1500 years Old Bible found in Turkey

1500 years Old Bible found in Turkey

haya na wewe nenda Nigeria ukachukue unabii na utume uje kujaza kanisa maana mungu wenu anmuhi ABUJA

wenzio waumini wakizikumbuka hizo neema za kungonoka peponi mbele ya Allah machozi ya Furaha yana mwagika na yakisindikizwa na takbrrr kunwa....wewe muislam dirisha Dogo unaleta uzwazwa wa kwa mtogole....
 
haya mtume na Nabii endelea kupiga pesa maana mungu wako anaeishi nigeria ameshakubariki
 
Yesu hakuteswa, alioa na kuzaa, mke wake alifahamika kama Maria Magdalena, hakuwahi kusema popote kuwa ni Mwana wa Mungu, alikuwa mweusi tii...

..kama ambavyo Mungai(r.I.p) alitaka kuifanya elimu ndivyo walivyogeuza na kupindisha biblia ila wenye kufuatilia tunazo biblia orijino, zenye injili ya Maria Magdalena, injili ya Yuda Eskalioti(yule waliyetudanganya kuwa alimuuza Yesu kwa euro sijui vipande vya mini)
mapepo yakisikia Jina la YESU linatajwa yanahangaika sana!
 
Big bros...HATA UFANYE NINI Ndg....zetu WAKIRISTO Hawatakubali Ukweli kuhusu Utume wa MUHAMAD S.A.W...watabaki kutukana Matusi....Mwenyeezi MUNGU Alishaeleza haya ndani QURAN ...Mapema...hata HOJA GANI ZA WAZI...MIUJIZA YA WAZI... ZITOLEWE Ktk dunia hii..kuhusu MUHAMAD...hamna atakaye kubali...BIG BROS...Umetupa darasa juu ya INJILI YA BARNABA...Niliisikia zamani sana...Copy..yake kuwa ilifichwa Vatican kwa papa...Ili ukweli usijulikane kuhusu UISLAM....Hivyo BIG BROS Ujumbe na Juhudi zako Kuwakumbusha Hawa ndg zetu Zimeonekana...Mwenye Akili na Afikiri Amuombe MUNGU Atamuongoza kwenye KWELI YA MUNGU....ANAENDELEZA UBISHI NA USHABIKI ...KESHO SIKU YA HAKI YA HUKUMU YA MUNGU ATAENDA KUONA UKWELI JUU.... UISLAM NA MUHAMAD...S.A.W...YESU mwana wa Mariamu...
NA KESHO NI SIKU YA MAJUTO NA HASARA YA MILELE....KWA WOTE WALIOKATAA HAKI NA KWELI YA MUNGU...KWA MAPENZI YA NAFSI ZAO...
 
Ukweli ni vipi Quran iliandikwa Karne ya tano na bibilia iliyopatikana pia imeandikwa karne hiyo hiyo tunaweza kukubali hiyo ni Quran na sio Bibilia. Mayan hawamini Bibilia lakini kalenda yao inaonaonyesha kuwapo kwa Yesu na kusulubiwa kwake kwa ujio wa msalaba na pia hiyo ya mayani ipo kwa karne BC
 
Kuna miujiza gani mikubwa ambayo imeshawahi kufanywa hapa duniani zaidi ya iliyofanywa na Bwana Yesu?!!!

Mlisema Bwana Mtume Muhamad (S.A.W) kuja kwake hapa duniani kulitabiriwa katika Injili na Bwana Yesu. Tumeona hapa kuwa aliye tabiriwa na akaja na kushudiwa ni Roho Mtakatifu.

Sasa mtuambie Bwana Mtume (S.A.W) katika hii Biblia alitabiriwa wapi? Kwenya Agano la Kale au Jipya? Tunajua umahiri wenu wa kuinukuu mistari ya Biblia wakati wa kuipotasha sasa ni muhimu mkatuoneshe huo utabiri kwa nukuu za mistari ya hii Biblia.

Na washawasha!

(QUOTE="wirewizard, post: 18771751, member: 208023"]Big bros...HATA UFANYE NINI Ndg....zetu WAKIRISTO Hawatakubali Ukweli kuhusu Utume wa MUHAMAD S.A.W...watabaki kutukana Matusi....Mwenyeezi MUNGU Alishaeleza haya ndani QURAN ...Mapema...hata HOJA GANI ZA WAZI...MIUJIZA YA WAZI... ZITOLEWE Ktk dunia hii..kuhusu MUHAMAD...hamna atakaye kubali...BIG BROS...Umetupa darasa juu ya INJILI YA BARNABA...Niliisikia zamani sana...Copy..yake kuwa ilifichwa Vatican kwa papa...Ili ukweli usijulikane kuhusu UISLAM....Hivyo BIG BROS Ujumbe na Juhudi zako Kuwakumbusha Hawa ndg zetu Zimeonekana...Mwenye Akili na Afikiri Amuombe MUNGU Atamuongoza kwenye KWELI YA MUNGU....ANAENDELEZA UBISHI NA USHABIKI ...KESHO SIKU YA HAKI YA HUKUMU YA MUNGU ATAENDA KUONA UKWELI JUU.... UISLAM NA MUHAMAD...S.A.W...YESU mwana wa Mariamu...
NA KESHO NI SIKU YA MAJUTO NA HASARA YA MILELE....KWA WOTE WALIOKATAA HAKI NA KWELI YA MUNGU...KWA MAPENZI YA NAFSI ZAO...[/QUOTE]
 
biblia ni mkusanyiko wa vitabu vingi walivoandika manabii wa kale kwa uvuvio wa Roho wa Mungu..mfano kuzaliwa kwa YESU KRISTO kulitabiliwa na nabii isaya zaidi ya miaka mia sita kabla ya YESU kuzaliwa..,vile vile hata mateso ,kufa na kufufuka vyote vilikuepo tayari vitabuni kabla hata ya yeye kuja..
kumbukeni baada ya kufufuka kwake aliwatokea watu wawili walioku wanatoka yerusalem..wakiskitika cuz walijua yeye ndiye atakae komboa israel.. lakini wakuu wa dini wakamwua..
mnakumbuka aliwaambia nini?
''watu wenye mioyo migumu msioelewa..je..! haikumpasa KRISTO kupata mateso na kuingia katika utukufu?''
ukisoma pale mbele bible inasema akawaelezea toka torati na manabii..
so hayo mambo ni halisi
hio bible inayopinga ukweli kuhusu hilo jambo kwakweli
huyo mwandishi atalaaniwa
 
Waislamu hatupingi agano la kale. Kwani mafundisho yake yako sambamba kabisa na Uislamu. Shida ni agano jipya. Ambayo ndiyo tunaiita INJIL, kitabu cha Yesu. Mkorogano wote upo hapo.
Timing ya uislamu na agano jipya vinapishana mbali sana.
 
Huoti kaka. Uliyosema waislamu ni waovu ni wewe. Wamekuulia ndugu zako hata useme hivyo???? Unaingelea habari za Iraqi wewe nini unachojua kuhusu Iraq??? Zungumza jambo unalo lielewa wewe hapa. Waislamu wamekufanyia ouvu gani hata usemevkuwa na watu wabaya.
kuna post umeandika mko 60pc na ukauliza ni lini mmetufanyia ubaya.kwanza hizo takwimu sijui umepata wapi.Pia umesahau makanisa yalichomwa moto miaka kama mitano eti ubishi wa watoto mwishoe kitabu chenu kikakojolewa nafikiri hivyo,mijitu mizima ikaandamana na kuchoma moto makanisa wakati hawajui kinachoendelea na vitu vya kumalizia sheik. Mungu apiganiwi ila ndio muumba mbingu na nchi.
 
Biblia haikuandikwa immediately baada ya kuondoka kwa Yesu. Iliandikwa baada ya zaidi ya Karne 4 kupita. Hiyo Copy iliyopostiwa ni genuine copy inayosema sawa na mafundisho ya Quran tukufu.

Kwanini ndugu zetu wakristo munaukana ukweli. Hiyo Bible imepimwa na wataalam na imeonekana ni authentic. Lazima mujiulize hivi ni kwanini muna Bible aina nyingi? Hivi maneno ya Mungu yanabadilika yenyewe kutokana na wakati au kuna mtu anayewabadilishia na wakuwataka muamini wanachokiandika??
Unataka kuniambia yohana na wale mitume waliishi kwa miaka mia nne
 
Agent at work....
 
kuna post umeandika mko 60pc na ukauliza ni lini mmetufanyia ubaya.kwanza hizo takwimu sijui umepata wapi.Pia umesahau makanisa yalichomwa moto miaka kama mitano eti ubishi wa watoto mwishoe kitabu chenu kikakojolewa nafikiri hivyo,mijitu mizima ikaandamana na kuchoma moto makanisa wakati hawajui kinachoendelea na vitu vya kumalizia sheik. Mungu apiganiwi ila ndio muumba mbingu na nchi.
Miaka yote munaishi na Waislamu lakini hamuelewi kuwa waislamu ni watu wa amani kabisa na hawakuingilii kwenye jambo lako lolote isipokuwa utakapowaingilia katika mambo yao utakuwa unatafuta ugomvi. Sasa ukishatafuta ugomvi nao wanatokea watu wazuri na watu ambao wanataka kuchukua advantage ya situation. Isitoshe hiyo incident ni moja tu tokea wewe ufumbue macho yako na kuona dunia. Je incident moja imekuwezesha ku generalise na kufanya judgement kama hiyo??? Au unataka kulazimisha ushahidi wa lazima ku prove point yako????
 
Unataka kuniambia yohana na wale mitume waliishi kwa miaka mia nne
Kina Yohana walikuwa na Manuscript. Sio BIBLE. Una maanisha YESU anaijua kitu kinachoitwa BIBLE?? Au unafikiri mfano leo YESU aje na umuulize umetuletea kitabu gani atakuambia BIBLE??? Yesu haitambui BIBLE na Wala hajakileta hapa Duniani. Sasa BIBLE ni kitabu cha dini gani? Na nani aliyeileta. Manake Yesu hakuleta hiyo Dini Wala BIBLE. Kama unanibishia nipatie reference ndani ya BIBLE yako ambapo Yesu ananukuliwa kusema BIBLE ni kitabu cha Mungu na UKRISTO ndio dini yenu. Kama huna hiyo reference basi itakuwa humfuati YESU bali unapotoshwa na watu kwa wewe kujifikiria kuwa unamfuata Yesu kumbe UKRISTO sio dini aliyeleta Yesu.
 
Mpinga Kristo yuko pale pale hata Yesu Alipo fufuka waliona waseme kwa wanafunzi wake wamemuiba,kwa hiyo utaona kuwa hata hiyo bible ya 1500 adui in yule yule hadi Leo lakini hatashinda kamwe,hats zibadilishwe bible mala 1000 sisi tunajua baba wa uongo yuko kazini muda wote.
 
Huo ukweli, lakini Unajue kuna vipengele kwenye Bible kama usemavyo vimewachwa bila ya kubadilishwa kwa kuwa wewe ufikirie hivyo ili uendelee kupotea na hata ukweli ukikujia ushindwe kuchomoka kwa kuzingatia kuwa uliambiwa kuwa maadui wa Yesu wapo. Hiyo statement haipo VALID kwa Bible kwa sababu BIBLE ni corrupted.
 
Miaka yote munaishi na Waislamu lakini hamuelewi kuwa waislamu ni watu wa amani kabisa na hawakuingilii kwenye jambo lako lolote isipokuwa utakapowaingilia katika mambo yao utakuwa unatafuta ugomvi. Sasa ukishatafuta ugomvi nao wanatokea watu wazuri na watu ambao wanataka kuchukua advantage ya situation. Isitoshe hiyo incident ni moja tu tokea wewe ufumbue macho yako na kuona dunia. Je incident moja imekuwezesha ku generalise na kufanya judgement kama hiyo??? Au unataka kulazimisha ushahidi wa lazima ku prove point yako????
Mwanzilishi wenu alikuwa mtata, sasa wafuasi wake ukiwamo na wewe lazima iwe hivyo kama utafuata sunnah ya ....
 
Wakristo kweli nimeamini shida yenu sio kuujua ukweli juu ya dini.nyinyi munataka kufata kile kinachowafurahisha nafsi zenu tu.haya final uzeeni
It is equally true that some Moslems do not believe that Mohammed abrogated the Qur'an.
 
Mwanzilishi wenu alikuwa mtata, sasa wafuasi wake ukiwamo na wewe lazima iwe hivyo kama utafuata sunnah ya ....
Usizungumze kitu kama huna historia ya kutosha. Unajua Waislamu walikuwa wanalazimishwa kula nyama ya Nguruwe?? Hadi hapo mwinyi alivyoshika madaraka ndio akasuluhisha hilo jambo na kusema rukhsa kila mmoja ale atakacho. Sasa huo si ulikuwa uchochezi wa Imani? Je uliwahi wasikia Waislamu kufanya fujo kwa hilo??
 
Back
Top Bottom