masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Mpaka wewe usiye na mbele wala nyuma kiteknologia, ukaamini ya kuhadithiwa , inaashiria ulivyo rahisi kurubunika.Biblia haikuandikwa immediately baada ya kuondoka kwa Yesu. Iliandikwa baada ya zaidi ya Karne 4 kupita. Hiyo Copy iliyopostiwa ni genuine copy inayosema sawa na mafundisho ya Quran tukufu.
Kwanini ndugu zetu wakristo munaukana ukweli. Hiyo Bible imepimwa na wataalam na imeonekana ni authentic. Lazima mujiulize hivi ni kwanini muna Bible aina nyingi? Hivi maneno ya Mungu yanabadilika yenyewe kutokana na wakati au kuna mtu anayewabadilishia na wakuwataka muamini wanachokiandika??
Yesu hakuteswa, alioa na kuzaa, mke wake alifahamika kama Maria Magdalena, hakuwahi kusema popote kuwa ni Mwana wa Mungu, alikuwa mweusi tii...
..kama ambavyo Mungai(r.I.p) alitaka kuifanya elimu ndivyo walivyogeuza na kupindisha biblia ila wenye kufuatilia tunazo biblia orijino, zenye injili ya Maria Magdalena, injili ya Yuda Eskalioti(yule waliyetudanganya kuwa alimuuza Yesu kwa euro sijui vipande vya mini)
Hapana hujalazimishwa. Ni wajibu wetu kuambizana ukweli ulivyo juu ya Mola. Kwani itakuja siku atatuuliza tulitoa mchango gani katika kuwazindua wenzetu kuhusu Yeye Angalau tuwe na majibu ya kusema kuwa tuliwafikishia ujumbe lakini wameukataa. Huu ni ushauri tu wa wewe kuchimbua na utafute ukweli wa imani yako lakini hulazimishwi.Fuata yako mkuu. Amini uaminivyo mkuu. Kila mtu na imani yake.
Mbona the oldest Quran imeonekana Uingereza? Dunia ina history kubwa. Huenda wakati wa Jesus Uturuki ilikuwa nchi ya kipagani. We never know. Bottom like kimeonekana uturuki. You see people tend to divert from the main concept and instead looking for excuse to deny the truth. The truth is only for your benefit. If you run away from it then at the end of the day you will loose and if you embrace it then it will save you.Uturuki nchi ya kiislamu ryt.....ulitegemea uone kitabu gani sasa
Hujalazimishwa kufuata chochote. Huu ni ujumbe mzuri ambao kama ukiuzingatia huenda ukapata mwanga wa kumjua mola wako wa kweli. Mpaka taarifa hiyo imekufikia basi huenda Mola wako wa kweli anataka umgeukie yeye na umtafute. Ni wajibu wako kuiuliza imani yako. Inakuwaje kuna maagizo tofauti ndani ya bible? Yesu ni yule yule, Mussa ni yule yule, inakuwaje kila toleo kitabu kinabadilika?Tutajuaje imeandaliwa na mpinga Kristo. Hebu tuache siye na imani zetu. Fuata imani yako. Kwa hili hatuhitaji ushauri wako[emoji57] [emoji57] [emoji57]
John 16:7 New International Version (NIV)Mpaka wewe usiye na mbele wala nyuma kiteknologia, ukaamini ya kuhadithiwa , inaashiria ulivyo rahisi kurubunika.
SI KWELI.BIBLIA ILIANZA KUANDIKWA MIAKA 1513 Kabla ya Yesu kuzaliwa.Kitabu cha Injili ya Mathayo Iliandikwa mwaka 41 AD,yaani miaka 8 baada ya Yesu kufufuka.Kitabu cha mwisho Kiliandikwa mwaka wa 98 AD.Biblia haikuandikwa immediately baada ya kuondoka kwa Yesu. Iliandikwa baada ya zaidi ya Karne 4 kupita. Hiyo Copy iliyopostiwa ni genuine copy inayosema sawa na mafundisho ya Quran tukufu.
Kwanini ndugu zetu wakristo munaukana ukweli. Hiyo Bible imepimwa na wataalam na imeonekana ni authentic. Lazima mujiulize hivi ni kwanini muna Bible aina nyingi? Hivi maneno ya Mungu yanabadilika yenyewe kutokana na wakati au kuna mtu anayewabadilishia na wakuwataka muamini wanachokiandika??
Haya bas poa, mkweli weweMbona the oldest Quran imeonekana Uingereza? Dunia ina history kubwa. Huenda wakati wa Jesus Uturuki ilikuwa nchi ya kipagani. We never know. Bottom like kimeonekana uturuki. You see people tend to divert from the main concept and instead looking for excuse to deny the truth. The truth is only for your benefit. If you run away from it then at the end of the day you will loose and if you embrace it then it will save you.
Mpuuzi wewe, umeanzisha uzi kwa malengo ya kuingiza chokochoko kama hizi.Biblia haikuandikwa immediately baada ya kuondoka kwa Yesu. Iliandikwa baada ya zaidi ya Karne 4 kupita. Hiyo Copy iliyopostiwa ni genuine copy inayosema sawa na mafundisho ya Quran tukufu.
Kwanini ndugu zetu wakristo munaukana ukweli. Hiyo Bible imepimwa na wataalam na imeonekana ni authentic. Lazima mujiulize hivi ni kwanini muna Bible aina nyingi? Hivi maneno ya Mungu yanabadilika yenyewe kutokana na wakati au kuna mtu anayewabadilishia na wakuwataka muamini wanachokiandika??
Yesu hakusulubiwa, hajafariki, na wala hakuzikwa.he was crusifised, he died and after 3 days risen among ded,
ALISULUBIWA
AKAFA
AKAZIKWA
SIKU YA 3 AKAFUFUKA kati ya WAFU..
HII NI AMINA NA KWELI.
Usiongee kwa Jazba bila ya kufikiria. Hiyo information iko mtandaoni. Obviously Sikutunga mimi. Fikiria na uiulize imani yako. Hiyo ni Biblia halisi na ina contradict na current Bible. Sasa ulitaka nisukuambie kuwa unafata imani potofu?? Hujui kwamba sisi wanaadamu tuna majukumu ya kuwaeleza ukweli wenzetu waliopotea?? Wewe leta hoja zako tu lakini ukweli ni lazima uzungumziwe.Mpuuzi wewe, umeanzisha uzi kwa malengo ya kuingiza chokochoko kama hizi.
Who wrote that Bible and who found it?
Tupe ushahidi wa kuwa Yesu amekuonya na watu kama sisi tunayekuzindua na udanganyifu munaofanyiwa na maaskofu wenu kwa kutumia Biblia hiyo hiyo.Yesu alituonya mapemaaaa.. so wakristo wenzangu kuweni na amani..
Mti wenye matunda ndio hupigwa mawe..
Kwaio barua za paulo zote aliandika nani kama sio yeye?okey walioeandika injili zote unajua walikuwa wanaishi pia na Yesu na pia baadhi ni kizazi kimoja tuu ambao wanafahamu kila kitu.Biblia haikuandikwa immediately baada ya kuondoka kwa Yesu. Iliandikwa baada ya zaidi ya Karne 4 kupita. Hiyo Copy iliyopostiwa ni genuine copy inayosema sawa na mafundisho ya Quran tukufu.
Kwanini ndugu zetu wakristo munaukana ukweli. Hiyo Bible imepimwa na wataalam na imeonekana ni authentic. Lazima mujiulize hivi ni kwanini muna Bible aina nyingi? Hivi maneno ya Mungu yanabadilika yenyewe kutokana na wakati au kuna mtu anayewabadilishia na wakuwataka muamini wanachokiandika??
Kwanini uamini Yesu amesulubiwa wakati Biblia inakuambia kuwa hakusulubiwa??Maana nib1500 years old ambayo ina maana miaka ya karne ya 5 yaani 500 AD.
Sasa jiulize yesu aliishi 500 years before that .na ilikiwa written katika biblia kuwa alisulubiwa sasa inakuaje mtu aje abadilishe.
Mfano mzur nyerere amefariki london na kuzikwa butiama baada ya miaka mia tano 500 wanaibuka watu wanasema alikufa butiama na kuzikwa london
Uovu ni wa binaadamu, sio DINI. Lazima uweze kutenganisha kati ya hivyo viwili.Kweli ujinga na unafiki ni shida wakristo na waislam na wapagani wa sasa dini yetu ni moja tu jina lake ni UOVU kwa sababu tunafanana katika uovu ni muisilamu na mkristo lakini mwizi ni muisilamu na mkristo lakini tapeli ni muisilamu na mkristo lakini kahaba ni muisilamu na mkristo lakini fisadi ni muisilamu na mkristo lakini shoga for now muisilamu na mkristo ni sawa tu wote dugu moja OVU OVU tu akuna kitu hapo
Ni wazi kuwa wanaogopa kuuliza maswali IMANI yao. Hawatakiwi kuogopa, kwani ni bora wajue ukweli wakati bado wapo hai kushinda kufa na itikadi potofu kwani hasara ni kubwa mno.Unalo jiuliza nimejiuliza sana, hii kitu ngumu na nzito mkuuu