All things came from nothing, and finally they will return into nothing.
But don't try to make that nothing into something, you will miss it all.
Nikama ulivyosema. Everything has a purpose in this World. What is a puprpose of human being to be here in this world??
 
Tulizana shusha munkari. Hata hivyo hii topic umeileta wewe. Sasa kubali kusikia na usiyo penda kuyasikia. Na ulitakiwa ujue hilo kabla ya kuja na huu uzi hapa.

Na washawasha!
Ongea point kama mimi navyokupa point. Musiongee ushabiki wa kitoto kutaka kuleta kashfa za kipuuzi. Mimi natoa kasoro za Biblia ndani ya Biblia. Wewe kazi yako to prove me wrong. Au kama unaona Islam inakasoro pia toa kasoro unazoziona wa ushahidi. Usilete ujinga wa kusema Waislamu wana majini. Nikikuambia ulete ushahidi wa maandiko wa kauli yako hutaweza. Kwanini munaongea pumba?? Hapa tunaelimishana kwa reference kama wasomi. Mambo ya vijiweni wekeni vijiweni.
 
Wewe mwenyewe hujamtambua mola wako. Sasa unatoa ushsuri upi?
Wewe usilete ushindani wa kitoto. Ongea hoja yako. Kama ni utoto kawatafute kwengine. Hii thread ni kwa watu wazima. Either utulie na uchangie hoja ili upate kujifunza au tafuta sehemu nyingine ya kucheza
 
samahani, sina mlengo wowote wakidini, ila niulize tu; kwani kutotajwa na hao waandishi ndo kunaidhinisha kuwepo au kutowepo kwake karne hizo!?? vp kama mwandishi huyo alikua akiandika kwa personal interest zake?
 
Mungu anekulea wewe na babu zako toka uzaliwe mpaka kufa kwako. Sasa unataka asipewe sifa yake??
Ukishasema mlezi ina maana kuna mzazi wenu ambae alifariki kisha mkaachiwa huyo mola ambae ni mlezi wenu ryt....from a simple logic, sasa huyo mzazi wenu ni yupi?? Alafu mola akishakua mlezi ina maana pia na yeye anafamilia yake ryt, so it means ana mke pia ryt from very simple logic....
 
Loh, wacha kufurajisha baraza. Jamaa Muongo kweli wewe. Wewe kama muislamu niambie Uislamu ni nini?
Wewe utabisha Ila ukweli naujua Mimi na wala sikulazimishi uamini maana hakuna kitu kitakacho badilika.....na sipo hapa kufurahisha baraza
 
Sasa NIAMBIE HUYO ROHO MTAKATIFU ANAKUFUNDISHENI NINI AMBACHO YESU HAJAFUNDISHA???

Mbona hujibu hilo suali??? Nyinyi Memuathiriwa ki akili.
Anatufundisha vitu vingi sana kwa mtu mwenye Imani thabiti, tunapewa maono, anatuongoza kuitafsiri biblia maana kuna mistari mingine Yesu aliongea bila ya kuitafsiri, yaani in short ni vitu vingi sana mkuu tunaongozwa kwenye ulimwengu wa kiroho
 
Hahahaha alafu cha ajabu Imani karibia zote zina ia attack biblia slkuanzia Freemason, Uislamu, Mormon nk.......Ila Yesu kishasema mti wenye matunda ndo unaopigwa mawe na nyinyi kwa kuishambulia biblia napata Amani sana maana naona mmeshaufahamu ukweli Ila mnapindisha maneno ili watu wawaamini........nilishaachaga kuisoma maana nilishakataaga kua Imani moja na Majini
 
Hahahahahahaha we jamaa una matatizo sana, unakurupuka kabla ya kuhoji Hapo ninaongelea Injili ya biblia....hiyo injili yenu ya kuitungia mapangoni na issa wenu mimi siitambui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…