Yiyu Sheping
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 1,720
- 850
Kumbe hii original bible mnayoipigia chapuo hapa Injili kama ilivyo andikwa na Mt Mark ina chapters zaidi ya 16. Achaweee!!! sikulijua hilo kweli hii ni original.
Na washawasha!
Na washawasha!
marco nae alikuwa mwanafunzi wa yesu.?
Aliyaandika hayo akiwa wapi.
Je wajua kwamba hata majina ya wanafunzi wa yesu hayamatch kutoka kwa mwandishi mmoja hadi mwingine?,
kwanini injili ya marco ilikatizwa njiani,yaani iliishia sura ya 16,kabla baadae haijaongezwa aya miaka ya karibuni.
Kwanini unadhani kuna,"the hidden gospel of marco"?