Hakuna shida..... Hata wangegundua iliyoandikwa miaka 100 AD halafu ikaonekana haielezi kile kilichopo katika imani ya ukristo HAITAWEZA KUBADILISHA UKWELI.
'Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote,kwa maana hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo'(MDO 4:12)
Tena Yesu anazungumza mwenyewe akisema:
'Amwaminiye Mwana yuna uzima wa milele; asiyemwamini Mwana hataona uzima,bali ghadhabu ya Mungu inamkalia'(Yoh. 3:18)
Yesu alimwaga damu kama ishara ya ukombozi. Hakuna msamaha bila damu. Mungu ametuhurumia kwa kutuletea Yesu ili awe mpatanishi kati yetu na Mungu.
Huhitaji kutumia nguvu, ni kuamini tu......!