1500 years Old Bible found in Turkey

Acha Uzushi wewe, usidanganye watu soma kuanzia 1Kor 15:12-28 uelewe nini mtume paulo alikuwa anasema. Ukitumiwa na shetani utaaminisha watu kwenye hako kamstari na tafsiri yako ovu kuupinga ufufu wa Kristo Yesu. Yesu alifufuka na mitume wake walimuona Galilaya kama alivyokuwa amewaambia. Tomaso alimgusa mwili walke hata makovu ya mikuki waliyomchoma. MPOKEE YESU AWE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKO UACHANA NA HUU UZUSHU WA KISHETANI UNAOTAKA KUWAPANDIKIZA WATU. YESU KRISTO NI MWANA WA MUNGU, NI MUNGU WALA SIO MTUME. KAMA UNA MTUME AITWAYE YESU BASI SIE HUYO YESU KRISTO WA NAZARETH AMBAYE JINA LINGINE MUNGU BABA YAKE ALIMUITA EMANUEL YAANI MUNGU PAMOJA NASI. NA MUNGU TUNAYEMUONGELEA HAPA JINA LAKE NI JEHOVA. JEHOVA PEKEE YAKE NDIO MUNGU MWENYE MWANAE, WENGINE WOTE; DAGONI, ALLAH, N.K HAWANA MUNGU NA WALA HAWANA UHUSIANO NA YESU. BWANA YESU ASIFIWE, SEMA AMEN.
 
1 Kor 15:12 ukisoma kuanzia hapo ndipo utaelewa vzr huo mstari wa 15

Inazungumzia Ufufuo na kiyama ya wafu, wabishi hawakuanza leo hata wakati huo walikuwepo na hapo Paulo anawafundisha....

Ukisema hakuna kiyama ya wafu basi kristo hakufufuka na kama Kristo hakufufuka basi kuhubiri kwetu ni bure na hakuna maana na itakua bado mngalimo na dhambi zenu....

Mstari wa 20 ....Lakini sasa Kristo amefufuka katika wafu limbuko lao waliolala.
 
Unaamini Uzushi tu. Hata Biblia inakuambia.

1 Corinthians 15:14-19


14 tena kama Kristo hakufufuka, basi, kuhubiri kwetu ni bure na imani yenu ni bure.

15 Naam, na sisi tumeonekana kuwa mashahidi wa uongo wa Mungu; kwa maana tulimshuhudia Mungu ya kuwa alimfufua Kristo, ambaye hakumfufua, ikiwa wafu hawafufuliwi.

16 Maana kama wafu hawafufuliwi, Kristo naye hakufufuka.

17 Na kama Kristo hakufufuka, imani yenu ni bure; mngalimo katika dhambi zenu.

18 Na hapo wao nao waliolala katika Kristo wamepotea.

19 Kama katika maisha haya tu tumemtumaini Kristo, sisi tu maskini kuliko watu wote.

Tafakari na utafute ukweli wa Imani yako.
 
Fala sana wewe jini.sasa endelea kusoma hadi mwisho sio unaquote mstar.
maana huo mstari unaeleze juu kuwa kristo kama hajafufuka imani inavochukuliwa lakin baadae ameelezeankuwa alifufuka
 
Yaan nyie waabudu kaaba ambayo haijulikan hata kwa abraham mnaniacha hoi
 
Tunashukuru kwa elimu hiyo lakini hao wote hawakuandika Biblia. Shida ni kwamba munachanganya kati ya Bible na Manuscripts. Hao wameandika Manuscripts. Bible ni compilations wa baadhi wa hizo Manuscripts. Bible imekuwa composed zaidi ya 400 years after Jesus disappearence. Aliye Compile Bible ni watu wa kawaida tu na hawana utukufu wa aina yoyote.

Nipe ushahidi wapi Yesu kasema Biblia ni kitabu cha Mungu. Yesu haijui Biblia, Yesu aitambua Injili.
 
Unaona umeleta boonge la solid evidence?! rudi darasani kajifunze, huwez kuelimika kupitia google, google ni sawa na maktaba na kama elimu ingekuwa inapatkana maktaba kusingekua na haja ya kujenga vyuo na kuajiri walimu! na nikukumbushe tu kuwa google inaendana sanjari na mabadliko ya technolojia, so kama bible imeweza kuchakachuliwa faham kuwa hata google imekua feeded na na hicho kilchochakachuliwa katika biblia
 
Kaka, hatuisakami Biblia. Na wala Biblia kuprintiwa vitabu vingi kuliko vyote duniani haimaanishi kuwa haina kasoro.

Hivi uthibitisho wa kuwa Imani zenu Wakristo haziendani na mafundisho ya Biblia nimekupeni kutoka kwenye Biblia yenu wenyewe. Sijazusha kitu wala kusema uongo wa jambo lolote. Iweje unishutumu kwa shutuma za uongo?? Au kwakua nasema kweli???

Kwa nyongeza zaidi Yesu hakuletwa kwa ajili ya Ulimwengu wote. Unachokiamini ni potofu, ni fikra munazopandikizwa kanisani na fikra za uongo. Kwani Yesu mwenye anakwambia Katika Biblia ya kuwa yeye ameletwa kwa ajili ya wana Waisraili TU. Iweje wewe ufikirie Yesu kaletwa kwa ajili ya Ulimwengu wote??

Mathews 15:24

Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.
 
Uturuki mwanzoni ilikuwani nchi ya Wakristo na Wakristo wa wakati wa Paul walitokea huko Antokia na ndio hao hao waturuki waliitwa Wagalatia jina lao la Zamani
Asante ndugu yangu.
 
Hii mistari yote uliyoandika hapa ujumbe wake ni huu, Ukristo usingekuwa na maana yeyote bila ya Yesu kufufuka. Kitu kinacho utofautisha ukristo na wengine ni kile kitendo cha Bwana Yesu kufufuka.

Nipe muda nitakuletea mistari ya Biblia ikionesha askari waliolinda kaburi la Yesu na wakakutana na mshikemshike wa Yesu kufufuka, na baadaye kupewa fedha ili kueneza uongo kwamba Yesu hakufufuka bali wanafunzi wake waliuiaba mwili wake pale kaburi. Mpaka leo hii huo uongo uko na unaenezwa na wayahudi. Hiyo Biblia itakuwa imetengenezwa na hao wanaoeneza huu uongo.

Hata kwa mfano ni kisikia BigBros umevuta kitu kidogo kuleta hili bandiko hapa, wala sitashangaa maana hutakuwa wa kwanza,wenzako walizila fedha hizi miaka 2000 iliyopita.


Na washawasha!


 
Wewe usituletee uongo wako hapa. Tupe ushahidi wa kuwa Yesu amesema YEYE MUNGU. Tupatie ushahidi wa maneno yako unayozungumza. Usizungumze kama upo kanisani unahubiria vipofu na viziwi. Tupe ushahidi wa kila neno usemalo. Mimi nakupatia ushahidi wa kila nisemalo ndani ya Biblia yako. Nyinyi ndio wenye kudanganya waumini wenu kanisani. Munawapotosha na ukweli. Adhabu yenu kwa Mungu ni kali sana. Munamzushia Yesu kusulubiwa, Kufa na Kufufuka pasipo na ushahidi wowote. Unamzushia Yesu Mungu wakati hakuna hata sehemu moja kwenye Biblia Yesu amesema MIMI MUNGU au NIABUDUNI?? Musicheze na dini kwani hatma yake ni mbaya mno.
 
Kuna wakati tuliambiwa lugha yake ni kiarabu tu, sasa hata za kiswahili ziko.

Na washawasha!


Quran ni ile ile tokea wakati wa Mtume Muhammed(Rehma na Amani zimfikie) hadi hivi leo. Neno kwa neno. Kitabu ni hicho hicho kimoja. Sikiliza hiyo link ya BBC


Maneno ya Mungu hayabadiliki. Lazima mutafakari na muulize maswali wahubiri wenu.
 
Mungai!!!???
 
Hapo ndipo munapochanganywa na hao walicompile hiyo Biblia. Wamebadilisha maana na kuongeza maneno yao kuwachanganya.
Kama Biblia imeshakuambia kuwa Yesu hajasulubiwa na ameenda kwa Mungu kwa hiyo huyo Yesu amekufaje hata afufuke??
Jambo la pili kutokana na mafundisho ya Wayahudi kusulubiwa ni Kulaaniwa, je kama kasulubiwa kama unavyoamini basi inamaanisha Yesu kalaaniwa?? Mbona munajichanganya bila kujielewa.

Deuteronomy 21:22-23

22 Akiwa mtu ametenda dhambi ipasayo kufa, akauawa, nawe ukamtundika juu ya mti;

23 mzoga wake usikae usiku kucha juu ya mti; lazima utamzika siku iyo hiyo; kwani aliyetundikwa amelaaniwa na Mungu; usije ukatia unajisi katika nchi yako akupayo BWANA, Mungu wako, iwe urithi wako.

Kweli munaaminishwa Mungu atamlaani Mjumbe wake? Na atamwacha Mjumbe wake aliyemtuma adhalilike?? Muna underestimate uwezo wa Mungu???
 
"Wayahudi kusulubiwa ni kulaaniwa" ndio ni kifo cha aibu, lakini kwa ajili ya nani na nini?kweli kabisa wala huja potosha. Sasa jiulize kwa nini Wayahudi hao hao waseme damu ya aliye laaniwa iwe juu yao na watoto (vizazi) wao(vyao.).

Damu ya Mungu aliye uvaa uwanadamu, isiyo na hatia wala dhambi iwe juu ya uzao wa Israel!!!. Ni muhimu ukajua Yakobo alipataje jina la Israel.

Yakobo alimshinda Mungu lakini akavunjwa nyonga na Mungu, akaomba baraka kwa Mungu akaitwa Israel na baraka juu yake..

Kizazi chake kina msulubisha Yesu kina sema damu yake na iwe juu yetu na vizazi vyetu, Yesu anafufuka siku ya tatu. Ndugu mambo/matendo ya Mungu ni makuu sana na haya chunguzi kwa akili hizi za kawaida za mwanadamu. Muombe Mungu akujaze Roho Mtakatifu ndipo uiendee hii Biblia kuisoma. Vinginevyo mtaishia kusema Mungu wa upendeleo wa Taifa moja. Utaratibu uko ama uwe taifa la Mungu au uchague kuwa wa shetani

Na washawasha!



 
EVIDENCE IN THE BIBLE THAT GOD HEARD JESUS’ PRAYER TO BE SAVED FROM THE CROSS:

“My soul is exceeding sorrowful, even unto death: tarry ye here, and watch with me. And he (Jesus) went a little farther, and fell on his face, and prayed, saying, ‘O my God, if it be possible, let this cup (death) pass from me: nevertheless not as I will, but as thou wilt.” [Matthew 26:38-39]

“And being in anguish, he prayed more earnestly, and his sweat was like drops of blood falling to the ground.” [Luke 22:44]

“(Jesus), Who in the days of his flesh, when he had offered up prayers and supplications with strong crying and tears unto Him (God) that was able to save him from death, and was heard (answered) in that he feared.” [Hebrews 5:7]

“And Jesus saith, for with God all things are possible.” [Mark 10:27]

“For the Scriptures say, ‘He will order his angels to protect and guard you. And they will hold you up with their hands so you won’t even hurt your foot on a stone.’” [Luke 4:10-11]

“For he shall give his angels charge over thee, to keep thee in all thy ways. They shall bear thee up in their hands, lest thou dash thy foot against a stone. Thou shalt tread upon the lion and adder: the young lion and the dragon shalt thou trample under feet. Because he hath set his love upon me, therefore will I deliver him: I will set him on high, because he hath known my name: He shall call upon me, and I will answer him: I will be with him in trouble; I will deliver him, and honor him. With long life will I satisfy him, and show him my salvation.” [Psalm 91:11-16]

There is no question that the emphasized parts above, especially in Psalm 91:11-16 and others, clearly and indisputably agree with the Qur’an and Isaiah 52:13! Jesus was neither crucified nor resurrected, and he was protected and lifted by GOD. Also, the New Testament, again, confirms that Psalm 91 is referring to Jesus.

A. GOD will hear his cries (Psalm 91:15) and will save him (Psalm 91:3).

B. GOD will cover him with His Protection (Psalm 91:4).

C. Christ will then not have any fear in him (Psalm 91:5).

D. Christ will then observe with his own eyes the punishment of the crucified ones (Psalm 91:8).

E. No harm (this includes crucifixion!) or disaster will even come near Christ (Psalm 91:10….this even contradicts him getting beaten up before crucifixion).

F. GOD will send down the Angels to protect him and lift him (Psalm 91:11-12, 14, Isaiah 52:13). Not even his foot will strike the ground from his enemies pushing, grappling and punishment.

G. Christ’s call will be HEARD, and he will be delivered and honored (Psalm 91:15, Isaiah 52:13). No way would these verses be valid if Christ got crucified.

In conclusion Psalm 91 is speaking as a number of Prophecies that will take place. Notice how the verses are speak of future events that will take place. Never once throughout the entire New Testament were the Angels sent to save Jesus from striking his foot against a rock. This, again, clearly proves that the NT is indeed false and corrupt.

The Bible is in clear contradiction with itself regarding Jesus’ alleged crucifixion and in everything else that it essentially talks about. It can not be trusted nor taken very seriously to base a serious faith on. At best, one would only be speculating when he tries to use the Bible to prove anything.
 
Sasa tutaichambua Biblia ili upate kuelewa zaidi kuwa hizo fikra umepandikizwa sio za kweli. Lakini try to think outside the box in order to understand.

Before the arrival of Jesus and in the Old Testament of the Bible, GOD has always forgiven sins even without any blood sacrifice for anyone who sincerely repented and turned away from their sins. If Jesus died, then he died in vain. There really was no need for Jesus to die for the sins of mankind when GOD has always forgiven sins through sincere repentance, and He continues to do so till this day because His Mercy and Nature to forgive doesn’t change. There’s enough evidence in both the Old Testment and New Testment of Bible that repentance of sins is required upon everyone in order to be forgiven. Even if a Christian believes that Jesus died for their sins, they still have to repent for their new sins, right? Yes…so this means that Jesus’ alleged crucifixion wasn’t a full sacrifice, so again he died in vain!

HERE’S A CLEVER CONTRADICTION REGARDING THE RESURRECTION:


“And when Jesus had cried with a loud voice, he said, Father, into thy hands I commend my spirit: and having said this, he gave up the ghost.” [Luke 23:46]

According to above verse Jesus gave up the spirit to God. If Jesus is part of the Trinity of God, the son, and the Holy Ghost, then why is it that he had to give up his spirit to God which is in Heaven if he is the same person? Did he borrow the spirit while God was spiritless in Heaven?

“Jesus saith unto her, Touch me not: for I am not yet ascended to my Father: but go to my brethren, and say unto them, I ascend unto my Father, and your Father, and to my God, and your God.” [[HASHTAG]#John[/HASHTAG] 20:17]

This is said to have occured only after the resurrection, but it is apparent that according to this verse Jesus had not yet ascended, contradicting the verse of Luke 23:43 when Jesus said to the theif on the cross; “TODAY YOU WILL BE WITH ME IN PARADISE“.

So where was Jesus between the time he gave up his spirit to God and the time he returned back to earth if he never ascended in the first place? Isn’t this a clear contradiction and something to ponder over? This suggests that Jesus never died. And it is also clear in this text that Jeus has a God so he himself cannot be God!

SO WAS IT JESUS, JUDAS, OR SIMON ON THE CROSS?

“And he (Jesus) answered and said, He that dippeth his hand with me in the dish, the same shall betray me. The Son of man goeth as it is written of him: but woe unto that man by whom the Son of man is betrayed! IT HAD BEEN GOOD FOR THAT MAN IF HE HAD NOT BEEN BORN. Then Judas, which betrayed him, answered and said, Master, is it I? He (Jesus) said unto him, Thou hast said.” [Matthew 26:23-25]

“And as they came out, they found a man of Cyrene, Simon by name: him they compelled to bear his (Jesus’) cross.” [Matthew 27:32]

So it’s very possible that it was Judas that was punished for his betrayal and also possible that either Judas or Simon was crucified instead. In fact the Ethiopian Bible says that Judas portrayed Jesus and not betrayed him so when it all makes sense when Jesus said, “Greater love hath no man than this, that a man lay down his life for his friends.” [John 15:13].

Although the Qur’an doesn’t specifically identify the other man that was crucified in Jesus’ place, there’s strong evidence in The Gospel of Barnabas, The Apocolypse of Peter, and the Ethiopian Bible that Judas was the one crucified. According to Islam, all of Jesus’ desciples were pure, so I guess that other man will remain mysterious!

In the Gospel of Barnabas, Jesus is described as a prophet and not the son of God, while Paul is called “the deceived”. Furthermore, the Gospel of Barnabas states that Jesus escaped crucifixion by being raised alive to heaven; while Judas Iscariot the traitor was crucified in his place. These beliefs; in particular that Jesus is a prophet of God and raised alive without being crucified; conform with Islamic beliefs.

WE BEAR OUR OWN SINS:

“No one can redeem the life of another or give to God a ransom for them—the ransom for a life is costly, no payment is ever enough.” [Psalm 49:7-8]

“No soul can carry the sins of another soul. If a soul that is full with sins implores another to bear part of its load, no other soul can carry any part of it, even if they were related. The only people to heed your warnings are those who fear their Lord, even when alone in their privacy, and observe the Contact Prayers. Whoever purifies his soul, does so for his own good. To Allah is the final destiny.” [Qur’an 35:18]

“The fathers shall not be put to death for the children, neither shall the children be put to death for the fathers: every man shall be put to death for his own sin.” [Deuteronomy 24:16]

In ALL Scriptures its clearly mentioned that everyone carries his/her own Sins and no one can carry that budden for another. So again Jesus crucified for your sins is a fabrication.
 
Kuna wakati tuliambiwa lugha yake ni kiarabu tu, sasa hata za kiswahili ziko.

Na washawasha!
Hakuna Quran ya kiswahili, wala ya kizungu, wala ya lugha yoyote ile. Bali kuna tafsiri ya Quran katika hizo lugha. Quran ni kwa kiarabu tu. Husomwa kiarabu, huandikwa kiarabu. Muislamu yoyote yule anawajibika ajue kusoma kiarabu. Ndio maana waislamu tunajua tunachokiamini ni sahihi kwa kuwa ni wajibu kusoma Quran kila siku na hakuna contradiction yoyote ndani Quran tukufu. Na mitume yote imetajwa pamoja na Yesu. Amezungumziwa vya kutosha. Na tunamuamini Yesu kushinda nyinyi wakristo. Tafuta ukweli ndani ya Quran upate kujua. Mbona sisi tunasoma Biblia ili kuelewa kilichoandikwa? Nanyi musome Quran muelewe nini kilichiandikwa.
 
ETi. Nini? Jiulize haya maswali.

1. Kwa nini baada ya Adam na Hawa kufanya dhambi pale Eden Mungu aliwaficha utupu wao kwa kuwavisha ngozi za wanyama? Damu ilimwagika.

2. Kaini akatoa mazao ya shambani mdogo wake Abel akatoa wanyama. Damu ilimwagika na sadaka yake ikakubaliwa na Mungu.

3. Baada ya gharika Nuhu alichinja kutoa sadaka ya kumshukuru Mungu kwa Yeye na Watoto kuponywa na gharika.

4. Abrahamu akaamriwa amtoe mwanawe pekee Ishaka (pekee kwa maana ya agano lake na Mungu, sio wa makubaliona na mkewe). Mungu akampa Abrahamu kondoo akachinjwa badala ya Ishaka, damu ilimwagika.

5. Musa kuwa komboa wana wa Israel Misri kila nyumba ya myahudi alichinja na damu ya huyo mnyama ikapakwa katika vizingiti vya milango ya kuingila ya nyumba za Wayahudi. Malaika wa kifo alipopita akiona damu haingii. Kwa wamisiri kila mzaliwa wa kwanza binadamu na wanyama pia wakauwawa.

6. Ndipo akaja Yesu kuhitimisha hili la msamaha kwa njia ya damu yake yenye thamani kuu kumwagika pale msalabani. Fuatilia utaona kwa siku kumi kabla ya Yesu kusulubiwa wayahudi walihangaika na Yesu na hawa kupata muda wa kumuanda myama wa kuchinjwa kama sadaka ya pasaka pale katika hekalu la kuhani mkuu. Baada ya Yesu kusulubiwa msalabani na damu yake ya thamani kuu kumwagika, umeshasikia mkristo yeyote anaye samehewa dhambi kwa kuchinja? Nani wanaendelea na kuchinja?

Na washawasha!




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…