- Thread starter
- #421
Hilo ndio muhimu. Ujumbe ukufikie. Usije kusema sijaambiwa.Yeah Ujumbe wa kunishawishi nikachomwe motoni na majini umenifikia na nimeukataa kwa asilimia isiyo na idadi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo ndio muhimu. Ujumbe ukufikie. Usije kusema sijaambiwa.Yeah Ujumbe wa kunishawishi nikachomwe motoni na majini umenifikia na nimeukataa kwa asilimia isiyo na idadi mkuu
Kaka, mimi nimekuletea dondoo. Majibu mengine utafute mwenyewe. Elimu ni bure siku hizi. Kila kitu kipo mtandaoni. Mimi nimewafikishia ujumbe tu.Imepimwa vipi Na hao wataalam hebu tumwagie maneno
Nimeziona dalili kuwa umenielewa. Nashukuru.Maana ya biblia ni mkusanyiko wa vitabu, kwahiyo vitabu vingi vimekusanywa pamoja vikaitwa Biblia.......hayo mawazo yako mengine ni mawazo ya wanazuoni wa kiislamu ndo unaniletea hapa
Kama wewe unafata BIBLIA Kwani BIBLIA imesema kuwa BIBLIA ni maneno ya Mungu?? Au Imesema kuwa BIBLIA ni kitabu cha YESU?? Na kama haikusema basi iweje wewe UAMINI kuwa BIBLIA ni kitabu Cha MUNGU?? Na kama Imesema hivyo nitumie reference. Its as simple as that. Usijichanganye zaidi.Alafu all in all mm naangali kilichoandikwa kwenye biblia full stop
Napo kupa majibu inabidi niwe makini maana sitaki kuchanganya Imani mbili kama wewe unavyochanganya Ukristo na UislamuUsijipotezee, kama huna jibu sema tu.
Hahahahaha shida yako wewe unataka kilichoandikwa kwenye Quran bas ndo kiandikwe kwenye biblia, biblia imeandika matendo makuu ya Mungu kuudhihirishia ulimwengu Yeye ni nani, sisi kwetu biblia ni muongozo wa kutuweka karibu na Mungu wetuKama wewe unafata BIBLIA Kwani BIBLIA imesema kuwa BIBLIA ni maneno ya Mungu?? Au Imesema kuwa BIBLIA ni kitabu cha YESU?? Na kama haikusema basi iweje wewe UAMINI kuwa BIBLIA ni kitabu Cha MUNGU?? Na kama Imesema hivyo nitumie reference. Its as simple as that. Usijichanganye zaidi.
Ila nakupa unabii wa biblia mkuu, dini yenu ya kiislamu itatawala dunia na wakristo watateswa na wengine kuuliwa kutokana Imani yao na huo ndo ule mwisho utakua umekaribia.....Ila nakuambia SHIA na SUNNI hawatakaa waje waelewane maana kila mmoja atasimamia msimamo wake na mtauana sana na nadhani hii umeshaiahuhudia huko uarabuniNimeziona dalili kuwa umenielewa. Nashukuru.
duh kwa akili zako hapo unaona umeelewa mwenyewe[emoji3] [emoji3] [emoji3] upopoma hauishiNani aliyekwambia yesu kafa na kafufuliwa? Mbona Biblia inakanusha wazi kabisa?? Soma
1 Corinthians 15:15;
Naam, na sisi tumeonekana kuwa mashahidi wa uongo wa Mungu; kwa maana tulimshuhudia Mungu ya kuwa alimfufua Kristo, ambaye hakumfufua, ikiwa wafu hawafufuliwi.
Kitaalam huwezi ukasema maandishi fulani ni AUTHENTIC bila proof. Huwezi ukajiamulia tu. Kama huna hizo reference then you simply cannot prove what you say.Hahahahaha shida yako wewe unataka kilichoandikwa kwenye Quran bas ndo kiandikwe kwenye biblia, biblia imeandika matendo makuu ya Mungu kuudhihirishia ulimwengu Yeye ni nani, sisi kwetu biblia ni muongozo wa kutuweka karibu na Mungu wetu
Haitatokea hata siku moja Waislamu kuwauwa Wakristo kwa sababu ya Imani yao. Hiko kitu hakipo kwenye Uislamu. Hivi leo Arabuni Waislamu na Wakristo wanaushi pamoja tokea Enzi lakini husikii Kupigana wala Kuuwana.Ila nakupa unabii wa biblia mkuu, dini yenu ya kiislamu itatawala dunia na wakristo watateswa na wengine kuuliwa kutokana Imani yao na huo ndo ule mwisho utakua umekaribia.....Ila nakuambia SHIA na SUNNI hawatakaa waje waelewane maana kila mmoja atasimamia msimamo wake na mtauana sana na nadhani hii umeshaiahuhudia huko uarabuni
Tupe dalili za 666?Hiyo ni dalili ya 666
Kwanza unatubia nini wakati Yesu ameshamwaga damu yake takatifu kukufutieni madhambi yenu wote?? Kwa mujibu wa itikadi yenu ya Crucifixion ni kuwa ukiwa umemkubali Yesu Kristo basi wewe umeokoka na Bwana amebeba dhambi zenu na nyinyi watu wa Peponi. Sasa unatubia nini wakati Dhambi zaje zimeshabebwa na Bwana??Au Damu ya Yesu imemwagika Bure??
Mimi sihangaiki na nyinyi hata kidogo na wala sipotezi muda wangu. Najifunza mambo mengi humu. Kitu kikubwa nachojifunza ni kiasi gani ndugu zetu wakristo sio kwamba hamuna idea ya dini yetu ya Kiislamu bali hata dini yenu hamuijui. Kingine zaidi your level of education na respect to other religion is very very low. Sisi waislamu huwezi kutusikia tumewatukana viongozi wenu au Mitume yenu. Tunaheshimu dini ya kila mtu hata kama ni Mpagani. Na nawashukuru kwa dhati kwa michango yenu hata kama umeongea upuuzi, ingawaje nitakwambia ukweli kuwa umeongea upuuzi lakini contribution yako counts.
huyo msaidizi wa kweli atawambia yote ambayo yesu hakupata kuwambia,
hebu tudokezee mawili matatu ambayo roho mtakatifu aliwambia baada ya yesu kuondoka
Biblia haikuandikwa immediately baada ya kuondoka kwa Yesu. Iliandikwa baada ya zaidi ya Karne 4 kupita. Hiyo Copy iliyopostiwa ni genuine copy inayosema sawa na mafundisho ya Quran tukufu.
Kwanini ndugu zetu wakristo munaukana ukweli. Hiyo Bible imepimwa na wataalam na imeonekana ni authentic. Lazima mujiulize hivi ni kwanini muna Bible aina nyingi? Hivi maneno ya Mungu yanabadilika yenyewe kutokana na wakati au kuna mtu anayewabadilishia na wakuwataka muamini wanachokiandika??
Wewe unayeamini hadithi ndio unaujua ukweli?Hapana hujalazimishwa. Ni wajibu wetu kuambizana ukweli ulivyo juu ya Mola. Kwani itakuja siku atatuuliza tulitoa mchango gani katika kuwazindua wenzetu kuhusu Yeye Angalau tuwe na majibu ya kusema kuwa tuliwafikishia ujumbe lakini wameukataa. Huu ni ushauri tu wa wewe kuchimbua na utafute ukweli wa imani yako lakini hulazimishwi.
Sawa ni biblia halisi ya waislam Wa utulukiUsiongee kwa Jazba bila ya kufikiria. Hiyo information iko mtandaoni. Obviously Sikutunga mimi. Fikiria na uiulize imani yako. Hiyo ni Biblia halisi na ina contradict na current Bible. Sasa ulitaka nisukuambie kuwa unafata imani potofu?? Hujui kwamba sisi wanaadamu tuna majukumu ya kuwaeleza ukweli wenzetu waliopotea?? Wewe leta hoja zako tu lakini ukweli ni lazima uzungumziwe.
Wewe uwezi kuisoma biblia na ukaielewa,izo sio hadithi za mtume ,biblia INA usomaji wake usomi kama gazeti na haisomwi kwa mistali miwili ikakupa maanaKwanini uamini Yesu amesulubiwa wakati Biblia inakuambia kuwa hakusulubiwa??
Ushahidi:
Wagalatia 3
1 Enyi Wagalatia msio na akili, ni nani aliyewaloga, ninyi ambao Yesu Kristo aliwekwa wazi mbele ya macho yenu ya kuwa amesulibiwa?
2 Nataka kujifunza neno hili moja kwenu. Je! Mlipokea Roho kwa matendo ya sheria, au kwa kusikia kunakotokana na imani?
3 Je! Mmekuwa wajinga namna hii? Baada ya kuanza katika Roho, mnataka kukamilishwa sasa katika mwili?
Bible haisomwi kwa mstari mmoja mmoja kama hadithi zenu,you'll never understandNani aliyekwambia yesu kafa na kafufuliwa? Mbona Biblia inakanusha wazi kabisa?? Soma
1 Corinthians 15:15;
Naam, na sisi tumeonekana kuwa mashahidi wa uongo wa Mungu; kwa maana tulimshuhudia Mungu ya kuwa alimfufua Kristo, ambaye hakumfufua, ikiwa wafu hawafufuliwi.
Yaani unaongea ova hujui nini kinaendelea huko arabuniHaitatokea hata siku moja Waislamu kuwauwa Wakristo kwa sababu ya Imani yao. Hiko kitu hakipo kwenye Uislamu. Hivi leo Arabuni Waislamu na Wakristo wanaushi pamoja tokea Enzi lakini husikii Kupigana wala Kuuwana.
Nchi za Kiislamu zinachafuliwa na Nchi za nje kisiasa. Hadi Macca kuna Wayahudi wanaishi peacefully na Waislamu tokea enzi za Mtume for generations hadi hivi leo. Hawakufukuzwa wala kuuliwa. Nyinyi munapandikizwa uovu juu ya Waislamu na munauamini.