1500 years Old Bible found in Turkey

Yeah Ujumbe wa kunishawishi nikachomwe motoni na majini umenifikia na nimeukataa kwa asilimia isiyo na idadi mkuu
Hilo ndio muhimu. Ujumbe ukufikie. Usije kusema sijaambiwa.
 
Imepimwa vipi Na hao wataalam hebu tumwagie maneno
Kaka, mimi nimekuletea dondoo. Majibu mengine utafute mwenyewe. Elimu ni bure siku hizi. Kila kitu kipo mtandaoni. Mimi nimewafikishia ujumbe tu.
 
Maana ya biblia ni mkusanyiko wa vitabu, kwahiyo vitabu vingi vimekusanywa pamoja vikaitwa Biblia.......hayo mawazo yako mengine ni mawazo ya wanazuoni wa kiislamu ndo unaniletea hapa
Nimeziona dalili kuwa umenielewa. Nashukuru.
 
Alafu all in all mm naangali kilichoandikwa kwenye biblia full stop
Kama wewe unafata BIBLIA Kwani BIBLIA imesema kuwa BIBLIA ni maneno ya Mungu?? Au Imesema kuwa BIBLIA ni kitabu cha YESU?? Na kama haikusema basi iweje wewe UAMINI kuwa BIBLIA ni kitabu Cha MUNGU?? Na kama Imesema hivyo nitumie reference. Its as simple as that. Usijichanganye zaidi.
 
Hahahahaha shida yako wewe unataka kilichoandikwa kwenye Quran bas ndo kiandikwe kwenye biblia, biblia imeandika matendo makuu ya Mungu kuudhihirishia ulimwengu Yeye ni nani, sisi kwetu biblia ni muongozo wa kutuweka karibu na Mungu wetu
 
Nimeziona dalili kuwa umenielewa. Nashukuru.
Ila nakupa unabii wa biblia mkuu, dini yenu ya kiislamu itatawala dunia na wakristo watateswa na wengine kuuliwa kutokana Imani yao na huo ndo ule mwisho utakua umekaribia.....Ila nakuambia SHIA na SUNNI hawatakaa waje waelewane maana kila mmoja atasimamia msimamo wake na mtauana sana na nadhani hii umeshaiahuhudia huko uarabuni
 
duh kwa akili zako hapo unaona umeelewa mwenyewe[emoji3] [emoji3] [emoji3] upopoma hauishi
 
Hahahahaha shida yako wewe unataka kilichoandikwa kwenye Quran bas ndo kiandikwe kwenye biblia, biblia imeandika matendo makuu ya Mungu kuudhihirishia ulimwengu Yeye ni nani, sisi kwetu biblia ni muongozo wa kutuweka karibu na Mungu wetu
Kitaalam huwezi ukasema maandishi fulani ni AUTHENTIC bila proof. Huwezi ukajiamulia tu. Kama huna hizo reference then you simply cannot prove what you say.
 
Haitatokea hata siku moja Waislamu kuwauwa Wakristo kwa sababu ya Imani yao. Hiko kitu hakipo kwenye Uislamu. Hivi leo Arabuni Waislamu na Wakristo wanaushi pamoja tokea Enzi lakini husikii Kupigana wala Kuuwana.
Nchi za Kiislamu zinachafuliwa na Nchi za nje kisiasa. Hadi Macca kuna Wayahudi wanaishi peacefully na Waislamu tokea enzi za Mtume for generations hadi hivi leo. Hawakufukuzwa wala kuuliwa. Nyinyi munapandikizwa uovu juu ya Waislamu na munauamini.
 
Amos 5:21 - 23
21 Mimi nazichukia sikukuu zenu, nazidharau, nami sitapendezwa na makutano yenu ya dini.

22 Naam, ijapokuwa mnanitolea sadaka zenu za kuteketezwa na sadaka zenu za unga, sitazikubali; wala sitaziangalia sadaka zenu za amani, na za wanyama walionona.

23 Niondoleeni kelele za nyimbo zenu; kwa maana sitaki kuzisikia sauti za vinanda vyenu.

Hivi kama munafata maamrisho ya Biblia ni KWANINI munaimba KWAYA na kupiga VINANDA wakati BWANA kashasema hapendi kusikia hizo Sauti na Hapendi Mkusanyiko Wenu???
 
Inge kuwa wokovu ni rahisi kama haya mawazo uliyo nayo basi ulimwengu wote ungekuwa hauna dhambi. Na sema hivi kwani Bwana Yesu anaitwa Mwokozi wa Ulimwengu. Na huu msamaha wa dhambi unao tolewa na Mungu si msamaha holela una taratibu zake, lazima ufuate hizo taratibu ili usamehewe dhambi zako hamna option nyingine.

Nikuulize unajua mkristo ni yupi kabla ya kusema wakristo wanatukana dini yenu. Maana hata Yesu alisema sio wote wasemao Bwana Bwana wataingia ufalme wa mbinguni. Au hujasikia wale mbwa mwitu walio vaa ngozi ya kondoo.

Hili la kusema Wakristo hawasomi qouran ni kweli maana kitabu cha imani yao ni Biblia na hiyo qouran haiko kwenye Biblia. Mbona huwalaumu watu wa dini ya Uyahudi maana nao hawasomi si qouran tu hata hiyo injili au hata mabaniani. Na shindwa kuelewa unapo sema, "mnaheshimu dini ya kila mtu" hata nafsi yako inashindwa kukusuta kwa hii kauli. Pamoja na haya matukio yote duniani tunayo ya ona wakati huu. Huoni aibu kusema huu uongo hapa jukwaani? Katika hili la kuheshimu imani nyingine ni bora ukaisemea nafsi yako kuliko kuamua kusema uongo.

Na washawasha!



 
huyo msaidizi wa kweli atawambia yote ambayo yesu hakupata kuwambia,

hebu tudokezee mawili matatu ambayo roho mtakatifu aliwambia baada ya yesu kuondoka

Maneno Matakatifu ya Mungu yame tuambia, "Au hamjui ya kuwa miili yenu ni hekalu la Roho Mtakatifu?"

Mimi mwenyewe katika posts zangu hapa ninavyo tiririka/flow mpaka wakati mwengine huwa na jishangaa. Kwamba ni mimi huyu huyu au mwengine. Huu ndio usaidizi wa Roho Mtakatifu.
 

hivi uisilamu bila Ukristo umejifia? Mungu alisahau nini hadi amtume muham'mad na mafundisho dhaifu ayalete duniani? no hiyo ya kusema peponi kuna kungonoka, unapo swali kichwa chini makalio juu shetani anapuliza makalio, kumpopoa mawe shetani, ona na hii mtahangaika sana kutwa kucha kutetea pumba! naomba wenye mahaba na uisilamu mnijibu hapo kwanza...
 
Wewe unayeamini hadithi ndio unaujua ukweli?
 
Sawa ni biblia halisi ya waislam Wa utuluki
 
Wewe uwezi kuisoma biblia na ukaielewa,izo sio hadithi za mtume ,biblia INA usomaji wake usomi kama gazeti na haisomwi kwa mistali miwili ikakupa maana
 
Bible haisomwi kwa mstari mmoja mmoja kama hadithi zenu,you'll never understand
 
Yaani unaongea ova hujui nini kinaendelea huko arabuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…