Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Sibiri tuone mwisho, mwenye nguvu ataoneka na tu.Russia baada ya kuona mambo hayaendi kama walivyokuwa wakifikiria hapo awali matokeo yake wamekuwa desperate hadi sasa wanaua hadi mbwa na paka wanaokutana nao nchini Ukraine...
Ambaye hajui historia ya Russians wakiwa vitani ndio anaweza akapinga madai hayo. Nikikumbuka vile vita vya warusi kule Chechnya katikati ya miaka ya tisini na Georgia mwaka 2008 siwezi kupinga warusi ni jamii ya watu makatili sana.Mnamo tarehe 7/03/2022, Majeshi ya Urusi yaligundua kuwa majeshi ya Ukraine yameibadilishia matumishi iliyokuwa hospitali ya wajawazito na watoto na kuifanya maficho...
Wajawazito na watoto waliondolewa hospotalini hapo na hospitali hiyo ikawa kama maficho ya wanajeshi was Ukraine na kwa kustukiza kutokea hapo.Takriban watu 17 wamejeruhiwa na shambulizi la angani la Urusi kwenye hospitali ya Mariupol, kulingana na utawala wa kijeshi wa Ukraine katika eneo la mashariki la Donetsk...
Na asiejua Propaganda za kivita anaweza akakubali kila kinachosemwa na UkreinAmbaye hajui historia ya Russians wakiwa vitani ndio anaweza akapinga madai hayo. Nikikumbuka vile vita vya warusi kule Chechnya katikati ya miaka ya tisini na Georgia mwaka 2008 siwezi kupinga warusi ni jamii ya watu makatili sana.
Hivi ulilisikia onyo la urusi alilotoa tarehe 7 mwezi huu au unafuatilia habari za upande mmoja?Ambaye hajui historia ya Russians wakiwa vitani ndio anaweza akapinga madai hayo. Nikikumbuka vile vita vya warusi kule Chechnya katikati ya miaka ya tisini na Georgia mwaka 2008 siwezi kupinga warusi ni jamii ya watu makatili sana.
7/3/2022Wajawazito na watoto waliondolewa hospotalini hapo na hospitali hiyo ikawa kama maficho ya wanajeshi was Ukraine na kwa kustukiza kutokea hapo. Tarehe 17/03/2022, urusi iligundua hilo na kuonya, lakini hawakusikia matokeo yake moto umewawakia!! Hizo picha zinazooneshwa ni usanii na ziliandaliwa kabla!!
Ukrainians wame bomb wenyewe halafu wanasingizia Russia?Propaganda...
Wewe uliona wapi askari aliye vitani asiwe mkatili? Kwa waliopita depo watanielewa.Ambaye hajui historia ya Russians wakiwa vitani ndio anaweza akapinga madai hayo. Nikikumbuka vile vita vya warusi kule Chechnya katikati ya miaka ya tisini na Georgia mwaka 2008 siwezi kupinga warusi ni jamii ya watu makatili sana.
Kila nikikumbuka zile tambo za hapa JF kwa ule uzi wa LIVE za Pro Russia na hali halisi ilivyo sasa nabaki kujisemea siku zote tuwe na akiba ya maneno.Russia baada ya kuona mambo hayaendi kama walivyokuwa wakifikiria hapo awali matokeo yake wamekuwa desperate hadi sasa wanaua hadi mbwa na paka wanaokutana nao nchini Ukraine.
Wamebanwa sana kwenye vita vya ardhini na sasa wanatumia zaidi makombora ya masafa marefu kuua watu na kuharibu miundombinu.
Nasikia kwamba wamewarejesha nyumbani wale vijana wa JKT kufuatia malalamiko ya wananchi na pia ukweli kwamba hao vijana ndio wamekufa wengi baada ya kuwekwa mstari wa mbele wa mapigano.
Umeandika utoto Askari wa Ukraine wana uhuru wa kukaa popote wako nchini mwao huwezi wapangia wakae wapiMnamo tarehe 7/03/2022, Majeshi ya Urusi yaligundua kuwa majeshi ya Ukraine yameibadilishia matumishi iliyokuwa hospitali ya wajawazito na watoto na kuifanya maficho ya wanajeshi wa Ukraine ambapo walikuwa wanashambulia kutokea hapo.
Tangu siku hiyo Urusi ilitoa onyo kuwa hospitali hiyo isitumiwe na majeshi ya Ukraine vinginevyo ingeshambuliwa. Ukraine waliendelea kuitumia hospotali hiyo kijeshi na kutokea humo kuendeshaashambulizi.
Kilichowatokea kila mmoja amekisikia na kelele ni kila kona!! Hizi picha wanazoonesha za watoto na wajawazito wakiwa majeruhi zilikuwa zimeandaliwa kabla!
Propaganda Kali inaendeshwa ili tu kuonesha Urusi inafanya unyama!
Sawa ila wakipigwa wasilalamike kuwa wamepiga mabomu wajawazito!!Umeandika utoto Askari wa Ukraine wana uhuru wa kukaa popote wako nchini mwao huwezi wapangia wakae wapi
Wao ni Raia halali wa Ukraine waweza kaa kambini ,hospitalini,wodini au vyuoni au popote wako ndani ya nchi yao utawapangiaje kuwa wakae wapi.
Unaungana na huo ujinga wa warusi? Wao kukaa hata hospitali sawa tu si wanalinda hospitali zao kosa lao nini kukaa kulinda majengo yao zikiwemo hospitali?
Eti unawaambia tokeni hapo hospitali malipo mnapolinda majengo vyenu ya hospitali na kulinda madaktari na manesi wasidhuriwe tokeni.Watoke ili uvurunishe makombora uue madaktari ,manesi,wagonjwa nk
Askari wa Ukraine walikuwa sahihi kuweka wanajeshi kulinda hospitali zao
Alichofanya Russia hapo ni uhalifu wa kivita dhidi ya majengo ya kiraia