masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Mpaka wewe usiye na mbele wala nyuma kiteknologia, ukaamini ya kuhadithiwa , inaashiria ulivyo rahisi kurubunika.Biblia haikuandikwa immediately baada ya kuondoka kwa Yesu. Iliandikwa baada ya zaidi ya Karne 4 kupita. Hiyo Copy iliyopostiwa ni genuine copy inayosema sawa na mafundisho ya Quran tukufu.
Kwanini ndugu zetu wakristo munaukana ukweli. Hiyo Bible imepimwa na wataalam na imeonekana ni authentic. Lazima mujiulize hivi ni kwanini muna Bible aina nyingi? Hivi maneno ya Mungu yanabadilika yenyewe kutokana na wakati au kuna mtu anayewabadilishia na wakuwataka muamini wanachokiandika??