1500 years Old Bible found in Turkey

1500 years Old Bible found in Turkey

Yohana 14:6 Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Ukristo huo,tunafuata njia!!
-acha kukariri ukristo ulianzishwa na paulo maeneo ya antiokia ugirikiiii hukoo kipindi hicho watu ambao walipata mafunzo ya dini kutoka kwa paulo waliitwa wakristo bible yenyewe imeeleza hayo.
 
Duh! Huu utumwa sijui utaisha kweli, kwahiyo unachokiamini wewe ndo ukweli vya wengine ni uwongoo. Umenichekesha, ila na Mbudha kule Burma nae anapugania anachoamini kuwa ni ukweli ujue?? Teh!
- Unajua unapo mpinga m2 nenda with evidence sio kukurupuka na vita vya kule burma ni chokochoko iliyoanzishwa na mfungwa mmoja ambaye yeye ni mbudha na alishawahi kuwa mwanajeshi hapo awali sasa baada ya kutoka jela ndipo hapo akaaanzisha anti-muslim movement kwa kusingizia dini sasa jiuloze ni dini gani inasema watu walane wao kwa wao(carnibalism) na wanasema kuwa ubudha ni dini ya peace. chakachua akili usikariri
 
biblia haikupindishwa, kuna maandiko hayakuandikwa in detail, hizo taarifa unazotoa hapo, zitamtingisha tu ambaye hayuko imara, biblia inasema 'akaishi kama mwanadamu'.. yaliyofuata ni maandiko ya matendo aliyoyafanya na sio ambayo hakuyafanya. Udini/udhehebu kwangu mimi hauna uzito kama imani niliyonayo kwa muumba wa mbingu na nchi. Ukiichunguza na kuisoma vizuri agano la kale na historia zake zote na ukatafakari kwa busara, mkristo huwezi kujikweza mbele ya muislamu na wala muislamu huwezi kujikweza mbele ya mkristo. MimI nikishaona mtu anaandika 'nyie wakristo' au 'nyie waislamu' nageuzia kichwa changu angani na kumuombea kwa Mungu amfungulie upeo wa kutambu anachokifanya.
-afu nyie huwaga ni wanafiki sasa kama unageuzia kichwa angani na uliwezaje kutuma hii post bila shaka ww ni mlokole .afu skia usiulemaze ubongo wako kwa kuji-limit utafutaji wa elimu be free ustake kupelekwa pelekwa bila kuuliza utaja jikuta umeuzwa
 
biblia haikupindishwa, kuna maandiko hayakuandikwa in detail, hizo taarifa unazotoa hapo, zitamtingisha tu ambaye hayuko imara, biblia inasema 'akaishi kama mwanadamu'.. yaliyofuata ni maandiko ya matendo aliyoyafanya na sio ambayo hakuyafanya. Udini/udhehebu kwangu mimi hauna uzito kama imani niliyonayo kwa muumba wa mbingu na nchi. Ukiichunguza na kuisoma vizuri agano la kale na historia zake zote na ukatafakari kwa busara, mkristo huwezi kujikweza mbele ya muislamu na wala muislamu huwezi kujikweza mbele ya mkristo. MimI nikishaona mtu anaandika 'nyie wakristo' au 'nyie waislamu' nageuzia kichwa changu angani na kumuombea kwa Mungu amfungulie upeo wa kutambu anachokifanya.
-afu nyie huwaga ni wanafiki sasa kama unageuzia kichwa angani na uliwezaje kutuma hii post bila shaka ww ni mlokole .afu skia usiulemaze ubingo wako kwa kuji-limit utafutaji wa elimu be free ustake kupelekwa pelekwa bila kuuliza utaja jikuta umeuzwa jitu linaibuka tu from nowhere na kusema atakaeongeza au kupunguza neno kwenye biblia amebarikiwa na ww unafuata bila hata kujiuliza huyo anayesema hivyo ni ana undugu gani na mungu? huu tuuuiteje UFYONGO
 
Kila kitu kinaweza kikatafsiriwa kuwa ni ujinga inategemea ni nani wa mlengo upi na wakati gani anapikitafsiri? Najua ulipomtaja Yesu ulimaanisha yule mnazareti, mi hata nisipomfuata huyo kwakuwa sina mashaka na KWELI ninayoifuata, basi sina mashaka na lolote lile: liwe la chini ya jua au juu ya jua, KWELI si inatuweka huru basi mi nainjoi kwenye uhuru wa KWELI. Pole yako.
-Sasa kama humfuati yesu utajiitaje labda kwa kuwa mafunzo na mafundisho yake unayafuata tukuite SNITCH ama YUDA
 
Bishaneni wenyewe na mapokezi yenu mliyoyapokea pasi na kuyachuja, mmeambiwa muitafute kweli na muongeze maarifa ninyi bado mnatumia maarifa ya karne zaid ya 15au20 zilizopita, poleni hata kwa kutozijua hizo mziitazo dini.
- Maarifa yapi labda ya karne? naona unaongea pumba labda nikupe moja tu ili ujue sisi tupo updated kuliko nyie kondoo wa bwana ni hivi " MTUME MUHAMMAD S.A.W ALISEMA UNAPOKUWA KATIKA KUNYWA MAJI USIYAPUMULIE " sasa kwa nini alisema hivi wanasayansi wa kisasa wakachunguza na kuipima hadithi hii ndiponwalipokuja na siri hii kwamba maji yameumbika kwa kutumia elementi mbili yaani hydrogen na oxygen ambazo (H20) Ambapo hewa tunayoitoa ni carbon dioxide ambapo ukiipumulia ndani ya maji wakati unakunywa unafanya chemical rxn itokee na kutengeneza carbonic acid (H2CO3) yaani (co2 +H20-H2co3) ambayo ni itaenda kuongeza hali ya ukemikali tumboni hivyo kuleta vidonda vya tumbo . sasa ewe kondoo jiulize muhammad (saw) alipata wap ujuzi wa chemia na ndo tunaaply sasa hivi sisi waisilamu mnaotuona tuko nyuma kimaendeleo.yapo mengi sana aliyoyasema na kuyafanya ambayo mpaka sasa wanasayansi wengi wana geukia uislamu sasa nyie bakini hivyo hivyo mtaipata pepo iliyo hai wala msihofu
 
Yohana 14:6 Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Ukristo huo,tunafuata njia!!
Hiyo Yesu anasema kama Mitume yote ilivyosema, 'nifuateni mimi ndiye mutakuwa mumefata njia sahihi' hiyo ni kweli na mitume yote imeleta ujumbe huo huo kuwa wafuatwe ili waelekeze watu njia sahihi waliotumwa na Mungu. Huo sio ushahidi wa UKRISTO. Tupe reference ya YESU kusema kuwa UKRISTO ndiyo dini YENU. Na tupeni reference ya YESU kusema YEYE MUNGU MUMUABUDU. Kama huna hayo yote then UKRISTO is baseless religion. Imetengenezwa na watu wengine na sio YESU.

Soma Amos Amos 5: 21-23. God doesn't like your songs when you pray. Yesu amekuambieni musiimbe manyimbo yenu ya Kwaya, hapendi kusikia lakini bado nyinyi munaendelea kupiga vinanda na kucheza disco kanisani. Halafu munajiita wafuasi wa YESU.
 
Kila kitu kinaweza kikatafsiriwa kuwa ni ujinga inategemea ni nani wa mlengo upi na wakati gani anapikitafsiri? Najua ulipomtaja Yesu ulimaanisha yule mnazareti, mi hata nisipomfuata huyo kwakuwa sina mashaka na KWELI ninayoifuata, basi sina mashaka na lolote lile: liwe la chini ya jua au juu ya jua, KWELI si inatuweka huru basi mi nainjoi kwenye uhuru wa KWELI. Pole yako.
Usipoijua imani yako ni hasara yako. Ukae uelewe ndani ya miaka 100 ijayo hakuna atakae kuwa hai katika generation yetu na tutasahaulika. Hapo ndipo utakapojua mbivu na mbichi, kwani ndio unaanza eternal life knowing that u wasted ur time in the world without any preparation of the hearafter bcoz u were following wrong religion and even if you were alerted the mistakes in your faith but still you denied the truth. You will be among the biggest loosers and you will wish you were sand and beg God to return you to earth even for one minute so that you follow the right thing but He will say 'Nay, Fire you will abide in....' masihara mbali, WAKRISTO mutafakari. Time is clicking.
 
Yesu alipopaishwa mbinguni hakuacha kitabu kiitwacho Biblia, bali aliacha kitabu kiitwacho Injili. Kwenye Qur'an Mwenyezi Mungu kataja vitabu vinne: Zaburi, Taurati, Injili na Qur'an. Kwa hiyo biblia ni matokeo ya utafiti wa wazungu kuhusu imani za Wayahudi. Walitunga kitabu kutokana na tafiti hizo kwa Malengo ya kuwatawala Binaadam wakorofi ili waweza kuwafanya sehemu ya makoloni yao. Waliamua kujipa nafasi ya uungu ili Wafrika wawe watiifu kwenye mamlaka zao. Kwisha!
 
-afu nyie huwaga ni wanafiki sasa kama unageuzia kichwa angani na uliwezaje kutuma hii post bila shaka ww ni mlokole .afu skia usiulemaze ubingo wako kwa kuji-limit utafutaji wa elimu be free ustake kupelekwa pelekwa bila kuuliza utaja jikuta umeuzwa jitu linaibuka tu from nowhere na kusema atakaeongeza au kupunguza neno kwenye biblia amebarikiwa na ww unafuata bila hata kujiuliza huyo anayesema hivyo ni ana undugu gani na mungu? huu tuuuiteje UFYONGO
Hata ulokole sielewi maana yake, wewe andika ufyongo uwezavyo lakini point yangu ni kwamba ninamwabudu Mungu, mnafiki ni wewe unayetetea makundi na kunyoosheana vidole wakati sisi wote ni wana wa Mungu, si mkristu wala muislamu..hakuna wa kujikweza hapo wote ni sawa acha ulimbukeni.
 
Sawa kama umeamua kufikiria hivyo. Lakini elewa kuwa maneno yako hayana ushahidi.
Nilikua naperuzi bible asubuhi hii nikakutana na huu mstari. Pitia na utapata kitu.
Yohana 15 : 26 - Lakini ajapo huyo Msaidizi, nitakayewapelekea kutoka kwa Baba, huyo Roho wa kweli atokaye kwa Baba, yeye atanishuhudia.

Hapo alikua anaongea na his disciples kuhusu msaidizi atakayekuja kwao. Swali lako kuwa msaidizi ni Muhamad limejibiwa kuwa si yeye, bali ni roho mtakatifu (yule waliompokea siku ya pentecoste kule Yerusalem)
 
Mtume anapotoa ujumbe kwa watu wake haimaanishi kwa wanafunzi wake tu bali ni kwa wana israel wote kwani Yesu amekuja kwa ajili ya wana Israel.

Kama unaamini kweli kuwa MSAIDIZI kuwa ni ROHO mtakatifu ni sawa tu. Endelea kuamini. Lakini mimi nimeshakupatia hints sio lazima ukubaliane na mimi.
Yohana 15 : 26 - Lakini ajapo huyo Msaidizi, nitakayewapelekea kutoka kwa Baba, huyo Roho wa kweli atokaye kwa Baba, yeye atanishuhudia.
 
Nilikua naperuzi bible asubuhi hii nikakutana na huu mstari. Pitia na utapata kitu.
Yohana 15 : 26 - Lakini ajapo huyo Msaidizi, nitakayewapelekea kutoka kwa Baba, huyo Roho wa kweli atokaye kwa Baba, yeye atanishuhudia.

Hapo alikua anaongea na his disciples kuhusu msaidizi atakayekuja kwao. Swali lako kuwa msaidizi ni Muhamad limejibiwa kuwa si yeye, bali ni roho mtakatifu (yule waliompokea siku ya pentecoste kule Yerusalem)
John 16: 7 - 13

7 Lakini mimi nawaambia iliyo kweli; yawafaa ninyi mimi niondoke, kwa maana mimi nisipoondoka, huyo Msaidizi hatakuja kwenu; bali mimi nikienda zangu, nitampeleka kwenu.

8 Naye akiisha kuja, huyo atauhakikisha ulimwengu kwa habari ya dhambi, na haki, na hukumu.

9 Kwa habari ya dhambi, kwa sababu hawaniamini mimi;

10 kwa habari ya haki, kwa sababu mimi naenda zangu kwa Baba, wala hamnioni tena;

11 kwa habari ya hukumu, kwa sababu yule mkuu wa ulimwengu huu amekwisha kuhukumiwa.

12 Hata bado nikali ninayo mengi ya kuwaambia, lakini hamwezi kuyastahimili hivi sasa.

13 Lakini yeye atakapokuja, huyo Roho wa kweli, atawaongoza awatie kwenye kweli yote;

Ukisoma hapo juu ni wazi kuwa huyo msaidizi ni mtu atakayeletwa na Mungu. Ni vigumu kwa wewe kuweza kuthibitisha haya maneno yangu kwa sababu ya uhaba wa material resources. Bible zote unazozisoma ni tafsiri. Huwezi kujua Original Scriptures ya Bible huyo Msaidizi ametajwa kwa jina gani. Manake MSAIDIZI sio jina bali ni Sifa. Kwanini watafsiri JINA??? Hapo kuna jambo walitaka kuficha. Sikiliza hiyo U-Tube video ya Debate kati ya Muslim and Christian Scholars regarding the same. Unaweza pata picha kamili hapo.

Pia Katika Original Hebrew Songs of Solomon 5:16 Muhammed ametajwa kwa jina. Lakini Kwenye Old Tastement vile vile wametraslate jina la Muhammed kwa neno 'lovely'. Ni kwanini jina litafsiriwe??? Kwanini liasiandikwe kama lilivyo??
 
Hapo kwenye bandiko lako Yohana 16

Hili bandiko lako kwenye "Yohana 16:13- Lakini yeye atakapokuja huyo roho wa kweli atawaongoza awatie kwenye kweli yote."
Hapo andiko limesema wazi kuwa atakayekuja ni roho wala si mtu wa kawaida. Sasa je Muhamad alikua ni roho?
 
Katika Original Armeic Bible Fuatilia hilo neno ROHO limetoka wapi. Utaona kuwa ni tafsiri ya JINA fulani. Sasa tazama hilo Jina ni jina gani.
 
Hapo kwenye bandiko lako Yohana 16

Hili bandiko lako kwenye "Yohana 16:13- Lakini yeye atakapokuja huyo roho wa kweli atawaongoza awatie kwenye kweli yote."
Hapo andiko limesema wazi kuwa atakayekuja ni roho wala si mtu wa kawaida. Sasa je Muhamad alikua ni roho?
Nimekutumia hizi video mbili za debate. Zitazame utapata kuelewa.

Wewe niambie ni jina gani, sina hiyo armeic bible. Lakini pia wakati unaniambia hilo jina ni lipi angalia Mwanzo 1 : 2 - Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; ROHO YA MUNGU ikatulia juu ya uso wa maji. Je na hapo pia neno Roho lilirefer hilo jina unalosema tafsiri yake?
 
Kwanza Umezisikiliza hizo video?
 
Back
Top Bottom