1500 years Old Bible found in Turkey

1500 years Old Bible found in Turkey

Inge kuwa wokovu ni rahisi kama haya mawazo uliyo nayo basi ulimwengu wote ungekuwa hauna dhambi. Na sema hivi kwani Bwana Yesu anaitwa Mwokozi wa Ulimwengu. Na huu msamaha wa dhambi unao tolewa na Mungu si msamaha holela una taratibu zake, lazima ufuate hizo taratibu ili usamehewe dhambi zako hamna option nyingine.

Nikuulize unajua mkristo ni yupi kabla ya kusema wakristo wanatukana dini yenu. Maana hata Yesu alisema sio wote wasemao Bwana Bwana wataingia ufalme wa mbinguni. Au hujasikia wale mbwa mwitu walio vaa ngozi ya kondoo.

Hili la kusema Wakristo hawasomi qouran ni kweli maana kitabu cha imani yao ni Biblia na hiyo qouran haiko kwenye Biblia. Mbona huwalaumu watu wa dini ya Uyahudi maana nao hawasomi si qouran tu hata hiyo injili au hata mabaniani. Na shindwa kuelewa unapo sema, "mnaheshimu dini ya kila mtu" hata nafsi yako inashindwa kukusuta kwa hii kauli. Pamoja na haya matukio yote duniani tunayo ya ona wakati huu. Huoni aibu kusema huu uongo hapa jukwaani? Katika hili la kuheshimu imani nyingine ni bora ukaisemea nafsi yako kuliko kuamua kusema uongo.

Na washawasha!
Sijui unaishi duniani au dunia nyingine. Kama unaishi Duniani na ni mtu mzima mwenye akili hiyi timamu basi utaeewa kuwa ISLAM ina Dini ya Amani na ni Dini amvayo inaheshimu dini zote zingine. Ushahidi wa hivyo nimeshakupatia. Rudia kusoma statement yangu kwako tena kuhusiana na hilo. Mfano Mzuri nchini kwako, Waislamu ni zaidi ya 60% na wanaishi na Wakristo bega kwa bega, wameshawahi kuwafanyieni fujo kutokana na Imani yenu?? Kama uwezo wako wa kuelewa ni mdogo kwenye Biblia basi angalau maisha ya kawaida uyajue na watu unaoishi nao pia uwajue. Sio kila kitu upinge tu hata kama unaelewa ukweli wenyewe. Binaadamu umeumbwa na akili zako zitumie na usipelekeshwe na fikra za wengine.
 
Hiyo biblia ya kituruki imeandikwa na nani? Namaanisha aliyejumuisha vitabu, na mahali inapomuelezea Yesu aliyeandika Nani? Alikuwepo kipindi cha Yesu. Maana kwenye biblia ya kikristo wameandika kina mathayo, Marko, yohana na walikua mitume wa Yesu
 
Mathayo Nani?
John Nani??
Yohana nani??

Hao watu hawana Baba??? Toka lini mtu akawa identified kwa jina moja??
 
Unaendelea kuniuluza mimi maswali ya hiyo Bible. Wewe mwenye takufa ni aliyoandika. Miminnimekupa information, kwa kuwa imani yako ni ya Kikristo na jambo ambalo lahusu imani yako basi itafute huo ukweli. La kama hutaki basi acha kutafuta. Lakini usiulize maswali yasio kuwa na kichwa wala miguu.
 
Mkristo wa Tanzania ni Mkiristo ila wa Iraq si Mkristo ni halali kwao kuwawa na kufukiwa kwenye makaburi ya halaiki. Hili swali lina kuhusu wewe, je unaishi dunia hii hii au nyingine?

Na kushangaa kweli kweli, wewe ndio leo wa kunifundisha jinsi ya kuishi na ndugu zangu wa damu na marafiki zangu wa kweli ambao ni Waislamu. Wewe huyu BigBros!!! Labda naota kuhusu huu ushauri ninao upewa na wewe leo, si amini!!!!!!!!!!.

Na washawasha!

Sijui unaishi duniani au dunia nyingine. Kama unaishi Duniani na ni mtu mzima mwenye akili hiyi timamu basi utaeewa kuwa ISLAM ina Dini ya Amani na ni Dini amvayo inaheshimu dini zote zingine. Ushahidi wa hivyo nimeshakupatia. Rudia kusoma statement yangu kwako tena kuhusiana na hilo. Mfano Mzuri nchini kwako, Waislamu ni zaidi ya 60% na wanaishi na Wakristo bega kwa bega, wameshawahi kuwafanyieni fujo kutokana na Imani yenu?? Kama uwezo wako wa kuelewa ni mdogo kwenye Biblia basi angalau maisha ya kawaida uyajue na watu unaoishi nao pia uwajue. Sio kila kitu upinge tu hata kama unaelewa ukweli wenyewe. Binaadamu umeumbwa na akili zako zitumie na usipelekeshwe na fikra za wengine.
 
Unaendelea kuniuluza mimi maswali ya hiyo Bible. Wewe mwenye takufa ni aliyoandika. Miminnimekupa information, kwa kuwa imani yako ni ya Kikristo na jambo ambalo lahusu imani yako basi itafute huo ukweli. La kama hutaki basi acha kutafuta. Lakini usiulize maswali yasio kuwa na kichwa wala miguu.
Unaleta information za kuokoteza afu tena sisi tuanze kuhangaika kufatilia kwingine. tuambie aliyeandika hiyo biblia ni Nani? Na habari za kuhusu Yesu kwenye hiyo Biblia yako kaandika Nani? Habari yoyote kabla ukitaka kujua ukweli wake unaanzia kwa source ya habari. Sasa kwenye source tu hakueleweki maanake habari yote ya kutunga. Siku nyingine kabla hujaleta kitu jihakikishe unaelewa vizuri unacholeta sio unaulizwa unabakia kusema watu wafatilie
 
Mathayo Nani?
John Nani??
Yohana nani??

Hao watu hawana Baba??? Toka lini mtu akawa identified kwa jina moja??

Haya soma hapa:
Mark 1:

19. He (Jesus) went a little father on and saw two other brothers, James and John, the sons of Zebedee. They were in their boat getting their nets ready.

20. As soon as Jesus saw them, he called them; they left their father Zebedee in boat with the hired men and went with Jesus.

Kutoka kuleta hoja ya original bible umehamia kutafuta ubini wa hawa mitume wa injili. Kuhangaika kote huku ni ili upate kasoro ya Ukristo?

Au hii original bible ambayo details zake wanajua waturuki na wewe imesema hawana ubini?

Na washawasha!
 
Mkristo wa Tanzania ni Mkiristo ila wa Iraq si Mkristo ni halali kwao kuwawa na kufukiwa kwenye makaburi ya halaiki. Hili swali lina kuhusu wewe, je unaishi dunia hii hii au nyingine?

Na kushangaa kweli kweli, wewe ndio leo wa kunifundisha jinsi ya kuishi na ndugu zangu wa damu na marafiki zangu wa kweli ambao ni Waislamu. Wewe huyu BigBros!!! Labda naota kuhusu huu ushauri ninao upewa na wewe leo, si amini!!!!!!!!!!.

Na washawasha!
Huoti kaka. Uliyosema waislamu ni waovu ni wewe. Wamekuulia ndugu zako hata useme hivyo???? Unaingelea habari za Iraqi wewe nini unachojua kuhusu Iraq??? Zungumza jambo unalo lielewa wewe hapa. Waislamu wamekufanyia ouvu gani hata usemevkuwa na watu wabaya.
 
Unaleta information za kuokoteza afu tena sisi tuanze kuhangaika kufatilia kwingine. tuambie aliyeandika hiyo biblia ni Nani? Na habari za kuhusu Yesu kwenye hiyo Biblia yako kaandika Nani? Habari yoyote kabla ukitaka kujua ukweli wake unaanzia kwa source ya habari. Sasa kwenye source tu hakueleweki maanake habari yote ya kutunga. Siku nyingine kabla hujaleta kitu jihakikishe unaelewa vizuri unacholeta sio unaulizwa unabakia kusema watu wafatilie
Wewe huna akili. Usirudie kusema yake yake. Tumia uhuru wako wa kukaa kimya.
 
Haya soma hapa:
Mark 1:

19. He (Jesus) went a little father on and saw two other brothers, James and John, the sons of Zebedee. They were in their boat getting their nets ready.

20. As soon as Jesus saw them, he called them; they left their father Zebedee in boat with the hired men and went with Jesus.

Kutoka kuleta hoja ya original bible umehamia kutafuta ubini wa hawa mitume wa injili. Kuhangaika kote huku ni ili upate kasoro ya Ukristo?

Au hii original bible ambayo details zake wanajua waturuki na wewe imesema hawana ubini?

Na washawasha!
Tusipoteze muda katika upuuzi. Hukajibu swali. kitabu cha BIBLE kimeletwa na Mtume Gani?
 
Mara tu imeshakuwa upuuzi tena, ala, haya na kutakia kila heri wewe ambaye umejawa hikma ya dini yako.

Na washawasha!
 
Huoti kaka. Uliyosema waislamu ni waovu ni wewe. Wamekuulia ndugu zako hata useme hivyo???? Unaingelea habari za Iraqi wewe nini unachojua kuhusu Iraq??? Zungumza jambo unalo lielewa wewe hapa. Waislamu wamekufanyia ouvu gani hata useme kuwa na watu wabaya.

Neno duniani si ulianza kulitaja wewe? Ulikuwa una maanisha nini wakati una liandika? Au Iraq si duniani? Kwa elimu yangu chache hamna nikijuacho kuhusu Iraq. Wewe mwenye ilimu nyingi na mjuvi wa hali ya juu wa mambo tuambie basi kuhusu Iraq maana kila mmoja hapa kashuhudia umahiri wako katika kufafanua juu ya original bible. Uliyo tuletea kwa hiari na utashi wako mwenyewe.

Na washawasha!
 
Wakristo kweli nimeamini shida yenu sio kuujua ukweli juu ya dini.nyinyi munataka kufata kile kinachowafurahisha nafsi zenu tu.haya final uzeeni
Huwa nashangaa kitu kimoja, kwanini baadhi ya waislam ukiwemo wewe mmekuwa na agenda ya kuushambulia ukristo?, hivi hilo ndiyo kusudio la dini yenu, maana kila kukicha mnawaza ni jinsi gani mta deal na ukristo, wakati huo bado mnafanya maovu kinyume kabisa na dini yenu, ushauri wangu kwenu, acheni kwa maovu, njooni na clean hands then tutawasikiliza, maana mmezidi, wakristo wakristo, utafikiri uislamu ulianzishwa kwa ajili ya ku deal na wakristo, na siyo kuhubiri amani.
 
Ambayo imechakachuliwa?
aliye jaribu kuchakachua Biblia Takatifu ni muham'mad akashindwa..na kitabu chake hakikuwekwa maktaba sababu hakina Tbs..ref; Yesu anasema Ukifuzu utainda kuishi kama Malaika...muhammad anasema ukifuzu utaenda ngonoka mbele ya allah na mahulu.72 wenye makalio ft.40 kiuno kama nyigu na ku-update dhakar isisinyae [emoji15] [emoji38] [emoji38]
 
Mbona the oldest Quran imeonekana Uingereza? Dunia ina history kubwa. Huenda wakati wa Jesus Uturuki ilikuwa nchi ya kipagani. We never know. Bottom like kimeonekana uturuki. You see people tend to divert from the main concept and instead looking for excuse to deny the truth. The truth is only for your benefit. If you run away from it then at the end of the day you will loose and if you embrace it then it will save you.
Kuna kweli yako na kweli ya kweli..[emoji4]
 
John 16:7 New International Version (NIV)

7 But very truly I tell you, it is for your good that I am going away. Unless I go away, the Advocate will not come to you; but if I go, I will send him to you.

Ask who is the Advocate???

Jesus Prays to Be Glorified

17 After Jesus said this, he looked toward heaven and prayed:

“Father, the hour has come. Glorify your Son, that your Son may glorify you. 2 For you granted him authority over all people that he might give eternal life to all those you have given him. 3 Now this is eternal life: that they know you, the only true God, and Jesus Christ, whom you have sent. 4 I have brought you glory on earth by finishing the work you gave me to do.

The above clearly shows that Jesus was only a messager of God. He was sent down for a special purpose and did miracles upon permission of God. And clarify that God is ONE.

Hiyo ni Bible. Sio maneno yangu. Je imani yako na hayo maneno ya Bible yapo sawa??
[emoji15] [emoji15] nimeamini ashki majununi [emoji4] [emoji115] [emoji115]
 
Huwa nashangaa kitu kimoja, kwanini baadhi ya waislam ukiwemo wewe mmekuwa na agenda ya kuushambulia ukristo?, hivi hilo ndiyo kusudio la dini yenu, maana kila kukicha mnawaza ni jinsi gani mta deal na ukristo, wakati huo bado mnafanya maovu kinyume kabisa na dini yenu, ushauri wangu kwenu, acheni kwa maovu, njooni na clean hands then tutawasikiliza, maana mmezidi, wakristo wakristo, utafikiri uislamu ulianzishwa kwa ajili ya ku deal na wakristo, na siyo kuhubiri amani.
Hakuna muislamu anayeshambukiwa wakristo. Mimi nimeshakufahamisha sana humu jambo hilo. Sisi waislamu tuna haki kubwa sana na Yesu kwa kuwa ni Mtume wetu kama Mitume Mingine iliyopita. Nilikufahamisha vizuri tu hili jambo.

Tunapomzungumzia Yesu tunamzungumzia Kama Mtume wetu mtukufu. Ndio maana huwezi sikia mwislamu anamtukana Yesu hata siku moja. Sasa huwezu kutuzuia tusimzunguzie moja kati ya Mitume yetu.

Kwa kuwa Biblia inamzushia Yesu uongo uliokuwa wazi sisi wajib wetu kuwaeleza kuwa munasema uongo kuhusu Yesu. Na uongo huo huo unajionesha wazi kwenye Biblia. Sasa kosa letu kumtetea Mtume wetu na kukuambieni ukweli???

Soma hizo Chini;

John 16:7 - 8
7 Nevertheless I tell you the truth; It is expedient for you that I go away: for if I go not away, the Comforter will not come unto you; but if I depart, I will send him unto you.

Hapo Comforter ni NANI??

8 And when he is come, he will reprove the world of sin, and of righteousness, and of judgment

And When HE[emoji118] ni kiingereza inashiria mtu wa jinsia gani ? Mwanaume

9 Of sin, because they believe not on me;

Kwa sababu watu wake walimkataa Yesu kwa hiyo Ataletwa mtu/Comforter/he kuwaeleza kuhusu ujio wake yeye YESU

10 Of righteousness, because I go to my Father, and ye see me no more;

Mtu ambae righteous, Nitaenda kwa Baba yangu hamutaniona tena. Yaani huyo Comforter ni righteous na atakapokuwa kaja Yesu hatakuwepo.

11 Of judgment, because the prince of this world is judged.

Hapo ni kusema kila mtu lazima ahukumiwe.

12 I have yet many things to say unto you, but ye cannot bear them now.

13 Howbeit when he, the Spirit of truth, is come, he will guide you into all truth: for he shall not speak of himself; but whatsoever he shall hear, that shall he speak: and he will shew you things to come.

Huyo Spirit of Truth hata jizungumzia yeye mwenyewe, atawaongoza njia sahihi na ataongea kile anachoambiwa na Mungu.

14 He shall glorify me: for he shall receive of mine, and shall shew it unto you.

Na pia atanitukuza.

Huyo anayemzungumzia YESU ni mtu wala sio Roho kama munavyo ambiwa. Tafuta Biblia ya Armeic uthibitishe tafsiri ya Huyo Comforter in Jewish, ametajwa kwa Jina "AHMAD" ambae ni Muhammed.

Na Mtume Muhammed(SAW) pamoja na kumtukuza (GLORIFY) Yesu ameyafanya hayo yote anayezungumzia YESU. Na Quran jinsi ilivyo ukisoma kila sehemu Mtume anaambiwa SEMA , nayo inaandikwa hivyo hivyo SEMA so & so. Direct words from God, ndio maana Yesu kasema hatajisemea mwenyewe atasema kila anachoambiwa. Hiyo ndio maana yake.

Sasa Nakupa reference ya Quran:
Sura 61:6
And when Jesus son of Mary said
‘O Children of Israel!
Indeed I am the apostle of Allah to you,
to confirm what is before me of the Torah,
and to give the good news of an apostle
who will come after me,
whose name is Aḥmad.’
Yet when he brought them manifest proofs,
they said, ‘This is plain magic.’

Na hayo kweli ndiyo nyinyi munayosema. Munasema Muhammed Mchawi.

Sasa mimi nakuachia haya. Yafanyie kazi. Kama nimekosea niambie.
 
Hujakosea, kwa kuwa tunaelimishana, lakini binafsi nataka niishi imani ya kweli, na siyo dini, binafsi Yesu ndiye kiongozi wangu katika imani, waislam wengi wanampinga Yesu kuwa si Mungu kwa kuwa hawaelewi tafsiri ya Yesu kuwa ni Mungu.
 
Neno duniani si ulianza kulitaja wewe? Ulikuwa una maanisha nini wakati una liandika? Au Iraq si duniani? Kwa elimu yangu chache hamna nikijuacho kuhusu Iraq. Wewe mwenye ilimu nyingi na mjuvi wa hali ya juu wa mambo tuambie basi kuhusu Iraq maana kila mmoja hapa kashuhudia umahiri wako katika kufafanua juu ya original bible. Uliyo tuletea kwa hiari na utashi wako mwenyewe.

Na washawasha!
Unajua wewe unatoka sana nje ya maada. Wewe unazungmzia Iraq na nchi zingine na kuonyesha ouvu wa waislamu pasipo kuwa na Uovu huo. Ndiyo maana nimekwanbia kuwa wewe hujui chochote kuhusu Iraq na kama ungelijua basi usingeandika hivyo. Kwani wewe umeambiwa huko Iraq Waislamu wanawauwa wakrikristo kwa itikadi zao?? Mbona unaongea kama mtu ambaye umeishiwa ya kusema??
 
Neno duniani si ulianza kulitaja wewe? Ulikuwa una maanisha nini wakati una liandika? Au Iraq si duniani? Kwa elimu yangu chache hamna nikijuacho kuhusu Iraq. Wewe mwenye ilimu nyingi na mjuvi wa hali ya juu wa mambo tuambie basi kuhusu Iraq maana kila mmoja hapa kashuhudia umahiri wako katika kufafanua juu ya original bible. Uliyo tuletea kwa hiari na utashi wako mwenyewe.

Na washawasha!
Hizo reference nimekutumia uzifanyie kazi;

Back
Top Bottom