1500 years Old Bible found in Turkey

1500 years Old Bible found in Turkey

Kweli ujinga na unafiki ni shida wakristo na waislam na wapagani wa sasa dini yetu ni moja tu jina lake ni UOVU kwa sababu tunafanana katika uovu ni muisilamu na mkristo lakini mwizi ni muisilamu na mkristo lakini tapeli ni muisilamu na mkristo lakini kahaba ni muisilamu na mkristo lakini fisadi ni muisilamu na mkristo lakini shoga for now muisilamu na mkristo ni sawa tu wote dugu moja OVU OVU tu akuna kitu hapo
katika mifano yako sijaona mpagani L.O.L
 
Tutajuaje imeandaliwa na mpinga Kristo. Hebu tuache siye na imani zetu. Fuata imani yako. Kwa hili hatuhitaji ushauri wako[emoji57] [emoji57] [emoji57]
-Ona na huyu naye iliandikwa mpinga kristo atakuja siku za mwisho za ulimwengu sasa ww mpaka sasa hata harufu yake unaijua
 
Uturuki nchi ya kiislamu ryt.....ulitegemea uone kitabu gani sasa
-Turkey ya sasa ni mixer bro na ndio maaana hausikii kuna vita vita vingi kwa kuwa si nchi ya dini moja pekee
 
Usiongee kwa Jazba bila ya kufikiria. Hiyo information iko mtandaoni. Obviously Sikutunga mimi. Fikiria na uiulize imani yako. Hiyo ni Biblia halisi na ina contradict na current Bible. Sasa ulitaka nisukuambie kuwa unafata imani potofu?? Hujui kwamba sisi wanaadamu tuna majukumu ya kuwaeleza ukweli wenzetu waliopotea?? Wewe leta hoja zako tu lakini ukweli ni lazima uzungumziwe.
Kwa nn unakir ni biblia halisi na kwa fact gani ina tofautiana na iliopo, kwani kwakuliangalia hilo likitabu umeweza kusoma hayo maandiko ukagundua yako sawasawa na huyo msimuliaji?

Bidii yenu yakutaka kuuua ukristo haina tofauti na maji yakisima kuyapeleka baharini,

Mumekuja na kauli mbiu yakuoa wanawake wa kikristo kwa wingi ili wawazalie watoto muzidi kuipanua dini yenu, mtachemka na ukigundua ulipo sio sahihi usione haya kujiengua hakuna kufa kishujaa kwenye maswala ya imani kama upo ktk upotofu, MUNGU wa mbingu na nchi awasaidie wa toto wa mama mdogo.
 
Swali unalouliza ni la kipuuzi. Hiyo ni information umepewa. Fanya juhudi wewe ujue dini yako. Manake mumezidi kumsingizia Yesu mambo ambayo hajasema wala kufanya. Ni wazi kuwa hamumfuati YESU bali munafuata hao wazungu waliyo kuleteeni hiyo dini ya UKRISTO. Kuna kipengele chochote kwenye BIBLE yenu ambapo YESU anakwambieni UKRISTO ndio dini aliyoileta??? Na kama hakuna sasa aliyeleta UKRISTO ni nani??? Au kuna sehemu yoyote kwenye BIBLE YESU amesena MIMI MUNGU NIABUDUNI?? Sasa mkiambiwa ukweli munasema sisi maadui wa UKRISTO, hapana munakosea sisi ni Maadui wa UONGO. Tunawaeleza ukweli muamke usingizini.
 
Yesu alituonya mapemaaaa.. so wakristo wenzangu kuweni na amani..

Mti wenye matunda ndio hupigwa mawe..
Unapojaribu kuongea hivi unatakiwa uangalie ni dini gani duniani ndiyo inayopigwa vita sana kama siyo islamic religion kwa visingizio vya ugaidi na mengineyo mfano burma,syria,iraq,pakistan na kwingineko .na mpaka sasa hivi kuna canibalism inaendea huko burma muslims wanaliwa nyama sasa na UN wapo mbona hawaingilii?sasa wewe endelea kukaa hapo ukiitarajia pepo iliyo hai my brother mungu hana unafiki huo!!!
 
Inawezekana ni kweli kabisa nje ya biblia ni mwandishi mmoja tu wa kale ndio amemtaja Yesu tena naye alikua haaminiki. Ukiangalia mwandishi kama Philo huyu alikua kabila moja na Yesu tena mwandishi mashuhuri kabisa aliishi kerne ya kwanza baada ya yesu hajawahi mtaja popote katika vitabu vyake. kuna mwandishi mwingine mashuhuri anaitwa Josephas na wengine kibao hawajawi kutaja Kuhusu Yesu.

Ok,basi hakuwepo kabisa
 
Swali unalouliza ni la kipuuzi. Hiyo ni information umepewa. Fanya juhudi wewe ujue dini yako. Manake mumezidi kumsingizia Yesu mambo ambayo hajasema wala kufanya. Ni wazi kuwa hamumfuati YESU bali munafuata hao wazungu waliyo kuleteeni hiyo dini ya UKRISTO. Kuna kipengele chochote kwenye BIBLE yenu ambapo YESU anakwambieni UKRISTO ndio dini aliyoileta??? Na kama hakuna sasa aliyeleta UKRISTO ni nani??? Au kuna sehemu yoyote kwenye BIBLE YESU amesena MIMI MUNGU NIABUDUNI?? Sasa mkiambiwa ukweli munasema sisi maadui wa UKRISTO, hapana munakosea sisi ni Maadui wa UONGO. Tunawaeleza ukweli muamke usingizini.

Yohana 14:6 Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Ukristo huo,tunafuata njia!!
 
Duh! Huu utumwa sijui utaisha kweli, kwahiyo unachokiamini wewe ndo ukweli vya wengine ni uwongoo. Umenichekesha, ila na Mbudha kule Burma nae anapugania anachoamini kuwa ni ukweli ujue?? Teh!
 
Yesu hakuteswa, alioa na kuzaa, mke wake alifahamika kama Maria Magdalena, hakuwahi kusema popote kuwa ni Mwana wa Mungu, alikuwa mweusi tii...

..kama ambavyo Mungai(r.I.p) alitaka kuifanya elimu ndivyo walivyogeuza na kupindisha biblia ila wenye kufuatilia tunazo biblia orijino, zenye injili ya Maria Magdalena, injili ya Yuda Eskalioti(yule waliyetudanganya kuwa alimuuza Yesu kwa euro sijui vipande vya mini)
biblia haikupindishwa, kuna maandiko hayakuandikwa in detail, hizo taarifa unazotoa hapo, zitamtingisha tu ambaye hayuko imara, biblia inasema 'akaishi kama mwanadamu'.. yaliyofuata ni maandiko ya matendo aliyoyafanya na sio ambayo hakuyafanya. Udini/udhehebu kwangu mimi hauna uzito kama imani niliyonayo kwa muumba wa mbingu na nchi. Ukiichunguza na kuisoma vizuri agano la kale na historia zake zote na ukatafakari kwa busara, mkristo huwezi kujikweza mbele ya muislamu na wala muislamu huwezi kujikweza mbele ya mkristo. MimI nikishaona mtu anaandika 'nyie wakristo' au 'nyie waislamu' nageuzia kichwa changu angani na kumuombea kwa Mungu amfungulie upeo wa kutambu anachokifanya.
 
Yohana 14:6 Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Ukristo huo,tunafuata njia!!
Njia gani unafuata wewe??? UKRISTO hamfuati YESU. Mufuata mambo mengine lakini sio YESU.
 
Duh! Huu utumwa sijui utaisha kweli, kwahiyo unachokiamini wewe ndo ukweli vya wengine ni uwongoo. Umenichekesha, ila na Mbudha kule Burma nae anapugania anachoamini kuwa ni ukweli ujue?? Teh!
Sasa wewe unataka kuamini ujinga??? Ndiyo maanake. Manake humfuati YESU.
 
Unipe ushahidi huo ndani ya imani yako. Kawaulize maaskofu na mapadri wakufahamishe. Nao hawana majibu yoyote hapo. Watakwambia usiiulize maswali imani ya roho.

Soma Amos 5: 21-23. Mungu anasema hapendi nyimbo zenu unazoimba kanisani na kupiga vinanda vyenu. Sasa kama YESU keshawaambia musiimbe kanisani lakini nyinyi munaimba kwaya zenu, kisha munajiita wafuasi wa YESU. Si uongo mtupu huo. Au tunakosea??? Hiyo BIBLIA yenu inasema hivyo.
 
Kila kitu kinaweza kikatafsiriwa kuwa ni ujinga inategemea ni nani wa mlengo upi na wakati gani anapikitafsiri? Najua ulipomtaja Yesu ulimaanisha yule mnazareti, mi hata nisipomfuata huyo kwakuwa sina mashaka na KWELI ninayoifuata, basi sina mashaka na lolote lile: liwe la chini ya jua au juu ya jua, KWELI si inatuweka huru basi mi nainjoi kwenye uhuru wa KWELI. Pole yako.
 
Unipe ushahidi huo ndani ya imani yako. Kawaulize maaskofu na mapadri wakufahamishe. Nao hawana majibu yoyote hapo. Watakwambia usiiulize maswali imani ya roho.

Soma Amos 5: 21-23. Mungu anasema hapendi nyimbo zenu unazoimba kanisani na kupiga vinanda vyenu. Sasa kama YESU keshawaambia musiimbe kanisani lakini nyinyi munaimba kwaya zenu, kisha munajiita wafuasi wa YESU. Si uongo mtupu huo. Au tunakosea??? Hiyo BIBLIA yenu inasema hivyo.
Hizi ni discussion za akna Mazinde zimeshafulia kitambo hakuna hata wa kuwasikiliza siku hizi, ni za kitoto sana watu wamepevuka wanahoji yaliyo makuu si kurely tu kwenye vitabu usivyowajua hata waandishi wake.
 
Bishaneni wenyewe na mapokezi yenu mliyoyapokea pasi na kuyachuja, mmeambiwa muitafute kweli na muongeze maarifa ninyi bado mnatumia maarifa ya karne zaid ya 15au20 zilizopita, poleni hata kwa kutozijua hizo mziitazo dini.
 
Unipe ushahidi huo ndani ya imani yako. Kawaulize maaskofu na mapadri wakufahamishe. Nao hawana majibu yoyote hapo. Watakwambia usiiulize maswali imani ya roho.

Soma Amos 5: 21-23. Mungu anasema hapendi nyimbo zenu unazoimba kanisani na kupiga vinanda vyenu. Sasa kama YESU keshawaambia musiimbe kanisani lakini nyinyi munaimba kwaya zenu, kisha munajiita wafuasi wa YESU. Si uongo mtupu huo. Au tunakosea??? Hiyo BIBLIA yenu inasema hivyo.
Mapadri na maaskofu ndo akna nani hata mie nitumie ubongo wao kufikiri? Au ni miungu imenizid IQ mm? Naitafuta kweli mwenyewe siwezi kushindwa hata na wanyama.
 
Back
Top Bottom