1500 years Old Bible found in Turkey

1500 years Old Bible found in Turkey

Biblia haikuandikwa immediately baada ya kuondoka kwa Yesu. Iliandikwa baada ya zaidi ya Karne 4 kupita. Hiyo Copy iliyopostiwa ni genuine copy inayosema sawa na mafundisho ya Quran tukufu.

Kwanini ndugu zetu wakristo munaukana ukweli. Hiyo Bible imepimwa na wataalam na imeonekana ni authentic. Lazima mujiulize hivi ni kwanini muna Bible aina nyingi? Hivi maneno ya Mungu yanabadilika yenyewe kutokana na wakati au kuna mtu anayewabadilishia na wakuwataka muamini wanachokiandika??
Ndugu unajua maana ya biblia ? Hoja ingepaswa kuwa maandishi yanayosema Kristo hakusulubiwa yaginduliwa. Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vingi ambapo namna gani vilipatikana imeelezwa. Tukumbuke pia hata biblia yenyewe inaeleza kuwa tangu awali kuna uzushi kuwa Kristu hakufufuka.
 
Kwaio barua za paulo zote aliandika nani kama sio yeye?okey walioeandika injili zote unajua walikuwa wanaishi pia na Yesu na pia baadhi ni kizazi kimoja tuu ambao wanafahamu kila kitu.
Nakushauri soma historia ya waandishi kina marko kina yohana na luka ambaye alikuwa mwandishi wa yesu kama hujui.
tatizo mnakaririshwa majini
Sikatai Manuscript zilikuwepo tukeo hapo awali enzi za Yesu. Lakini kulikuwa hakuna kitu kinachoitwa Biblia wakati huo. Biblia ni compilation of the Manuscript which were collected and published. Bible was compiled many centuries after Jesus had gone. Hata hivyo manuscripts nyingi zilikuwa zimepotea. Who Compiled the Bible?
 
SI KWELI.BIBLIA ILIANZA KUANDIKWA MIAKA 1513 Kabla ya Yesu kuzaliwa.Kitabu cha Injili ya Mathayo Iliandikwa mwaka 41 AD,yaani miaka 8 baada ya Yesu kufufuka.Kitabu cha mwisho Kiliandikwa mwaka wa 98 AD.
Unazungumzia Manuscripts not the Bible.
 
Duh! mmeamua kutoka kivingine. Wakati wayahudi wanajipanga kuvunja temple mount wajenge hekalu nyie bado mnahangaika na uhalali wa Biblia!!!

Na washawasha!
 
Ndugu unajua maana ya biblia ? Hoja ingepaswa kuwa maandishi yanayosema Kristo hakusulubiwa yaginduliwa. Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vingi ambapo namna gani vilipatikana imeelezwa. Tukumbuke pia hata biblia yenyewe inaeleza kuwa tangu awali kuna uzushi kuwa Kristu hakufufuka.
Biblia Yenyewe imesema kuwa Yesu hakusulubiwa na hakufa. Tazama kwenye threads nituma ushahidi ndani ya Biblia.
 
How come it has more than 170 view halafu watu wanapita kimya lets discuss this folks!
Biblia iliandikwa kabla ya Yesu miake mamia na mamia (hasa kwa agano la kale), ila kwa agano jipya, iliandikwa immediately baada ya kufa, kufufuka na kupaa kwa Yesu. vitabu viliandikwa na mitume ndani ya miaka ileile mia moja baada ya kufa Yesu, Petro aliandika vitabu, luka aliandika vitabu, paulo baadaye aliandika vitabu just within hata 50 years haikufika baada ya Yesu kupaa, na vitabu vingi viliandikwa wakiwa katika mateso wakati wakitangaza ukristo na watu wanaupinga ndio waliwekwa gerezan na kuteswa sana. kitabu cha ufunuo wa Yohana kiliandikwa Yohana akiwa katika mateso kisiwani Patmos Ugiriki. hao walioandika hicho walichoweka hapo hasa kikiwa kimepatikana Turkey nchi ya kiislam, ni uzushi na ni watu wanaotaka kuuchafua ukristo na hawataweza.
 
hao ni walewale baadhi ya watu ikiwa ni mmoja aliyeandika kitabu cha kiarabu. ni miaka hiyo hiyo, walitumwa na shetani kuja kubadilisha ukweli kuwa uwongo.
 
Jesus ni 2000 yrs ago wewe unakuja na swaggs za 1500 yrs ago. Jiongeze kijana...
Hiyo ni Bible na sio Manuscripts. Usichanganye kati ya hivyo viwili. Manuscripts zilikuwepo tokea enzi za Yesu. Yesu ameleta kibatu kiitwacho INJILI. Bible ni Compilation ya vitabu vingi ikiwemo Injili. Biblia Imekuwa compiled many centuries after disappearence of Jesus. Na hicho kitabu chasemekana kuwa ndio original Bible.
 
Uturuki nchi ya kiislamu ryt.....ulitegemea uone kitabu gani sasa
Ingalikua kimeonekana rome au uingereza kisingetolewa hadharani kingeishia maktaba au kabatini kwa papa
 
Hakuna shida..... Hata wangegundua iliyoandikwa miaka 100 AD halafu ikaonekana haielezi kile kilichopo katika imani ya ukristo HAITAWEZA KUBADILISHA UKWELI.

'Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote,kwa maana hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo'(MDO 4:12)

Tena Yesu anazungumza mwenyewe akisema:

'Amwaminiye Mwana yuna uzima wa milele; asiyemwamini Mwana hataona uzima,bali ghadhabu ya Mungu inamkalia'(Yoh. 3:18)

Yesu alimwaga damu kama ishara ya ukombozi. Hakuna msamaha bila damu. Mungu ametuhurumia kwa kutuletea Yesu ili awe mpatanishi kati yetu na Mungu.

Huhitaji kutumia nguvu, ni kuamini tu......!
Ndo mnapitiaga humo kulegalise madhambi yenu sio?
 
1480529655900.png
sio mnaongea tuu nyie wapenda majini.
ukiangalia hapa unajua kuwa luka alikuwa daktar.mathew alikuwa yule mtoza kodi aliyekuwa mtume wa yesu baadae,mark alikuwa pia mfuasi wa petro(ina maana aliishi miaka ileile ya Mwokozi Yesu)na pia Yohana alikuwa mfuasi mdogo wa kipindi cha yesu
 
he was crusifised, he died and after 3 days risen among ded,
ALISULUBIWA
AKAFA
AKAZIKWA
SIKU YA 3 AKAFUFUKA kati ya WAFU..

HII NI AMINA NA KWELI.
Nani aliyekwambia yesu kafa na kafufuliwa? Mbona Biblia inakanusha wazi kabisa?? Soma

1 Corinthians 15:15;

Naam, na sisi tumeonekana kuwa mashahidi wa uongo wa Mungu; kwa maana tulimshuhudia Mungu ya kuwa alimfufua Kristo, ambaye hakumfufua, ikiwa wafu hawafufuliwi.
 
Hapo ndio huwa nafurahia uwepo wa biblia kuwa ni pekee kitabu kinachosakamwa duniani kote na wanaokitafuta kufutwa hawajawahi kufanikiwa badala yake ndio pekee kitabu kilichochapishwa nakala nyingi duniani na kutafsiriwa kwa lugha nyingi kuzidi vitabu vyote vilivyopata kuandikwa na hata vile vilivyosingiziwa kuwa eti vitabu vitakatifu. Mapinga kristo yako kazini lakini niwahakikishie, mwishowe kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri ya kuwa Yesu kristo ni Bwana na mwokozi wa ulimwengu wote, hakuna jina jingine walilopewa wanadamu ambalo kwa hilo wataokolewa bali ni YESU tu. Bwana Yestu kristo wa Nazareti Asifiwe.
 
Uturuki nchi ya kiislamu ryt.....ulitegemea uone kitabu gani sasa
Uturuki mwanzoni ilikuwani nchi ya Wakristo na Wakristo wa wakati wa Paul walitokea huko Antokia na ndio hao hao waturuki waliitwa Wagalatia jina lao la Zamani
 
Back
Top Bottom